Suala sio nani mwenye dhambi, ukweli unabaki kuwa ukweli kuwa umekula nguruwe ambayo ni nyama haramu!!!Hujajibu swali....
Mfano:-
Ukiwa wewe ni muislamu, nikakukaribisha kwangu kula, nikwkupa nyama ya kitimoto bila wewe kujua.
Wewe mlishwa utakua na dhambi yoyotee??
#YNWA
Yenu wote wawili, yani umzalishe mke wa mtu halafu ujione uko sahihi kweli???Mi sijaelewa....
Kwani Karma ni yangu au ya mchepukaji.
Kama angesema "NO" tungefika hapa?
#YNWA
Au musibaKanuni za KARMA unazifahamu lakini? Kama huzijui muulize Ole Sabaya au Humphrey Polepole.
Kwenye hilo hata akomae awe kama jogoo n ngumu aiseeYan ni tabu sana inahitaji mtu aliekomaa kiakili kwel kwel
Nilivyo na dharau na vitoto nilivovizidi umri!!!hahaaha!Mkeo akienda chuo sijui kujiendeleza hesabu maumivu tu mmaee!
Atabambiwa na madogo wa 4m4 na 4m6 leaver walio festi yia.
Kafanya kusudi Huyo Dada!kaahh!Noma sana,nina jamaa yangu mke wake alienda shule kujiendeleza.Akiwa huko walianza mgogoro, mwanamke kamaliza chuo na karudi na Mimba..now wamesha break up..jamaa alizaa watoto wawili na huyo Dada..hivyo huyo wa tatu ndo kazalishwa huko chuo.
Wapo wengi tu,kuna mdingi namfahamu yuko above 60's na ni memba humuHivi humu JF kuna watu waliozaliwa miaka ya 60's?
InapendezaWapo wengi tu,kuna mdingi namfahamu yuko above 60's na ni memba humu
Ujinga nao ni kipaji, Dr Slaa, Anna Tibaijuka, Jaji Werema kwa uchache tu hao wamezaliwa mwaka gani?Hivi humu JF kuna watu waliozaliwa miaka ya 60's?
Haya.Ujinga nao ni kipaji, Dr Slaa, Anna Tibaijuka, Jaji Werema kwa uchache tu hao wamezaliwa mwaka gani?
Au hujui hao ni member wa JF na walikuwa wanachangia mada humu kabla vijana kutoka makampuni ya Meta hawajavamia JF na kuondowa radha kabisa?
Kwa mfano Paskal Mayala unadhani ni wa miaka gani? Le Mutuz ana miaka 60 na yupo humu hadi huko kwenye viblog uchwara na Insta.
Hebu niume sikio kidogo.Aiseeehhh kuna siku nilicheza rafu moja sitakaa niisahau![emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]!!
Pesa hainunui roho ila inaokoa roho.Nyie mnaotangaza kila siku kutafta pesa unadhani pesa inauwezo wa kununu kila kitu, kama ni hivo ingenunu roho ya mtu akifa ili arudi tena,
Hebu tupe hiyo mkuu...Aiseeehhh kuna siku nilicheza rafu moja sitakaa niisahau![emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]!!
Bora hata ingekua kimasihara sasa! Ile rafu siwezi irudiaaa Ila muhusika nilimwambiaga tukayasovu yakaisha!Hebu tupe hiyo mkuu...
Ulimtunuki kitumbua kijana kimasihara.
Ila kwahiyo avatar yako natamani huyo kijana angekua ni Mimi ππππ
#YNWA
Labda havijaamua tu, ukikutana na ambako kako serious lazima katakuvua pichu..Nilivyo na dharau na vitoto nilivovizidi umri!!!hahaaha!
Hata awe na nini simpi attention