Nilifiwa na mwanangu wa kwanza, namshukuru Mungu nimepata mtoto mwingine wa kiume

Nilifiwa na mwanangu wa kwanza, namshukuru Mungu nimepata mtoto mwingine wa kiume

Andiko lako linatufanya tusome kwa kupanua Pupil hadi mwisho ndio lieleweke.

Hongera kwa kuazimisha 40 mbili tofauti.

Kuhusu suala la mapacha kupata kwa nia yako na ukapata, nitahitaji unielimishe kwani uelewa wangu siwezi kuutumia kuforce nipate mapacha

Inawezekana [emoji817] hela yako tu Kama sikosei hata muhimbili wanafanya (sina uhakika
 
Kati ya vitu vilinisumbua wiki hii hapa JF ni kujua uwepo wako Pisi kali bahati mbaya huwa siendi PM kwa mtu. Nilitaka kukwambia mojawapo ya maelekezo yako pale Kariakoo nimeyatekeleza na mwanzo sio mbaya.

Hongera kupata mtoto. Alafu sikujua kama uko Mwanza

Nipo nilikua busy na kibendi tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]


Nashukuru kama ulifanikisha[emoji1431][emoji1431]
 
Usimchukulie mtoto mpya kama compensation ya ambaye hayupo ukifanya hivyo utakua una criticise mno pia itafanya uexperience depression.

Mimi nawapenda. Anaitwa nani?
 
Asanteni woteeeeee sorry kwa uandishi mbaya

Nina furaha hata sijui naandika nini


Mwanangu wa kwanza alifariki,

Mungu amenibariki na mtoto mwingine na kesho ndio tunatoka 40

Asanteni tena na tena

Mtuombee[emoji1431][emoji1431]
Hongera na pole .kuhusu mapacha nasikia kuna mahala Rukwa ukipiga kambi ukanywa maji ya mto fulani mapacha yanakuhusu. Otherwise msaada zaidi uko mikononi mwako kama unaweza changanya DNA usijuvunge makamanda tupo wengi humu .Yangu ni hayo mengi ni sumu.
 
Asanteni woteeeeee sorry kwa uandishi mbaya

Nina furaha hata sijui naandika nini


Mwanangu wa kwanza alifariki,

Mungu amenibariki na mtoto mwingine na kesho ndio tunatoka 40

Asanteni tena na tena

Mtuombee[emoji1431][emoji1431]
Bado napata mkanganyiko kidogo.

Nimepitia uzi wako wa nyuma uliotoa taarifa ya kumhusu yule wa mwanzo aliyetangulia. Uzi ulikuwa wa mwaka Jana Sept 28, ulidai kuwa aliondoka akiwa na siku 2.

Kwa mahesabu kuanzia mwezi wa 10 mwaka Jana hadi mwezi huu Juni mwaka huu jumla ni miezi 9. Kama ulibeba ujauzito baada ya yule kuondoka, hadi sasa ndio ilikuwa muda wa kujifungua.

Sasa kama unasema mtoto huyu ndio anafikisha 40, je hii imekaaje?, au alizaliwa kabla hajafikisha miezi 9? Naomba unisaidie muongozo
 
Nianze kwa kumshukuru Mungu hadi kufika hapa


Kesho ni 40 ya mwanangu, my boy

tangu kufariki my first child my queen rest well my angel [emoji1431][emoji1431]

Nimepata a health baby boy na kesho ndio 40 yake

Karibuni sanaaaaaaaa location Mwanza[emoji12][emoji12]


Tukifisha 6months nahitaji kupata mapacha kwa uwezo wa Allah[emoji2972][emoji2972] yeyote anayefahamu jinsi ya kupata twins

Niko na furaha ee Mungu umejua kunifuta machozi nilindie kipenzi changu malaika wako[emoji2972]


Safari yangu as usual ilikua ya furaha sana na uoga ndani yake

Furaha niliyonayo[emoji1430][emoji1430] I cant explain it

Nawaombea wote wenye uhitaji Mungu awabariki mpakate na nyinyi

Mungu atukuzie[emoji1431][emoji1431]
Mwanza kubwa,tupe location
 
Back
Top Bottom