Nilifiwa na mwanangu wa kwanza, namshukuru Mungu nimepata mtoto mwingine wa kiume

Hapa Umeandika nini?

Kesho ni 40 ya kifo cha mwanangu my boy, tangu kufariki my first child my queen rest well my angel [emoji1431][emoji1431] lakini nimepata tena a health baby boy na kesho ndio 40 yake. Karibuni sanaaaaaaaa location Mwanza
 
Sio lazima muelewe Kila kitu, Elewa ulivyoelewa!!!
 
Pole sana mkuu, na hongera pia kwa new baby
 
Japo mtoto wa kiume hupaswi kumwita queen . Furaha isivuke mipaka ukamvunjia heshima huyo mwanevu, ''jembe".

Apumzike kwa amani.

Aidha hongera kwa kupata kijana mwingine.
 
Congratulations honey.

Mungu akubariki familia Yako na awajaalie uzao Mwema.

Wasio na watoto Mungu awabariki pia na awafute chozi lenu. Ipo siku ng'eeeee ng'eeeee zitatawala kwenye nyumba zenu.
Japo wengine mimba walitupa chooni. Lkn Hawa Mungu awasamehe pia!
 
Japo mtoto wa kiume hupaswi kumwita queen . Furaha isivuke mipaka ukamvunjia heshima huyo mwanevu, ''jembe".

Apumzike kwa amani.

Aidha hongera kwa kupata kijana mwingine.

Aliyefariki alikua wa kike, huyu wa sasa wa kiume
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…