Tinsley
JF-Expert Member
- Nov 16, 2020
- 14,590
- 38,214
Lazima iwe hivyo mtoto ni zawadiAsante
Kweli kabisa
Kwa furaha hata usingizi silali vizuri muda mwingi niko macho
Mungu amekubariki na hiyo
Uzidi kuwa na furaha siku zote .
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lazima iwe hivyo mtoto ni zawadiAsante
Kweli kabisa
Kwa furaha hata usingizi silali vizuri muda mwingi niko macho
Kasema baby boy wake anatimiza siku 40 full stop, huko kwingine sijafatilia mkuu😂😂Kwa kweli kichwa maji logic na yote yalioandikwa sijaelewa hebu okoa jahazi kwa kunielewesha.
Amiin😍InshaAllah Dear. Zitatawala nyumba Yako kwa amri ya Mwenyezi Mungu.
Hapa Umeandika nini?Nianze kwa kumshukuru Mungu hadi kufika hapa.
Kesho ni 40 ya kifo cha mwanangu my boy, tangu kufariki my first child my queen rest well my angel [emoji1431][emoji1431] lakini nimepata tena a health baby boy na kesho ndio 40 yake. Karibuni sanaaaaaaaa location Mwanza[emoji12][emoji12]
Niko na furaha ee Mungu umejua kunifuta machozi nilindie kipenzi changu malaika wako[emoji2972]. Safari yangu as usual ilikua ya furaha sana na uoga ndani yake.
Furaha niliyonayo[emoji1430][emoji1430] I cant explain it. Tukifisha 6months nahitaji kupata mapacha kwa uwezo wa Allah[emoji2972][emoji2972] yeyote anayefahamu jinsi ya kupata twins.
Nawaombea wote wenye uhitaji Mungu awabariki mpakate na nyinyi.
Mungu atukuzie[emoji1431][emoji1431]
Pole sana mkuu, na hongera pia kwa new babyNianze kwa kumshukuru Mungu hadi kufika hapa.
Kesho ni 40 ya kifo cha mwanangu my boy, tangu kufariki my first child my queen rest well my angel [emoji1431][emoji1431] lakini nimepata tena a health baby boy na kesho ndio 40 yake. Karibuni sanaaaaaaaa location Mwanza[emoji12][emoji12]
Niko na furaha ee Mungu umejua kunifuta machozi nilindie kipenzi changu malaika wako[emoji2972]. Safari yangu as usual ilikua ya furaha sana na uoga ndani yake.
Furaha niliyonayo[emoji1430][emoji1430] I cant explain it. Tukifisha 6months nahitaji kupata mapacha kwa uwezo wa Allah[emoji2972][emoji2972] yeyote anayefahamu jinsi ya kupata twins.
Nawaombea wote wenye uhitaji Mungu awabariki mpakate na nyinyi.
Mungu atukuzie[emoji1431][emoji1431]
Japo wengine mimba walitupa chooni. Lkn Hawa Mungu awasamehe pia!Congratulations honey.
Mungu akubariki familia Yako na awajaalie uzao Mwema.
Wasio na watoto Mungu awabariki pia na awafute chozi lenu. Ipo siku ng'eeeee ng'eeeee zitatawala kwenye nyumba zenu.