Jodoki Kalimilo
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 12,559
- 11,180
Kumbuka pia Viagra unakunywa kwa ushauri wa daktari ambapo yeye anaona aibu kwenda hospitali maana anaweza kupiga Viagra kumbe ana tatizo la moyo.Kanunue viagra utumie kabla ya sex...huo mshipi utasimama vizuri na utachelewa kumwaga. Pia tafuta mke uoe itakusaidia kuondokana na mawazo hayo ya kishetani
Achana nae asikupe stressHata unijue au usinijue itakusaidia nn nenda kanitangaze unapojua roho yako iwe na amani
Ilikuaje ukakubali heee Wenye watoto wa Kiume Mbna tunakaa roho juu loohAsante sana kuna mda huwa nahisi kama nimelaaniwa hivi
MakubwaNiliacha form4 kipind nipo secondary nilikuwa nafanya pasipokupenda kutokana na hisia
2nasikitika kukupotezaMimi ni Mwanaume umri miaka 25 kipindi nipo Primary katika ukuaji wangu nishawahi kuingiliwa na ndugu yangu wa karibu akaniambia niseseme ikawa tabia yake ila sio mara kwa mara badae akaachaga kabisa.
Mimi alikuwa ashaniharibu kisaikolojia na unavojua akili za utoto zile, nikafikirigi ni michezo ya kawaida. Kuna kipindi nikaendaga kucheza kwa majirani kuna huyo mtoto ila alikuwa mkubwa kwangu kwa kukadiria kama miaka 5 amenipita nae ilikuwa michezo yake ila mimi nilikuwa sijui. Nae akafanikiwa kipindi natoka shule njiani akiniona mimi naenda anipeleka kichakan ikawa hivyo
Nikafika secondary mimi tayari hisia zangu kwa Mwanaume nikawa naichukia hali ile pia nilikuwa muoga sana kipindi nipo secondary nilingiliwa mara 7 kama sikosei ila sio shuleni. Nilipofika form 4 nikasema hapana nikaacha mpaka nikamaliza chuo ila kipindi hicho nilikuwa nahisia na Mwanaume mwenzangu hasa hawa wapiga gym
Mnielewe mimi nilizaliwa fresh kabisa nina sauti ya kiume wala sina chembechembe zozote wala sina sauti ya kike. Kutoka form 4 mpaka form 6 nikawa napiga punyeto nilivofika chuoni nikapataga mwanamke issue ni kwamba nikawa namwaga chini ya dkk 1, uume hausimami vizuri
Kuna muda nikawa na mawazo sana labda kipindi cha nyuma haswa kipindi kile napumuliwa ndio imesababisha hilo hali ninayo mpaka sasa hivi
Naombeni msaada kwa yeyote anaweza kunisaidia ni addiction ambayo napambana nayo kuzuia hisia ya kutomtamani Mwanaume mwenzangu kama mtu ana dawa yake mnisaidie
Hospitali naogopa naona aibu haswa ikitokea daktari wa kike kumuelezea hivi hata wa kiume pia kiukweli mimi michezo hii sipendi ila kuna muda unafanya bila kupenda. Naombeni msaada najua mkinisaidia hili hata tatizo la kumwaga litakuwa limesaidika.
cc Bharka mwenzio huyu😠Mimi ni Mwanaume umri miaka 25 kipindi nipo Primary katika ukuaji wangu nishawahi kuingiliwa na ndugu yangu wa karibu akaniambia niseseme ikawa tabia yake ila sio mara kwa mara badae akaachaga kabisa.
Mimi alikuwa ashaniharibu kisaikolojia na unavojua akili za utoto zile, nikafikirigi ni michezo ya kawaida. Kuna kipindi nikaendaga kucheza kwa majirani kuna huyo mtoto ila alikuwa mkubwa kwangu kwa kukadiria kama miaka 5 amenipita nae ilikuwa michezo yake ila mimi nilikuwa sijui. Nae akafanikiwa kipindi natoka shule njiani akiniona mimi naenda anipeleka kichakan ikawa hivyo
Nikafika secondary mimi tayari hisia zangu kwa Mwanaume nikawa naichukia hali ile pia nilikuwa muoga sana kipindi nipo secondary nilingiliwa mara 7 kama sikosei ila sio shuleni. Nilipofika form 4 nikasema hapana nikaacha mpaka nikamaliza chuo ila kipindi hicho nilikuwa nahisia na Mwanaume mwenzangu hasa hawa wapiga gym
Mnielewe mimi nilizaliwa fresh kabisa nina sauti ya kiume wala sina chembechembe zozote wala sina sauti ya kike. Kutoka form 4 mpaka form 6 nikawa napiga punyeto nilivofika chuoni nikapataga mwanamke issue ni kwamba nikawa namwaga chini ya dkk 1, uume hausimami vizuri
Kuna muda nikawa na mawazo sana labda kipindi cha nyuma haswa kipindi kile napumuliwa ndio imesababisha hilo hali ninayo mpaka sasa hivi
Naombeni msaada kwa yeyote anaweza kunisaidia ni addiction ambayo napambana nayo kuzuia hisia ya kutomtamani Mwanaume mwenzangu kama mtu ana dawa yake mnisaidie
Hospitali naogopa naona aibu haswa ikitokea daktari wa kike kumuelezea hivi hata wa kiume pia kiukweli mimi michezo hii sipendi ila kuna muda unafanya bila kupenda. Naombeni msaada najua mkinisaidia hili hata tatizo la kumwaga litakuwa limesaidika.
Mh😔Kwahiyo mods wanajua kuandika vichwa vya habari kuliko watoa mada 😂😂😂😂
Vp babe
InasikitishaVp babe
Yes, maana jamaa aliandika kichwa chake yeye kilikuwa good, ila mods wamejifanya kumodifyInasikitisha
🤣🤣🤣🤣Yes, maana jamaa aliandika kichwa chake yeye kilikuwa good, ila mods wamejifanya kumodify
Mbona unacheka sasa jaman🤣🤣🤣🤣
Mungu atujalie girlsMbona unacheka sasa jaman
Kwann tenaMungu atujalie girls
Ukiwa mtoto hio hali ya kukutaa unakuwa huna pia unakuwa na hofu haswa ya kuongea mtu fulani kanifanyia pia unakuwa na hofu wazazi wakoIlikuaje ukakubali heee Wenye watoto wa Kiume Mbna tunakaa roho juu looh
Nimekuelewa poleUkiwa mtoto hio hali ya kukutaa unakuwa huna pia unakuwa na hofu haswa ya kuongea mtu fulani kanifanyia pia unakuwa na hofu wazazi wako
Boys Hapana Hali mbaya nje ukuKwann tena
Mkuu pole sana kwa kweliiiUkiwa mtoto hio hali ya kukutaa unakuwa huna pia unakuwa na hofu haswa ya kuongea mtu fulani kanifanyia pia unakuwa na hofu wazazi wako