Niliishi na mwanamke kwa miaka 2 bila kujua ni mke wa mtu

Niliishi na mwanamke kwa miaka 2 bila kujua ni mke wa mtu

Hujajibu swali....
Mfano:-
Ukiwa wewe ni muislamu, nikakukaribisha kwangu kula, nikwkupa nyama ya kitimoto bila wewe kujua.

Wewe mlishwa utakua na dhambi yoyotee??

#YNWA
Suala sio nani mwenye dhambi, ukweli unabaki kuwa ukweli kuwa umekula nguruwe ambayo ni nyama haramu!!!
 
Noma sana,nina jamaa yangu mke wake alienda shule kujiendeleza.Akiwa huko walianza mgogoro, mwanamke kamaliza chuo na karudi na Mimba..now wamesha break up..jamaa alizaa watoto wawili na huyo Dada..hivyo huyo wa tatu ndo kazalishwa huko chuo.
Kafanya kusudi Huyo Dada!kaahh!
 
Hivi humu JF kuna watu waliozaliwa miaka ya 60's?
Ujinga nao ni kipaji, Dr Slaa, Anna Tibaijuka, Jaji Werema kwa uchache tu hao wamezaliwa mwaka gani?

Au hujui hao ni member wa JF na walikuwa wanachangia mada humu kabla vijana kutoka makampuni ya Meta hawajavamia JF na kuondowa radha kabisa?

Kwa mfano Paskal Mayala unadhani ni wa miaka gani? Le Mutuz ana miaka 60 na yupo humu hadi huko kwenye viblog uchwara na Insta.
 
Haya.
 
Nyie mnaotangaza kila siku kutafta pesa unadhani pesa inauwezo wa kununu kila kitu, kama ni hivo ingenunu roho ya mtu akifa ili arudi tena,
Pesa hainunui roho ila inaokoa roho.
Ukiwa na pesa utalisha masikini, utasaidia wajane, utatibu wasiojiweza.
Kifupi utafanya yale Mungu aliyotiagiza kwa furaha na amani.

Hapo utakua umeiokoa roho yako.

Ila sisi masikini tukiambiwa tutoe tu sadaka tunaanza "Sadaka zimekua nyingi sanaa siku hizi"

Lakini pia TAZAMA hata njia za usafiri za matajiri na sisi kipato cha kawaida, wao usafiri wao unawahakikishia kufika salama zaidi kuliko sisi.

Braza mengi aliyaweza yotee yale ya kipindi cha uhai wake kwasababu ALIKUA NA PESA.

Hebu tutafute pesa tuache visingizio vya ajabu pindi ndugu zetu wanavyotupiga vibomu.

#YNWA
 
Aiseeehhh kuna siku nilicheza rafu moja sitakaa niisahau![emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]!!
Hebu tupe hiyo mkuu...
Ulimtunuki kitumbua kijana kimasihara.

Ila kwahiyo avatar yako natamani huyo kijana angekua ni Mimi 😋😋😋😋

#YNWA
 
Hebu tupe hiyo mkuu...
Ulimtunuki kitumbua kijana kimasihara.

Ila kwahiyo avatar yako natamani huyo kijana angekua ni Mimi 😋😋😋😋

#YNWA
Bora hata ingekua kimasihara sasa! Ile rafu siwezi irudiaaa Ila muhusika nilimwambiaga tukayasovu yakaisha!
 
Dah sisi ma hr tunanyanyaswa sana hapa halmashauri ya x,hapa suruhisho ninjatiba mpya tu
 
Back
Top Bottom