Nilifiwa na mwanangu wa kwanza, namshukuru Mungu nimepata mtoto mwingine wa kiume


Inawezekana [emoji817] hela yako tu Kama sikosei hata muhimbili wanafanya (sina uhakika
 

Nipo nilikua busy na kibendi tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]


Nashukuru kama ulifanikisha[emoji1431][emoji1431]
 
Usimchukulie mtoto mpya kama compensation ya ambaye hayupo ukifanya hivyo utakua una criticise mno pia itafanya uexperience depression.

Mimi nawapenda. Anaitwa nani?
 
Asanteni woteeeeee sorry kwa uandishi mbaya

Nina furaha hata sijui naandika nini


Mwanangu wa kwanza alifariki,

Mungu amenibariki na mtoto mwingine na kesho ndio tunatoka 40

Asanteni tena na tena

Mtuombee[emoji1431][emoji1431]
Hongera na pole .kuhusu mapacha nasikia kuna mahala Rukwa ukipiga kambi ukanywa maji ya mto fulani mapacha yanakuhusu. Otherwise msaada zaidi uko mikononi mwako kama unaweza changanya DNA usijuvunge makamanda tupo wengi humu .Yangu ni hayo mengi ni sumu.
 
Asanteni woteeeeee sorry kwa uandishi mbaya

Nina furaha hata sijui naandika nini


Mwanangu wa kwanza alifariki,

Mungu amenibariki na mtoto mwingine na kesho ndio tunatoka 40

Asanteni tena na tena

Mtuombee[emoji1431][emoji1431]
Bado napata mkanganyiko kidogo.

Nimepitia uzi wako wa nyuma uliotoa taarifa ya kumhusu yule wa mwanzo aliyetangulia. Uzi ulikuwa wa mwaka Jana Sept 28, ulidai kuwa aliondoka akiwa na siku 2.

Kwa mahesabu kuanzia mwezi wa 10 mwaka Jana hadi mwezi huu Juni mwaka huu jumla ni miezi 9. Kama ulibeba ujauzito baada ya yule kuondoka, hadi sasa ndio ilikuwa muda wa kujifungua.

Sasa kama unasema mtoto huyu ndio anafikisha 40, je hii imekaaje?, au alizaliwa kabla hajafikisha miezi 9? Naomba unisaidie muongozo
 
Mwanza kubwa,tupe location
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…