Amina sana mkuu,yaani inafika muda unaulizwa hawajambo wanao?unajibu hawajambo maana huwezi kumweleza kila mtu kwamba hamjafanikiwa wakati mnakutana kiliniki kila mwaka.
oh
Soma hapa
Isaya 53:4a
Hakika ameyachukua masikitiko yetu,amejitwika huzuni zetu;
5b Adhabu ya amani yetu ilikuwa juu yake na kwa kupigwa kwake sisi tumepona.
Luka 1:37
Kwa kuwa hakuna neno lisilowezekana kwa Mungu.
. . . . . . . . . . . . . . . . . . .
Amini Yesu aliyabeba masikitiko yetu,huzuni zetu na mizigo yetu.
Huna haja ya kusikitika,huwa haja ya Julia Wala kuogopa ..unapaswa kuomba maana hakuna linaloshindikana kwake.
Na neno lake alilolituma halitamrudia bure bila kutimiza mapenzi aliyolituma kufanya.
Na Neno la Mungu ni Mungu(Yoh1:1)
Tena lina nguvu na li hai.
Sijajua shida ipo sehemu gani,Ila ninachojua Mungu anaweza yote.
Unaamini hayo???
Natamani tuombe juu ya hili kama ukikubali na ikikupendeza,
Nipo tayari na ninaamini Mungu atatujibu.
Sent using
Jamii Forums mobile app