Nilifadhaika sana kupata watoto wa kike tu

Hospital wanasemaje? Na anaanza clinic mapema?
 
Madk wanaisemaje hii hali...?nataman wife angepata uangalizi toka 1st month kwa gynae
Ni chango,mara kifafa cha mimba na pengine hawaoni shida maana wanakupa feedback kuwa maendele ya ukuaji wa mimba ni mzuri tu.
Japo kuna presha ya kupanda na kushuka kwa kiwango cha kila anapokaribia wiki 3 za mwisho.
 
Kupata atapata tu...yes hiyo ni chango ..!sema umesema amekunywa hizo za mitishamba atapata tu muda ukifika usikate tamaa
 
Haya ndio nayoongea hapa

Hizi ni zinazoendelea hapa ni kufuru
 
sasa ukiongea mambo ya sor god kuna wengine wameomba mpaka wamefariki na bado hawaja pataaa ni mambo ya kiafya tu mi na amini ukifatilia vizuri lazima utagundua tatizo, WE SEMA MKEKA UMETIKI.
 
Its nature mkuu.. huwezi kupingana na nature. Ukisema hivo maana yake hata mama yako asingeweza kukuzaa bila kupitia kwenye mtanange.

Kwahiyo usione shida kuzaa mwanamke, kwanza itakuwa ni kumkufuru Mungu kwamba ni makosa kuwa na mwanamke
 
Bora kuzaa watoto wakike kuliko wakiume..navyoonaga mimi lakini...una raha umemix sie wengine nyumba nzima wanawake ni ww na bek 3πŸ˜’!
Hongera
Hii inaonesha pia unatamani mtoto wa kike sasa.
Haya mambo yapo kwenye damu aisee asilimia kubwa wazazi wanapenda watoto mixer
 
Its nature mkuu.. huwezi kupingana na nature. Ukisema hivo maana yake hata mama yako asingeweza kukuzaa bila kupitia kwenye mtanange.

Kwahiyo usione shida kuzaa mwanamke, kwanza itakuwa ni kumkufuru Mungu kwamba ni makosa kuwa na mwanamke
Nature sometimes huwa ipo painfull sana, ndio mana carnivores ili waweze kuishi lazima wawatafune herbivores so most of herbivores maisha yao yote wanaishi in constant fear and pain lakin ndio nature hiyo sasa huwezi kuzuia, kwahiy haya maumivu yatokanayo na nature ndio namuomba sana Mungu aniepushe nayo, lakin anyway mkuu sijaupenda huo mfano wako ulivyomtolea mama yangu bora ungetafuta mtu mwengine yyt ila sio Bimkubwa, nipo very sensitive kwa mama kitu kidg tu kwake huwa kinanikosesha raha

Sent from my SM-G900I using JamiiForums mobile app
 
Ndo ukweli huo chief.. ondoa tu hiyo mindset.. mtoto ni mtoto mkuu..
 
Mkuu, me nina watoto wawili, wote wa kiume tupu.
Shemeji yako ana mimba nyingine ya miezi 8 sasa, natarajia mwezi ujao atajifungua.

Kila muda tumekuwa watu wa kuomba mungu ili tupate mtoto wa kike maana hawa wa kiume sina ham nao tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…