Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa ili mambo yasiwe mengi sana chapa talaka mbili wakati unajitafakari.yes ni ya kiislamu mkuu
Ushauri wangu inabidi hapo ulieee sana machozi yakitoka ukinyamza hutafanya tena upuuzi kama huo.Kwema Wadau?
Naombeni ushauri wenu ndugu zangu,Nilikutana na Ex wangu ambaye aliniacha way back akaolewa but hakudumu ndoani alikaa 5 months only then after sometime akaolewa tena lakini hakudumu pia.Sababu ya ndoa zote kutodumu ilikuwa kutopata Mimba kiasi kwamba akasema hawezi kuolewa tena hadi abebe mimba,ajifungue ndio ataolewa.
Nilikutana nae Last Year kwenye mwezi wa Saba na tukarudisha mawasiliano na akaibuka Maghetoni nakumbuka ilikuwa tarehe 30/07/2023 akastay home kwangu kama three days akaondoka then after 2 days akarudi tena ikawa ndo kamchezo yaani anakuja week anaondoka then anarudi mwisho tukaanza kuishi pamoja.
Mwezi wa 9 hivi akanambia hajaona siku zake anahisi ana Mimba maana alivyokuja First Time alikuwa kwenye siku za hatari lakini hawezi kushangilia maana alishakutana na hizo mbanga mara nyingi lakini mwisho wa siku bila bila so tuvute subira hadi kitumbo kitoke ndo tukapime tuthibitishe kitu ambacho baadae tulikifanya na ikaonekana kweli mjamzito na kwa uwezo wake MUNGU akajifungua tarehe 19/04/2024.
She was so Happy kufanikiwa kupata mtoto na tukakubaliana tufanye kuhalalisha tu kwa ndoa simple tu maana yeye alishaolewa mara 2 so hataki tena mbwembwe.Kwahiyo Ijumaa ya tarehe 10/5/2024 tulifunga ndoa.Lakini kabla ya kufunga ndoa hiyo,asubuhi ya siku hiyo ya harusi/Ndoa nilichukua simu yake nitumie kumpigia mshenga wangu ili kupanga ratiba vizuri ya shughuli ndo nilipokutana na jambo ambalo limefanya niombe USHAURI HUU....
Nilikuta SMS anachati na jamaa anaomba Hela ya Matumizi akimwambia jamaa kuwa mtoto hana Pampers na pia Kodi yake alipopanga Imeisha.Tena anamuita mume wake kabisa "TUNAOWAAMINI NDO WANAOTUUMIZA" Kiukweli niliumia sana maana hata nilipomuuliza alianza kwa kukana kuwa hizo SMS za zamani lakini nilipombana zaidi akakiri kwamba jamaa ni Ex wake na alikuwa anamdanganya tu na wala jamaa hakutuma hela na pia wameishablokiana.Kiufupi ndoa tumefunga Fresh lakini mie sina IMANI wala AMANI kabisa yaani nawaza mengi hadi nahisi kuchanganyikiwa so guys please naomba ushauri wenu.....
WENU KATIKA MTIHANI MZITO
ahsante kakaKwa apa ndugu umeongeza tatizo, watu hushauri kutokana na experience zao au utani utani tu ila wewe unazidi kuumia ...kaa na mkeo chini mlijadili uone kama ana mwelekeo wa kubadilika, mpe msimamo Yako ukiwa very serious, na unamwambia hii ni last chance akirudia ajue ndo mwisho wa mahusiano yenu
Mwamba hapo umepigwa 100%, jiandae kwa maumivu makali zaidi ndani ya ndoa. Hizo mbanga huwa sio za kukimbilia kuzioa, hizo waachie wazee waliofiwa na wake zao, watu wazima waliochana na wake zao nk.Kwema Wadau?
Naombeni ushauri wenu ndugu zangu,Nilikutana na Ex wangu ambaye aliniacha way back akaolewa but hakudumu ndoani alikaa 5 months only then after sometime akaolewa tena lakini hakudumu pia.Sababu ya ndoa zote kutodumu ilikuwa kutopata Mimba kiasi kwamba akasema hawezi kuolewa tena hadi abebe mimba,ajifungue ndio ataolewa.
Nilikutana nae Last Year kwenye mwezi wa Saba na tukarudisha mawasiliano na akaibuka Maghetoni nakumbuka ilikuwa tarehe 30/07/2023 akastay home kwangu kama three days akaondoka then after 2 days akarudi tena ikawa ndo kamchezo yaani anakuja week anaondoka then anarudi mwisho tukaanza kuishi pamoja.
Mwezi wa 9 hivi akanambia hajaona siku zake anahisi ana Mimba maana alivyokuja First Time alikuwa kwenye siku za hatari lakini hawezi kushangilia maana alishakutana na hizo mbanga mara nyingi lakini mwisho wa siku bila bila so tuvute subira hadi kitumbo kitoke ndo tukapime tuthibitishe kitu ambacho baadae tulikifanya na ikaonekana kweli mjamzito na kwa uwezo wake MUNGU akajifungua tarehe 19/04/2024.
She was so Happy kufanikiwa kupata mtoto na tukakubaliana tufanye kuhalalisha tu kwa ndoa simple tu maana yeye alishaolewa mara 2 so hataki tena mbwembwe.Kwahiyo Ijumaa ya tarehe 10/5/2024 tulifunga ndoa.Lakini kabla ya kufunga ndoa hiyo,asubuhi ya siku hiyo ya harusi/Ndoa nilichukua simu yake nitumie kumpigia mshenga wangu ili kupanga ratiba vizuri ya shughuli ndo nilipokutana na jambo ambalo limefanya niombe USHAURI HUU....
Nilikuta SMS anachati na jamaa anaomba Hela ya Matumizi akimwambia jamaa kuwa mtoto hana Pampers na pia Kodi yake alipopanga Imeisha.Tena anamuita mume wake kabisa "TUNAOWAAMINI NDO WANAOTUUMIZA" Kiukweli niliumia sana maana hata nilipomuuliza alianza kwa kukana kuwa hizo SMS za zamani lakini nilipombana zaidi akakiri kwamba jamaa ni Ex wake na alikuwa anamdanganya tu na wala jamaa hakutuma hela na pia wameishablokiana.Kiufupi ndoa tumefunga Fresh lakini mie sina IMANI wala AMANI kabisa yaani nawaza mengi hadi nahisi kuchanganyikiwa so guys please naomba ushauri wenu.....
WENU KATIKA MTIHANI MZITO
Mbona kunyonge sanasawa bhana
sure ndugu yanguNarudia tena kuwaonya vijana, ukishaona cheche, chenga chenga au Red light kwenye njia ya kuelekea kuoa, unapaswa mara mara kupiga break, vuta kabisa na hand break, subiri zaidi na tafakari upya. Huenda mtu anayetaka kumuoa/kukuoa sio sahihi au wakati wa kuoa sio sahihi.
ahsante sana kakaUshauri wangu wa kukusaidia tu kwa sasa ni huu, please zingatia zaidi.
Mosi, kaa kwa tahadhari kubwa, ishi kwa hekima, kuwa mwerevu zaidi na makini. Fanya hivi kwa at least miaka mitatu.
Pili, muombe sana Mungu kuhusu hatma yako na hatma ya ndoa yako.
Mwisho, endelea kuishi na mkeo wa amani na furaha, subiri muda na nature iamue.
Wewe ni mwanaume, hii issue nina uhakika utatoboa tu, kujua tatizo na kuomba ushauri hiyo ni hatua kubwa umeweza kuifikia, the rest ni muda, umakini na uvumilivu.ahsante sana kaka
Nashkuru sana kaka maana umenipa nguvu na moyo naamini nikijipa muda kwa umakini,busara na uvumilivu nitatoboa inshaallah maana MUNGU yuko pamoja na wenye SUBRA.Nashkuru sana ndugu yanguWewe ni mwanaume, hii issue nina uhakika utatoboa tu, kujua tatizo na kuomba ushauri hiyo ni hatua kubwa umeweza kuifikia, the rest ni muda, umakini na uvumilivu.
Mwanaume kukosea katika maamuzi ya ndoa sio jambo la ajabu, wanaume waliofanikiwa kwenye ndoa ni wale walioweza kupambana kurekebisha makosa waliyoyafanya.
Mi naona tuzingatie neno "alinililia sana"😅😅Nilishindwa kuahirisha alinililia sana nisimdhalilishe mbele ya familia na ndugu zake