Nilifadhaika sana kupata watoto wa kike tu

Kwanini ufadhaike kwa kuwa na watoto wa kike? Kumbuka bila mama yako labda usingekuwepo duniani na bila mkeo usingeitwa Baba. Tuache tabia ya kudharau watoto wa kike nao wana mchango wao mkubwa na wa maana sana katika jamii zetu.
 
Umemaliza..my lil bro ana 30 bt anafuliwa nguo bado na maza😱! Akichelewa kwenye mipombe yake wazaz wake hawakai..unawakuta wamesimama getini wanaangalia kila mtu nawaambiaga mna kazi..na yy anajua hawa wananipenda bas anakanyagia hapo hapo
Hongera kwa nyumbani kwenu kuwa na geti,swahiba wangu Shadeeya na wewe kwenu kuna geti?
 
Kwanini ufadhaike kwa kuwa na watoto wa kike? Kumbuka bila mama yako labda usingekuwepo duniani na bila mkeo usingeitwa Baba. Tuache tabia ya kudharau watoto wa kike nao wana mchango wao mkubwa na wa maana sana katika jamii zetu.
Mkuu umemaliza kila kitu,mtoto ni mtoto tu
 
Sikuwahi kulifahamu hili jukwaa aisee
 
Nadhani kikubwa kinachozingatiwa kwa wazazi wa kiume sio uwezo wa specific gender.
Bali ni transference of identity
 
Usikute huyo wa kiume sio wako ni kazi ya dereva bodaboda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…