Abuu Dharr
JF-Expert Member
- Dec 28, 2017
- 2,911
- 3,016
Namuomba Allah ampe afya njema,furaha,amani,umri mrefu wenye kheri na ampe mwisho mwemaAbdulrahim (mama abdu, mama Rahim au mama imu[emoji7][emoji7])
Hahahaaa, najaribu kuchanganya na za kwangu mkuu
Bado napata mkanganyiko kidogo.
Nimepitia uzi wako wa nyuma uliotoa taarifa ya kumhusu yule wa mwanzo aliyetangulia. Uzi ulikuwa wa mwaka Jana Sept 28, ulidai kuwa aliondoka akiwa na siku 2.
Kwa mahesabu kuanzia mwezi wa 10 mwaka Jana hadi mwezi huu Juni mwaka huu jumla ni miezi 9. Kama ulibeba ujauzito baada ya yule kuondoka, hadi sasa ndio ilikuwa muda wa kujifungua.
Sasa kama unasema mtoto huyu ndio anafikisha 40, je hii imekaaje?, au alizaliwa kabla hajafikisha miezi 9? Naomba unisaidie muongozo
HahhaaaaDiva mwenyewe ana Happybirthday 3 kwa mwaka
Namuomba Allah ampe afya njema,furaha,amani,umri mrefu wenye kheri na ampe mwisho mwema
Jitahidi sana
Jina lake liandane na uhalisia wake
الله المستعانNdio
Nakuombea baharia atangaze ndoa sasa.Nianze kwa kumshukuru Mungu hadi kufika hapa.
Kesho ni 40 ya kifo cha mwanangu my boy, tangu kufariki my first child my queen rest well my angel [emoji1431][emoji1431].
Lakini nimepata tena a health baby boy na kesho ndio 40 yake. Karibuni sanaaaaaaaa location Mwanza[emoji12][emoji12]
Niko na furaha ee Mungu umejua kunifuta machozi nilindie kipenzi changu malaika wako[emoji2972]
Safari yangu as usual ilikua ya furaha sana na uoga ndani yake.
Furaha niliyonayo[emoji1430][emoji1430] I cant explain it.
Tukifisha 6months nahitaji kupata mapacha kwa uwezo wa Allah[emoji2972][emoji2972] yeyote anayefahamu jinsi ya kupata twins.
Nawaombea wote wenye uhitaji Mungu awabariki mpakate na nyinyi.
Mungu atukuzie[emoji1431][emoji1431]
AmenCongratulations honey.
Mungu akubariki familia Yako na awajaalie uzao Mwema.
Wasio na watoto Mungu awabariki pia na awafute chozi lenu. Ipo siku ng'eeeee ng'eeeee zitatawala kwenye nyumba zenu.