Mzuqa,
Sijui kwa nini na wengi jina Fiat ukilisikia moja kwa moja picha inayokujia ni hii "iconic truck" Mbaula yenye sura mbaya.
Dereva mzuri wa malori alikuwa anapimwa kwa umahiri wake akiendesha hili limbaula.
Ni juzi tu Ronaldo alipoamia Juventus ndipo nikaifahamu Fiat kiundani baada ya kuzama ndani zaid kwenye google. Ni wamiliki na wadhamini wa Juventus.
Ni kampuni kubwa na tajiri sana Italia. Na ndie mmiliki wa Ferrari gari maarufu na la anasa. Pia ni mmiliki wa magari mengine ya kifahari Maserati na Alfa Romeo.
Wafanyakazi katika Kampuni ya Fiat wamemind sana hela nyingi sana kutumika kumleta na kumnunua Ronaldo wakati maboresho na nyongeza ya mishahara yao kwa muda wa miaka 10 hayaridhishi.