Nilifiwa na mwanangu wa kwanza, namshukuru Mungu nimepata mtoto mwingine wa kiume

Nilifiwa na mwanangu wa kwanza, namshukuru Mungu nimepata mtoto mwingine wa kiume

Pisi kali

JF-Expert Member
Joined
Dec 31, 2019
Posts
1,234
Reaction score
2,535
Nianze kwa kumshukuru Mungu hadi kufika hapa.

Kesho ni 40 ya kifo cha mwanangu my boy, tangu kufariki my first child my queen rest well my angel [emoji1431][emoji1431] lakini nimepata tena a health baby boy na kesho ndio 40 yake. Karibuni sanaaaaaaaa location Mwanza[emoji12][emoji12]

Niko na furaha ee Mungu umejua kunifuta machozi nilindie kipenzi changu malaika wako[emoji2972]. Safari yangu as usual ilikua ya furaha sana na uoga ndani yake.

Furaha niliyonayo[emoji1430][emoji1430] I cant explain it. Tukifisha 6months nahitaji kupata mapacha kwa uwezo wa Allah[emoji2972][emoji2972] yeyote anayefahamu jinsi ya kupata twins.

Nawaombea wote wenye uhitaji Mungu awabariki mpakate na nyinyi.

Mungu atukuzie[emoji1431][emoji1431]
 
Congratulations Pisi kali !!! Nadhani pisi jacky naye yuko mbioni kutuletea good news!!!

A side note: Sorry if I may hurt your feelings: ile ^rest well my angel^ ni address inayopaswa kupokelewa na nani, because, according to you, your Angel is no more!???
 
Ndo Yule jamaa uliekuwa unamtafuta JF wa kukupa mtoto au mwingine ndo baba?
 
Andiko lako linatufanya tusome kwa kupanua Pupil hadi mwisho ndio lieleweke.

Hongera kwa kuazimisha 40 mbili tofauti.

Kuhusu suala la mapacha kupata kwa nia yako na ukapata, nitahitaji unielimishe kwani uelewa wangu siwezi kuutumia kuforce nipate mapacha
 
Kati ya vitu vilinisumbua wiki hii hapa JF ni kujua uwepo wako Pisi kali bahati mbaya huwa siendi PM kwa mtu. Nilitaka kukwambia mojawapo ya maelekezo yako pale Kariakoo nimeyatekeleza na mwanzo sio mbaya.

Hongera kupata mtoto. Alafu sikujua kama uko Mwanza
 
Mata pel at work
Wakati wenzako wanakimbizana na umande kwenda shule kupata maarifa wewe unakimbilia kuchunga ng'ombe
Mwisho wake ndo huu Kila jambo unaona ni utapeli kumbe ni kukosa maarifa.
Mpuuzi mmoja wewe.
Pic_1624047589550.jpg
 
Wataka mapacha!
Yes sindano ipo lakini ukikutwa una protin nzuri mwlini waweza jikuta unazaa hata 12 kwa mkupuo.
Sio mchezo.

Embu elezea vizuri November niabze michakato
 
Back
Top Bottom