Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
Sijatabiri kuwa mtoto atakuwa zigo.Hauoni kama uwepo wa hao wachache unaondoa uhalali wa kugeneralize na bwana Behaviourist kutabiri mtoto atakua mzigo.
Atadeka mno, tena mno!Nakuhakikishia kuwa huyo mtoto wa kiume anakuja kuwa zigo na utajuta kumzaa!
Kuna rafiki yangu kwao wako watatu Yeye ndo wakike peke yake. Baba yake alikuwa anamdharau kwasababu Ni Ke, anawapa power Kaka zake kwa kila kitu, Hadi alimtamkia live wewe Ni msichana huna chako hapa.Kuna siku nilimsikia baba anamwambia mdogo wangu wa mwisho wa kiume..hivi unaongeaga naye nini huyo wangari? Mtu mwenyewe ashaolewa anakuambia nini? Wakati hapo dogo anasoma nje..kiliniuma zaidi ya miaka 7!
"Mengine umeshaandika ww!"
Sijatabiri kuwa mtoto atakuwa zigo.Kinachokusumbua ni kukosa elimu pamoja na maarifa mbalimbali.Kwenye hii dunia ukikosa elimu ni umekosa vyote.Kuna tofauti kubwa sana kati ya kutabiri(prediction) na kufanya anticipations.Mimi sijatabiri bali nimefanya anticipations.Kajifunze anticipations ni kitu gani na pia jifunze tofauti kati ya anticipations na predictions.Umemuhakikishia mtoto atakuja kuwa mzigo kwake + majuto.
Just wish Him well man, and that's enough
Noma sanaNakuhakikishia kuwa huyo mtoto wa kiume anakuja kuwa zigo na utajuta kumzaa!
Mie hajaniombaga msamaha ila mie ndo imekuwa reference hom...wanaishi kama baba yao hatakuja kufa mtu ana 80's! Full mipombe..Kuna rafiki yangu kwao wako watatu Yeye ndo wakike peke yake. Baba yake alikuwa anamdharau kwasababu Ni Ke, anawapa power Kaka zake kwa kila kitu, Hadi alimtamkia live wewe Ni msichana huna chako hapa.
Saivi Kaka zake wote walevi hawana msaada kwenye familia msichana ndo anasimamia kila kitu, Baba yake nafsi ilimsuta kwa aliyosema alimuomba msamaha.
[emoji16][emoji16]easy chief.Sijatabiri kuwa mtoto atakuwa zigo.Kinachokusumbua ni kukosa elimu pamoja na maarifa mbalimbali.Kwenye hii dunia ukikosa elimu ni umekosa vyote.Kuna tofauti kubwa sana kati ya kutabiri(prediction) na kufanya anticipations.Mimi sijatabiri bali nimefanya anticipations.Kajifunze anticipations ni kitu gani na pia jifunze tofauti kati ya anticipations na predictions.
Aisee. "Nakuhakikishia!!!" Uko kwenye cabinet ya uumbaji wa Mungu na kutengeneza hatma za maisha ya mwanadamu?? We should be careful with our words.Nakuhakikishia kuwa huyo mtoto wa kiume anakuja kuwa zigo na utajuta kumzaa!
Mie naona bora wa kike tu...wa kiume mh wachache wanajielewa...ila si woteHakuna kitu mbaya kwa baba kama kuzaa watoto wa kike tu. Bora mara milioni kuzaa wa kiume tu
Obama anawakike tu, Bill Clinton anawakike tu. Waafrica na wahindi ndo tumebaki kuamini Watoto wakiume Ni asset.Hakuna kitu mbaya kwa baba kama kuzaa watoto wa kike tu. Bora mara milioni kuzaa wa kiume tu
Mkuu na hata hao wakiume siku hizi hawatabiriki. Unaweza jisifu umezaa kidume baadae anakuja kuliwa piakiukweli mm noambea tu nipate wakiume tupu, mambo ya kuja kuona mwanangu anavuliwa chupi mara amkatikie mtu mauno kitandani mara ageuzwe geuzwe sijui dog style sijui popo kanyea mbingu aah sitaki hata kusikia mana kwangu mm hilo halijanikalia sawa kabisa. Mtoto wa kike raha sana kulea akiwa mdogo huwa hawsumbui hata kidogo lkn sas ngojea akishaanza kuota chuchu uone balaa lake, hlf kibaya zaidi siku hiz watu hawaelewi kama huyu ni mtoto au vip yani wahuni wanaweka tu.
Sent from my SM-G900I using JamiiForums mobile app
Stress baba..njaa mbaya sana..msamehe bureNegativity day in day out
Hilo jibu lako ni la kingumbaru ngoja nikusaidie tu fasta hapa.Tofauti kubwa kati ya predictions na anticipations ni kwamba katika anticipations unakuwa na ushahidi wa kitafiti au ushahidi wa kisayansi kuwa tukio fulani litatokea lakini katika predictions ni unahisi na kubuni tu kwamba tukio fulani litatokea pasipo ushahidi wowote ule.[emoji16][emoji16]easy chief.
View attachment 1791556
angalia statistics mkuu, watoto wa kiume ni nadra kuangukia kwenye mamb hayo hata ukiangalia mtaa mzima unaweza ukamkuta mmoja ,wawili au hakuna kabisa. ila sasa angalia hao wakike mkuu vinavyoanza kuwashwa na mapema.Yani watoto wakike siku hizi hadi wakifika form four huko chini unakuta pashatepetwa. Mkuu mm sikufuchi nakaa kigogo hapa Dar kwa ninayoyashuhudia kwa hivi viumbe wa Mungu kiukweli hunambii kitu, unaweza kuta kitoto cha form 3 kishaliwa na bodaboda wanafika sita !!!Mkuu na hata hao wakiume siku hizi hawatabiriki. Unaweza jisifu umezaa kidume baadae anakuja kuliwa pia