Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hongera na pole .kuhusu mapacha nasikia kuna mahala Rukwa ukipiga kambi ukanywa maji ya mto fulani mapacha yanakuhusu. Otherwise msaada zaidi uko mikononi mwako kama unaweza changanya DNA usijuvunge makamanda tupo wengi humu .Yangu ni hayo mengi ni sumu.
Bado napata mkanganyiko kidogo.
Nimepitia uzi wako wa nyuma uliotoa taarifa ya kumhusu yule wa mwanzo aliyetangulia. Uzi ulikuwa wa mwaka Jana Sept 28, ulidai kuwa aliondoka akiwa na siku 2.
Kwa mahesabu kuanzia mwezi wa 10 mwaka Jana hadi mwezi huu Juni mwaka huu jumla ni miezi 9. Kama ulibeba ujauzito baada ya yule kuondoka, hadi sasa ndio ilikuwa muda wa kujifungua.
Sasa kama unasema mtoto huyu ndio anafikisha 40, je hii imekaaje?, au alizaliwa kabla hajafikisha miezi 9? Naomba unisaidie muongozo
Eee walaaa. Mbona sasa alternative ya pili hujaicommentia maana nayo iko na umuhimu.Haha nilionaga unaitwa mto pacha Kama sikosei
Ahsante kwa muongozo.Nilijifungua muda tu
Sio kila kitu napost exactly siku hiyo hiyo au miezi hiyo hiyo nilianza kushika simu nina miezi3 tangu kufariki mtoto
Na hata huyu nimepost sio kama kazaliwa jana now tunaelekea miezi miwili
Kweli mtoto alikaa siku3 na hadi kupost ilipita miezi Ndio nikapost
Mengine sio kila kitu napost at the same time my dear
Kwasababu.....
Mtafute mjane wa Mengi atakusaidia kupata mapachaNianze kwa kumshukuru Mungu hadi kufika hapa
Kesho ni 40 ya mwanangu, my boy
tangu kufariki my first child my queen rest well my angel [emoji1431][emoji1431]
Nimepata a health baby boy na kesho ndio 40 yake
Karibuni sanaaaaaaaa location Mwanza[emoji12][emoji12]
Tukifisha 6months nahitaji kupata mapacha kwa uwezo wa Allah[emoji2972][emoji2972] yeyote anayefahamu jinsi ya kupata twins
Niko na furaha ee Mungu umejua kunifuta machozi nilindie kipenzi changu malaika wako[emoji2972]
Safari yangu as usual ilikua ya furaha sana na uoga ndani yake
Furaha niliyonayo[emoji1430][emoji1430] I cant explain it
Nawaombea wote wenye uhitaji Mungu awabariki mpakate na nyinyi
Mungu atukuzie[emoji1431][emoji1431]
Mama Raheem Sterling...Abdulrahim (mama abdu, mama Rahim au mama imu[emoji7][emoji7])
Bado napata mkanganyiko kidogo.
Nimepitia uzi wako wa nyuma uliotoa taarifa ya kumhusu yule wa mwanzo aliyetangulia. Uzi ulikuwa wa mwaka Jana Sept 28, ulidai kuwa aliondoka akiwa na siku 2.
Kwa mahesabu kuanzia mwezi wa 10 mwaka Jana hadi mwezi huu Juni mwaka huu jumla ni miezi 9. Kama ulibeba ujauzito baada ya yule kuondoka, hadi sasa ndio ilikuwa muda wa kujifungua.
Sasa kama unasema mtoto huyu ndio anafikisha 40, je hii imekaaje?, au alizaliwa kabla hajafikisha miezi 9? Naomba unisaidie muongozo
Hahahahaa, ni kweli mkuu.Hahah, mkuu wakati mwingine hapa jeiefu we soma mada weka komenti halafu sogea kwenye uzi mwingine...
Unaweza ukakuta hata mwandishi wa huu uzi ni shangazi wa mtoto, mambo ya kuficha code kitaa...
Mtoto akifika miezi sita unataka mapacha Tena? Huyo mtoto atakuwa vizuri kweli? Kwanini usisubiri angalau hata miaka 2 hiv mkuu.Embu elezea vizuri November niabze michakato
Hii ni sawa. HongeraAsanteni woteeeeee sorry kwa uandishi mbaya
Nina furaha hata sijui naandika nini
Mwanangu wa kwanza alifariki,
Mungu amenibariki na mtoto mwingine na kesho ndio tunatoka 40
Asanteni tena na tena
Mtuombee[emoji1431][emoji1431]
Mzee wa Windhoek hahahMtoto akifika miezi sita unataka mapacha Tena? Huyo mtoto atakuwa vizuri kweli? Kwanini usisubiri angalau hata miaka 2 hiv mkuu.
Hahahaha niaje aisee ..tupo maeneo huku tumetulia
Humu ndani kuna watu makini sana.Bado napata mkanganyiko kidogo.