Nilifiwa na mwanangu wa kwanza, namshukuru Mungu nimepata mtoto mwingine wa kiume

Usimchukulie mtoto mpya kama compensation ya ambaye hayupo ukifanya hivyo utakua una criticise mno pia itafanya uexperience depression.

Mimi nawapenda. Anaitwa nani?

Abdulrahim (mama abdu, mama Rahim au mama imu[emoji7][emoji7])
 

Haha nilionaga unaitwa mto pacha Kama sikosei
 

Nilijifungua muda tu

Sio kila kitu napost exactly siku hiyo hiyo au miezi hiyo hiyo nilianza kushika simu nina miezi3 tangu kufariki mtoto

Na hata huyu nimepost sio kama kazaliwa jana now tunaelekea miezi miwili

Kweli mtoto alikaa siku3 na hadi kupost ilipita miezi Ndio nikapost

Mengine sio kila kitu napost at the same time my dear

Kwasababu.....
 
Asanteni sana sana sanaaaa furaha niliyonayo natamani hata kupost pics zetu humu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Mniombee furaha idumu [emoji1431][emoji1431]

Namuangalia my kid moyoni nalia kwa furaha

Mtoto raha jamani

Nawaombea wote wenye uhitaji Mungu awabariki msichoke[emoji2972][emoji2972]

Voda fasta wenzangu tuungane[emoji1787][emoji1787] November[emoji2224][emoji2224]nampa yote baba chanja
 
Ahsante kwa muongozo.

Kila la kheri!
 
Mtafute mjane wa Mengi atakusaidia kupata mapacha
 

Hahah, mkuu wakati mwingine hapa jeiefu we soma mada weka komenti halafu sogea kwenye uzi mwingine...

Unaweza ukakuta hata mwandishi wa huu uzi ni shangazi wa mtoto, mambo ya kuficha code kitaa...
 
Hahah, mkuu wakati mwingine hapa jeiefu we soma mada weka komenti halafu sogea kwenye uzi mwingine...

Unaweza ukakuta hata mwandishi wa huu uzi ni shangazi wa mtoto, mambo ya kuficha code kitaa...
Hahahahaa, ni kweli mkuu.

Hata hivyo tayari kashanipa muongozo
 
Asanteni woteeeeee sorry kwa uandishi mbaya

Nina furaha hata sijui naandika nini


Mwanangu wa kwanza alifariki,

Mungu amenibariki na mtoto mwingine na kesho ndio tunatoka 40

Asanteni tena na tena

Mtuombee[emoji1431][emoji1431]
Hii ni sawa. Hongera
 
Humu ndani kuna watu makini sana.

Sent from my Infinix X572 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…