Nilifadhaika sana kupata watoto wa kike tu

Nilifadhaika sana kupata watoto wa kike tu

Yah 5yrs siyo mingi na ndiyo maana nimesema kinachoniumiza zaidi Afadhari angekuwa habebi kabisa tungeamini pengine tuna matatizo sote hivyo tungepambana kutafuta dawa
Lakini hebu fikiri kwa miaka 5 hiyo kuna mimba 3 zilizoishi 9months na hazina matokeo na kuna mimba kama 4 hivi zilizoharibika tu kwa muda mfupi tu.
Kwa miaka 10 hivi hali ikiwa hivi hivi unakuwa na rekodi gani?
Hospital wanasemaje? Na anaanza clinic mapema?
 
Madk wanaisemaje hii hali...?nataman wife angepata uangalizi toka 1st month kwa gynae
Ni chango,mara kifafa cha mimba na pengine hawaoni shida maana wanakupa feedback kuwa maendele ya ukuaji wa mimba ni mzuri tu.
Japo kuna presha ya kupanda na kushuka kwa kiwango cha kila anapokaribia wiki 3 za mwisho.
 
Kupata atapata tu...yes hiyo ni chango ..!sema umesema amekunywa hizo za mitishamba atapata tu muda ukifika usikate tamaa
 
1621584799099.png
 
Wengine miaka 5 kwenye ndoa bila bila,umejenga na una maisha mazuri na unapambana kweli kutafta mali lakini upo wewe tu na mkeo za nini sasa?
Angekuwa habebi mimba angalau tungehangaika kutafuta uzazi,anabeba sana tena bandika bandua.
Nimezika watoto wangu wakiume 2 na mmoja wa kike
Waliishi kwa muda mfupi sana wa kike 24 hrs wengine wanazaliwa wakiwa died.
Ninapoona nyuzi za kuongelea jinsia za watoto nafadhaika sana,Mungu anipe tu hata watoto 20 wa jinsia moja I don't care.
Haya ndio nayoongea hapa

Hizi ni zinazoendelea hapa ni kufuru
 
Hali hii hutokea katika ndoa nyingi. Mke anazaa watoto wa jinsia moja tu mfululizo, ama wa kike au wa kiume tu. Wazazi wengi huwa wanapenda wapate watoto wa jinsia zote. Kwa sababu hiyo inapotokea wanapata watoto wa kiume tu au wa kike tu huanza kutafuta njia ya kutatua 'tatizo' hilo. Wengine huenda kwa madaktari kutafuta ushauri wa kisayansi na kufanikiwa kupata mtoto wanayemtaka; lakini wengine ushauri wa kisayansi bado hauwasaidii kupata mtoto wa kiume au wa kike.

Wazazi wanapofikia hali hiyo wengine huenda kwa waganga wa kienyeji na huko huishia kuchanganyikiwa tu kutokana na masharti magumu wanayoambiwa na mganga. Jaribu kuwaza mtu anaambiwa apeleke kwa mganga kinyesi "fresh" cha tembo ndio apate dawa!

Nakumbuka mme fulani alisababisha mgogoro katika ndoa yake baada ya kumgombeza mke wake kwanini anazaa watoto wa kike tu. Na waume wengine huamua kuwaacha wake zao au kuoa mke wa pili ili wajaribu kama watapata watoto wanaowataka kwa njia hiyo. Njia zote hizo zinaposhindikana hubaki na huzuni isiyokoma.

Mimi pia nimepitia hali hiyo. Mara ya kwanza mke wangu alipata mtoto wa kike. Mara ya pili akajifungua tena mtoto wa kike. Tulikuwa tunajitahidi angalau tupate mtoto kila baada ya miaka miwili. Mara ya tatu mke wangu akazaa tena mtoto wa kike. Hee nikaanza kufadhaika, maana nilitamani na mimi niwe na mtoto wa kiume. Sikumlaumu wala kumgombeza mke wangu kwanini anazaa watoto wa kike tu kwa sababu najua kisayansi mwanaume ndiye anayehusika zaidi kufanya mtoto wa jinsia ipi azaliwe.

Katika kutafakari nifanyeje nikakumbuka yale maneno ya Mungu yasemayo "Ombeni nanyi mtapewa" Nikakumbuka pia habari za mama mmoja katika Biblia aliyekuwa hapati kabisa watoto lakini baada ya kumwomba Mungu akapata.

Kwa sababu hiyo na mimi nikaanza kumwomba Mungu kwa juhudi kwamba mke wangu atakapojifungua mtoto wa nne, awe wa kiume. Ndugu zangu, Mungu hana upendeleo, alisikia maombi yangu na kutupatia mtoto wa kiume. Kinachotakiwa tu ni kuhakikisha mahusiano yetu na Mungu ni mazuri na kuomba kwa imani, pasipo shaka. Yote yawezekana kwake aaminiye(Mk 9:23).
sasa ukiongea mambo ya sor god kuna wengine wameomba mpaka wamefariki na bado hawaja pataaa ni mambo ya kiafya tu mi na amini ukifatilia vizuri lazima utagundua tatizo, WE SEMA MKEKA UMETIKI.
 
kiukweli mm noambea tu nipate wakiume tupu, mambo ya kuja kuona mwanangu anavuliwa chupi mara amkatikie mtu mauno kitandani mara ageuzwe geuzwe sijui dog style sijui popo kanyea mbingu aah sitaki hata kusikia mana kwangu mm hilo halijanikalia sawa kabisa. Mtoto wa kike raha sana kulea akiwa mdogo huwa hawsumbui hata kidogo lkn sas ngojea akishaanza kuota chuchu uone balaa lake, hlf kibaya zaidi siku hiz watu hawaelewi kama huyu ni mtoto au vip yani wahuni wanaweka tu.

Sent from my SM-G900I using JamiiForums mobile app
Its nature mkuu.. huwezi kupingana na nature. Ukisema hivo maana yake hata mama yako asingeweza kukuzaa bila kupitia kwenye mtanange.

Kwahiyo usione shida kuzaa mwanamke, kwanza itakuwa ni kumkufuru Mungu kwamba ni makosa kuwa na mwanamke
 
Nature sometimes huwa ipo painfull sana, ndio mana carnivores ili waweze kuishi lazima wawatafune herbivores so most of herbivores maisha yao yote wanaishi in constant fear and pain lakin ndio nature hiyo sasa huwezi kuzuia, kwahiy haya maumivu yatokanayo na nature ndio namuomba sana Mungu aniepushe nayo, lakin anyway mkuu sijaupenda huo mfano wako ulivyomtolea mama yangu bora ungetafuta mtu mwengine yyt ila sio Bimkubwa, nipo very sensitive kwa mama kitu kidg tu kwake huwa kinanikosesha raha

Ndo ukweli huo chief.. ondoa tu hiyo mindset.. mtoto ni mtoto mkuu..
 
Mkuu, me nina watoto wawili, wote wa kiume tupu.
Shemeji yako ana mimba nyingine ya miezi 8 sasa, natarajia mwezi ujao atajifungua.

Kila muda tumekuwa watu wa kuomba mungu ili tupate mtoto wa kike maana hawa wa kiume sina ham nao tena.
 
Back
Top Bottom