Liverpool VPN
JF-Expert Member
- Aug 29, 2020
- 6,958
- 16,358
- Thread starter
- #21
Tupeni majina yoyoteee.Lini mvulana akaoa?
Yawe Optimistic au Pesimism ila wembe ni uleule HATUOI.
#MERRY X-MASS
#YNWA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tupeni majina yoyoteee.Lini mvulana akaoa?
Baada ya kuujua ukweli ulitakiwa kusema NO hapo ungebreak the circle na pengine ungejiepusha na mambo mengi sana.Mi sijaelewa....
Kwani Karma ni yangu au ya mchepukaji.
Kama angesema "NO" tungefika hapa?
#YNWA
Kama ni Karma basi huyo mume wa mwanajeshi inawezekana ndio Karma yake alishatafuta mke wa mtu na yeye anatafuniwa mke wakeKanuni za KARMA unazifahamu lakini? Kama huzijui muulize Ole Sabaya au Humphrey Polepole.
Ila mkuu, muonee huruma mwenye mke. Kama wataachana, haitakuwa vizuri ww kuwa sababu.Wajumbee salamaaa....
Liverpool tumeingia Nusu fainali bana ya Carabao cup [emoji3060][emoji3060][emoji3060][emoji3060]..
Heko kwa Klop..!!
Tuache hayo.
Niliajiriwa 2013 nikiwa na Diploma.
Baada ya kukaa mwaka mmoja tu nikaenda kusoma..!!
Ndio ni mwaka mmoja tu, hata barua ya kuthibitishwa niliipata nikiwa darasani Nina ruhusa ya kusoma..!!
Basi bana 2014 nilivyoingia chuo sikutaka kujulikana kuwa Mimi ni Mtumishi wa Umma.
Kwa kwa umri wangu kipindi kile (24 Yrs) wengi ilikua rahisi kuamini kuwa nimeunga kutoka Chuo/Shule.
Kuna yale masomo mnasoma course nyingi.
Sasa pale chuoni kulikua na Somo fulani lina hesabu sanaa tulikua tukilisoma course 5..!!!
Sasa kwenye course nyengine kulikua na dada mmoja hivi alikua anasema hamuelewi mwalimu.
Basi bana katika kutafuta nani atamsaidia kuelewa "ampige tuition" masela wa darasa lake wakamlengesha kwangu..
Akaja kwangu na kujieleza, na kwakuwa Mimi kusoma nilikua naona uvivu nikaona "hapa ndio paku fanya rough paper ili nielewe zaidi"
Tulipanga tuition yetu itakuaje.
Tukaelewana "Kwakuwa Mimi naishi hostel na yeye off campus, basi nitakua naenda kwake kumpigia pindi muda wa jioni/usiku"
Basi bana nikawa natimba kila siku kufundisha.
Mara nakuta kapika, tukimaliza pindi tunakula dinner.
Huyu dada alikua ni mwanajeshi. Hivyo mashara ulikuwepo.
Ila sikuwahi kumwambia kuwa Mimi ni Mtumishi wa Umma.
Maisha yaliendelea.
Kuna siku tulipiga kwake assignment ya group (two individuals) ghafla tukashangaa imefika saa 6 usiku.
Nikalalamika mi siwezi kwenda hostel sasa hivi naogopa, na isitoshe mlinzi atakua kashafunga geti.
Basi bana tuliishia kulana tu.
Na kulana kuliendelea.
Tukiwa third Yr nilihisi kama ana mimba.
Siku hiyo nika m surprise kwa kipimo cha mimba.
Aligoma kidogo, ila at the end of the day alikubali.
Majibu yalionyesha "positive"
Tulikua kama mwezi hivi, Ndio siku hiyo akaomba meeting na Mimi..!!!
Ndio hapo sasa akanichana kuwa "Yeye ni mke wa mtu"
Alifunga ndoa na HR mmoja wa halmashauri X tokea 2003, kwahiyo kwa kipindi kile ndoa yake ilikua ya mke 10 yenye mtoto mmoja wa darasa la kwanza.
Tulikubaliana tuendelee kutanua njia ya mtoto na ili kuokoa Ndoa yake.
Nilichokuja kugundua, kumbe liKizo ya semister ya kwanza (Ile ya wiki 1) iliangukia kwenye siKu zAKE ZA HaTaRI.
KwahiYO TUligONGANA na pia alienda likizo akagongana na mumewe.
Kwahiyo yoyote aliweza kuwa baba ake mtoto.
Ila pia alinipiTa miaka 5, kwahiyo hata ningemuharibia ndoa, NISINGEWEZA KUMUOA.
Mwisho wa siku tuliendeleza penzi letu na tuligraduate akiwa na mimba kubwaa.
Alienda kuzalia kwake na mumewe.
Ila mpaka leo tuna mawasiliano, na Kaomba masters aje kusomea mkoa niliopo ili tuliendeleze penzi letu.
Sikujua kama ni mke wa mtu, na nilivyojua nilihuzunika sanaa ila NIMESHINDWA KUMWACHA.
Sababu kubwa ni kwamba "Anayajua mambo kitandani hasa na akifika kileleni ni full kufungulia Bomba"
Halikua kosa langu na haliwezi kuwa kosa langu.
Nadhani angejitambulisha mapema kipindi kile tunatongozana "NISINGEFIKA HAPA"
Ila mpaka leo amegoma kunitumia picha za mtoto.
Anasema akija kusoma Masters ataniletea picha niziview..!!!!
Mtoto kwasasa anaitwa Angel na anatumia ubin wa mumewe..!!!
Japo wote wawili tulilala nae wiki ya siku za hatari ila roho inaniambiaga "Huyu mtoto ni wangu"
...................
Nimeikumbuka hii story baada ya kuona Uzi wa Analyse ...!!! !
X-Mass njema wadau.
Kuoa KUNA CHANGAMOTO SANAA.
TAFUTA SANA PESA ILI UEPUKE NA KUDHARAULIWA KISHAMBA.
#YNWA
Soma mpaka mwisho halafu niambie "KOSA LANGU NI NINI?"
#YNWA
Hujajibu swali....Mla vya wenzie na vyake huliwa kama anavyo!!!
Ukiendelea kuila huku ukijua ni kinyume na sheria za imani yako nadhiri itakukumbusha.Hujajibu swali....
Mfano:-
Ukiwa wewe ni muislamu, nikakukaribisha kwangu kula, nikwkupa nyama ya kitimoto bila wewe kujua.
Wewe mlishwa utakua na dhambi yoyotee??
#YNWA
Hawawezi kuachana.Ila mkuu, muonee huruma mwenye mke. Kama wataachana, haitakuwa vizuri ww kuwa sababu.
Ni wachache sanaa ndio tutakao ingia MBINGUNI.Mbingu ni ngumu sana.
Nyie mnaotangaza kila siku kutafta pesa unadhani pesa inauwezo wa kununu kila kitu, kama ni hivo ingenunu roho ya mtu akifa ili arudi tena,Wajumbee salamaaa....
Liverpool tumeingia Nusu fainali bana ya Carabao cup 🥳🥳🥳🥳..
Heko kwa Klop..!!
Tuache hayo.
Niliajiriwa 2013 nikiwa na Diploma.
Baada ya kukaa mwaka mmoja tu nikaenda kusoma..!!
Ndio ni mwaka mmoja tu, hata barua ya kuthibitishwa niliipata nikiwa darasani Nina ruhusa ya kusoma..!!
Basi bana 2014 nilivyoingia chuo sikutaka kujulikana kuwa Mimi ni Mtumishi wa Umma.
Kwa kwa umri wangu kipindi kile (24 Yrs) wengi ilikua rahisi kuamini kuwa nimeunga kutoka Chuo/Shule.
Kuna yale masomo mnasoma course nyingi.
Sasa pale chuoni kulikua na Somo fulani lina hesabu sanaa tulikua tukilisoma course 5..!!!
Sasa kwenye course nyengine kulikua na dada mmoja hivi alikua anasema hamuelewi mwalimu.
Basi bana katika kutafuta nani atamsaidia kuelewa "ampige tuition" masela wa darasa lake wakamlengesha kwangu..
Akaja kwangu na kujieleza, na kwakuwa Mimi kusoma nilikua naona uvivu nikaona "hapa ndio paku fanya rough paper ili nielewe zaidi"
Tulipanga tuition yetu itakuaje.
Tukaelewana "Kwakuwa Mimi naishi hostel na yeye off campus, basi nitakua naenda kwake kumpigia pindi muda wa jioni/usiku"
Basi bana nikawa natimba kila siku kufundisha.
Mara nakuta kapika, tukimaliza pindi tunakula dinner.
Huyu dada alikua ni mwanajeshi. Hivyo mashara ulikuwepo.
Ila sikuwahi kumwambia kuwa Mimi ni Mtumishi wa Umma.
Maisha yaliendelea.
Kuna siku tulipiga kwake assignment ya group (two individuals) ghafla tukashangaa imefika saa 6 usiku.
Nikalalamika mi siwezi kwenda hostel sasa hivi naogopa, na isitoshe mlinzi atakua kashafunga geti.
Basi bana tuliishia kulana tu.
Na kulana kuliendelea.
Tukiwa third Yr nilihisi kama ana mimba.
Siku hiyo nika m surprise kwa kipimo cha mimba.
Aligoma kidogo, ila at the end of the day alikubali.
Majibu yalionyesha "positive"
Tulikua kama mwezi hivi, Ndio siku hiyo akaomba meeting na Mimi..!!!
Ndio hapo sasa akanichana kuwa "Yeye ni mke wa mtu"
Alifunga ndoa na HR mmoja wa halmashauri X tokea 2003, kwahiyo kwa kipindi kile ndoa yake ilikua ya mke 10 yenye mtoto mmoja wa darasa la kwanza.
Tulikubaliana tuendelee kutanua njia ya mtoto na ili kuokoa Ndoa yake.
Nilichokuja kugundua, kumbe liKizo ya semister ya kwanza (Ile ya wiki 1) iliangukia kwenye siKu zAKE ZA HaTaRI.
KwahiYO TUligONGANA na pia alienda likizo akagongana na mumewe.
Kwahiyo yoyote aliweza kuwa baba ake mtoto.
Ila pia alinipiTa miaka 5, kwahiyo hata ningemuharibia ndoa, NISINGEWEZA KUMUOA.
Mwisho wa siku tuliendeleza penzi letu na tuligraduate akiwa na mimba kubwaa.
Alienda kuzalia kwake na mumewe.
Ila mpaka leo tuna mawasiliano, na Kaomba masters aje kusomea mkoa niliopo ili tuliendeleze penzi letu.
Sikujua kama ni mke wa mtu, na nilivyojua nilihuzunika sanaa ila NIMESHINDWA KUMWACHA.
Sababu kubwa ni kwamba "Anayajua mambo kitandani hasa na akifika kileleni ni full kufungulia Bomba"
Halikua kosa langu na haliwezi kuwa kosa langu.
Nadhani angejitambulisha mapema kipindi kile tunatongozana "NISINGEFIKA HAPA"
Ila mpaka leo amegoma kunitumia picha za mtoto.
Anasema akija kusoma Masters ataniletea picha niziview..!!!!
Mtoto kwasasa anaitwa Angel na anatumia ubin wa mumewe..!!!
Japo wote wawili tulilala nae wiki ya siku za hatari ila roho inaniambiaga "Huyu mtoto ni wangu"
...................
Nimeikumbuka hii story baada ya kuona Uzi wa Analyse ...!!! !
X-Mass njema wadau.
Kuoa KUNA CHANGAMOTO SANAA.
TAFUTA SANA PESA ILI UEPUKE NA KUDHARAULIWA KISHAMBA.
#YNWA
Sio hadi aende chuo, wajuba wanabambia kama panafaa kubambiwaMkeo akienda chuo sijui kujiendeleza hesabu maumivu tu mmaee!
Atabambiwa na madogo wa 4m4 na 4m6 leaver walio festi yia.