Niliidharau sana Fiat kumbe ni kampuni hatari

Maghayo

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2014
Posts
20,307
Reaction score
47,210
Mzuqa,

Sijui kwa nini na wengi jina Fiat ukilisikia moja kwa moja picha inayokujia ni hii "iconic truck" Mbaula yenye sura mbaya.
Sicily2.JPG

Dereva mzuri wa malori alikuwa anapimwa kwa umahiri wake akiendesha hili limbaula.

Ni juzi tu Ronaldo alipoamia Juventus ndipo nikaifahamu Fiat kiundani baada ya kuzama ndani zaid kwenye google. Ni wamiliki na wadhamini wa Juventus.

Ni kampuni kubwa na tajiri sana Italia. Na ndie mmiliki wa Ferrari gari maarufu na la anasa. Pia ni mmiliki wa magari mengine ya kifahari Maserati na Alfa Romeo.

Wafanyakazi katika Kampuni ya Fiat wamemind sana hela nyingi sana kutumika kumleta na kumnunua Ronaldo wakati maboresho na nyongeza ya mishahara yao kwa muda wa miaka 10 hayaridhishi.
 
Mzuqa,

Sijui kwa nini na wengi jina Fiat ukilisikia moja kwa moja picha inayokujia ni hii "iconic truck" Mbaula yenye sura mbaya.
View attachment 817026

Dereva mzuri wa malori alikuwa anapimwa kwa umahiri wake akiendesha hili limbaula.

Ni juzi tu Ronaldo alipoamia Juventus ndipo nikaifahamu Fiat kiundani baada ya kuzama ndani zaid kwenye google. Ni wamiliki na wadhamini wa Juventus.

Ni kampuni kubwa na tajari sana Italia. Na ndie mmiliki wa Ferrari gari maarufu na la anasa. Pia ni mmiliki wa magari mengine ya kifahari Maserati na Alfa Romeo.

Hakuna kampuni inaitwa fiat tena. Walibadikisha jina kwa sasa inaitwa volvo. Na inamilikiwa na matajir kutoka sweden.
 
Mkuu Volvo si ilikuwepo way back hata wakati wa Fiat 682? Labda useme kuwa kampuni ya Volvo imeinunua kampuni ya Fiat ntakuelewa,ila ukisema kuwa Fiat ndiyo imebadili jina na kuitwa Volvo utakuwa umedanganya!
 
Turin old lady,chama langu hilo,siku za karibuni watu kibao wamedandia hilo mbaula kwa mbele coz ya cr7,wakati wakongwe tuko nalo chama kitambo hata liliposhuka daraja to serie b tulishuka nalo tukiwa sambamba na wakongwe kina del piero na gigi buffon
 
Attachments

  • FB_IMG_1532348115446.jpg
    FB_IMG_1532348115446.jpg
    47.5 KB · Views: 69
Mzuqa,

Sijui kwa nini na wengi jina Fiat ukilisikia moja kwa moja picha inayokujia ni hii "iconic truck" Mbaula yenye sura mbaya.
View attachment 817026

Dereva mzuri wa malori alikuwa anapimwa kwa umahiri wake akiendesha hili limbaula.

Ni juzi tu Ronaldo alipoamia Juventus ndipo nikaifahamu Fiat kiundani baada ya kuzama ndani zaid kwenye google. Ni wamiliki na wadhamini wa Juventus.

Ni kampuni kubwa na tajari sana Italia. Na ndie mmiliki wa Ferrari gari maarufu na la anasa. Pia ni mmiliki wa magari mengine ya kifahari Maserati na Alfa Romeo.

Wafanyakazi katika Kampuni ya Fiat wamemind sana hela nyingi sana kutumika kumleta na kumnunua Ronaldo wakati maboresho na nyongeza ya mishahara yao kwa muda wa miaka 10 hayaridhishi.
iveco nao ni wa hukohuko
 
Usichanganye IVECO (former FIAT) na Volvo. Unatulisha tango pori
No sorry nimechanganya.. iveco na volvo. somehow majina yanafanana..
Ila yes kampuni ilibadilika baada ya kununuliwa na matajir wa sweden
 
Back
Top Bottom