Nilifadhaika sana kupata watoto wa kike tu

Like wakati mwingine ni kuonyesha umeona post
Kwahiyo ukiandika pumba unaambiwa tumeona pumba zako

Haijawahi kukutokea umeandika ujinga aki-like mtu mnayeheshimiana unaogopa sana?
Basi iwekwe option ya watu ku-dislike ili ujumbe uende kwa wahusika,haileti maana naandika ujinga halafu nipewe likes kwa hivi nitazidi kuonyesha ujinga wangu maana najua wapo wanaokubaliana na mimi.

Mods tunaomba hiki kitu,DISLIKE BUTTON iwepo.

Cc:invisible
 
mkuu unakwma wapi mbn hawa viumbe wametapakaa kila kona , ila hata hivy kwa watoto wa kigogo sikushaur mana ni Break p*mbu tu ndio utaambulia

Sent from my SM-G900I using JamiiForums mobile app
Mi napenda kuzururia mitaa ya mbali na ninapoishi ndiyo maana mtaani kwangu sina kazi yoyote.

mzee break p kwangu siyo ishu. We nitunuku kazi moja chura wa hatari utakua umenipa assisst matata sana
 
Hold hiyo alama ya 'Thanks' itakuletea option na 'Dislike' utaiona.
 
Hold hiyo alama ya 'Thanks' itakuletea option na 'Dislike' utaiona.
Yah mkuu nimeona,ila kwa wanaotumia app dislike haipo ingefaa huku nako ikawekwa ili kuwa rahisi.
 
Nakuhakikishia kuwa huyo mtoto wa kiume anakuja kuwa zigo na utajuta kumzaa!

Usimtishe bhana kwani wewe nani wa kumuhakikishia hivyo?
Ameshasema kaomba kwa Mungu sio sehemu nyingine why Mungu akupe then afanye uwe mzigo.
 

Mkuu kumbuka hata wa kiume siku hizi wanaliwa tgo ni wew tu uchague apigwe wa kiume au wakike iyo dog style.
 
Sahihi
 

Mkuu usiwe too emotional, inapunguza uwezo wakuchambua mambo. Sasa nikuulize ulichokiandika hapo aya ya nne kina tofauti gani na nilichoelezea mimi? Relax Bro!.

Sasa turudi hapo uliposema akiwa karibu na mama sio shida na kisaikolojia inategemewa hivyo. Hiyo ni kweli kabisa na sikatai. Ila jua hapo ndipo shida itakapokuja kuanzia.

Umeshajiuliza kwanini huyu jamaa alikuwa anatafuta sana mtoto wa kiume?, labda hukujiuliza ila tujaribu kuweka mitazamo michache hapa

Anaweza akawa alikuwa anatafuta mtoto wa kiume ili awe mrithi wake (kiafrika). Hii itamfanya atake kuwa karibu zaidi na mtoto wake huyu 'wapekee' na same time mama naye atataka ivyo ivyo hapa tatizo litajitokeza (sita eleza sana mengine fikiria mwenyewe)

Pili, labda alikuwa na hamu na mtoto wa kiume ili aje kufanikisha yale aliyoshindwa yeye kufanikisa. Hii ipo sana na ni unyonyaji. Sasa mtoto atakuwa na future yake na huyu jamaa kama ndio lengo lake itatokea shida hapa. Kwani hujawai kuona baba ametaka mtoto awe daktari kweli kasoma udaktari then kaja kuwa mwimbaji. Hawa wapo wengi wa hivi. Hawa wazazi huwa uzeeni wanajuta sana.

Mkuu kesi ni nyingi sana na ukiona mtoto apatani na baba yake asilimia kubwa huwa ni wale ambao baba zao/wazazi wao waliweka expectation kubwa sana juu yao then hazikutimia.

Usimshangae jamaa alichosema kuna uwezekano kasema out of experienc pia, muhimu kujifunza jambo kutoka kwake kwa kuuliza maswali si kumkandia. Tuwe wadadisi kama watoto wadogo.
 
kanisa la anglican lilitokana na mambo hayohayo ya kutaka mtoto wa kiume
Mfalme alikuwa akipata mabinti tu. sasa akataka apate bi mdogo ahjaribu na huko. Akaomba kibali kwa pope aoe mke wa pili, akapigwa stop . Ndo akaamua kuanzisha kanisa lao na kujitenga na RC
 
Reactions: Cyb
Mababa wengi wa Kiafrica badu wanaamini mwanamke ni bora zaidi ya mwanaume!
Hakuna kitu mbaya kwa baba kama kuzaa watoto wa kike tu. Bora mara milioni kuzaa wa kiume tu
 
Utazaa na mwanaume mwenzako?
 
Wewe sio muhanga. Na hakuna tatizo lolote kuzaa watoto wa kiume au wa kike peke yake.
Ni mentality za kijima na kishamba kuamini jinsia moja ni bora zaidi ya nyingine.
Oohh halleluyaah nami ni muhanga wa jinsia nina watatu wa kiume nawish Mungu asikie kilio changu wa4 awe dada wa vijana wangu
Mungu nikumbuke nami kama ulivyomkumbuka kaka huyu [emoji120]
 
Watu wengi bado wana mawazo ya kijima
Si vizuri kuchagua Gender. Lakini tuwe wakweli watu wengi hupenda watoto mchanganyiko.

Issue siyo mtoto wa kike, Hata ukizaa watoto wa kiume pekee huwezi kufurahia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…