Niliharibiwa, nimepata uraibu wa kutamani Wanaume. Naomba msaada niweze kuacha

Kanunue viagra utumie kabla ya sex...huo mshipi utasimama vizuri na utachelewa kumwaga. Pia tafuta mke uoe itakusaidia kuondokana na mawazo hayo ya kishetani
Kumbuka pia Viagra unakunywa kwa ushauri wa daktari ambapo yeye anaona aibu kwenda hospitali maana anaweza kupiga Viagra kumbe ana tatizo la moyo.

Ila pole yake aisee
 
Mimi ni Mwanaume umri miaka 25 kipindi nipo Primary katika ukuaji wangu nishawahi kuingiliwa na ndugu yangu wa karibu akaniambia niseseme ikawa tabia yake ila sio mara kwa mara badae akaachaga kabisa.

Mimi alikuwa ashaniharibu kisaikolojia na unavojua akili za utoto zile, nikafikirigi ni michezo ya kawaida. Kuna kipindi nikaendaga kucheza kwa majirani kuna huyo mtoto ila alikuwa mkubwa kwangu kwa kukadiria kama miaka 5 amenipita nae ilikuwa michezo yake ila mimi nilikuwa sijui. Nae akafanikiwa kipindi natoka shule njiani akiniona mimi naenda anipeleka kichakan ikawa hivyo

Nikafika secondary mimi tayari hisia zangu kwa Mwanaume nikawa naichukia hali ile pia nilikuwa muoga sana kipindi nipo secondary nilingiliwa mara 7 kama sikosei ila sio shuleni. Nilipofika form 4 nikasema hapana nikaacha mpaka nikamaliza chuo ila kipindi hicho nilikuwa nahisia na Mwanaume mwenzangu hasa hawa wapiga gym

Mnielewe mimi nilizaliwa fresh kabisa nina sauti ya kiume wala sina chembechembe zozote wala sina sauti ya kike. Kutoka form 4 mpaka form 6 nikawa napiga punyeto nilivofika chuoni nikapataga mwanamke issue ni kwamba nikawa namwaga chini ya dkk 1, uume hausimami vizuri

Kuna muda nikawa na mawazo sana labda kipindi cha nyuma haswa kipindi kile napumuliwa ndio imesababisha hilo hali ninayo mpaka sasa hivi

Naombeni msaada kwa yeyote anaweza kunisaidia ni addiction ambayo napambana nayo kuzuia hisia ya kutomtamani Mwanaume mwenzangu kama mtu ana dawa yake mnisaidie

Hospitali naogopa naona aibu haswa ikitokea daktari wa kike kumuelezea hivi hata wa kiume pia kiukweli mimi michezo hii sipendi ila kuna muda unafanya bila kupenda. Naombeni msaada najua mkinisaidia hili hata tatizo la kumwaga litakuwa limesaidika.
2nasikitika kukupoteza
 
cc Bharka mwenzio huyu😠
 
1. Inabidi ujikubali wewe ni mwanaume na unapaswa uishi kiume.
2. Omba toba kwa Mungu wako, kwa maisha ulio ishi apo mwanzo, kwa kadiri ya imani yako. Ili Mungu alete mabadiliko kwenye maisha yako.
3. Jisamehe mwenyewe na uamini ya kwamba yale yalikuwa ya kale na sasa wewe ni mtu mpya.
4. Ishi maisha ya kawaida kama mtu mpya au mtu mwingine ambaye hakuwahi kupitia maisha hayo.

najua itakuwa ngumu ila unaweza kuleta mabadiliko kwenye maisha yako.
 
Back
Top Bottom