UEFA ulikuwa unaangalizia wapi?Kulikuwaga na mwalimu wa DS alikuwa anaitwa Charles. Alikuwa mcheshi sana ila kwa bahati mbaya alikufa.
Mazanda nilikuwa simkubali saaana kwa maana nilipokuwa pale sikuwa ninajihusisha kabisa na siasa. Nilikuwa ninapenda zaidi UEFA.
Alisemaje kuhusu Tanzania yetu?Huyo mtanzania anaitwa Behaviourist
Ni kweliNaomba tupishane hapa, walimu hawachezeshi disco bali wanafunzi hawapo serious wanakalia mapenzi na kupoteza muda na smartphones baadala ya kusoma. Hili ndilo linaleta disco
Alafu mbaya zaidi ni kwamba, ukipata disco kisha mkarudi nyumbani, wale ambao ulikuwa unafanya nao usela chuo kwao wapo vizuri finacially, wazazi wao wanawatafutia vyuo pahala kwingine kisha mwenzangu na mie kwangu pa kavu unabaki mtaani tu kula ugali wa shikamoo baba.Ni kweli
Na hapo ndo lazima disco lichezwe
Hakika JF ni website ya taifaNiliyo tanabaisha hapa yameanza kufanyiwa kazi haraka Ushauri kwa TFF, bodi ya ligi na ligi kuu Tanzania
Hakika! In 4 days! Niliona official press na letter kwa issue ya haki za matangazo, then nimeanza kuona mabadiliko upande wa digital, toka juzi naona Under Age matches zinachezwa na kutangazwa kwa nguvu.Hakika JF ni website ya taifa
Tatizo lao hawafanyi appreciation sijui wanafikiri watapungukiwa na kitu ganiHakika! In 4 days! Niliona official press na letter kwa issue ya haki za matangazo, then nimeanza kuona mabadiliko upande wa digital, toka juzi naona Under Age matches zinachezwa na kutangazwa kwa nguvu.
Yaliyobaki natumai tutayaona mwanzo wa msimu mpya.
Hakika! Ni wachache sana wanatoa appreciations. Binafsi hufanya mambo yote kwa upendo ni kitarajia kuona mabadiliko bora na kuinuka kwa pamoja.Tatizo lao hawafanyi appreciation sijui wanafikiri watapungukiwa na kitu gani
Well said. Tanzania ni yetu sote na tuijenge kwa pamoja.Hakika! Ni wachache sana wanatoa appreciations. Binafsi hufanya mambo yote kwa upendo ni kitarajia kuona mabadiliko bora na kuinuka kwa pamoja.
Bado tunayo mengi ya kujifunza. Tusisite kushiriki, kutoa maoni na kupokea maoni.
Mm mwaka 2011 ndio namaliza pale i.a.aNilidisko IFM mwaka 2018. Njoo Mafinga tulime
Ulisoma kozi gani? Inawezekana tunajuana mkuu?Mm mwaka 2011 ndio namaliza pale i.a.a
Alisema mambo mengi mabaya kuihusu Tanzania.Alisemaje kuhusu Tanzania yetu?
Ntakuja kusoma hapa vizuri Mpenzi, nipo kwenye sherehe ya harusi hapa😍😍
Ile Volvo uliuza?Wewe tulikuwa ote. Mm nllimaliza 2010! Nliacha Mkuu ni MONYO! Nilipiga ADIT
Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
Sawa mke wangu.Ntakuja kusoma hapa vizuri Mpenzi, nipo kwenye sherehe ya harusi hapa😍😍
Kulikuwa na lecturer mmoja anamiliki Volvo ndogo Sedan sema jina lake limenitokaIle Volvo uliuza?