Nilijikuta naishi maisha ambayo sikuyategemea ila sina jinsi

Uongoooooooooooooo......usitudanganye hapa. umeyataka mwenyewe na yamekushinda.
Wanawake sijui mtajifunza lini....kutwa kucha kushauriana ujinga.
 
Pole Sana,hongera Kwa kupambane ,tunaweza kuwa marafiki only friends
 
Kwa kuwa umetoa suluhisho ni sawa, nakubali kuwa mimi ni mchafu na yeye ni msafi,
 
Pole Sana ,..Mungu mwema ..japo huu Ni upande mmoja tu wa shilingi..natamani kuujua upande wa pili pia kuwa Kuna nini...Kama hutojal ntumie namba yako inbox nikupgie...
 
Labda nimefupisha sana kiasi watu mmehisi nimeleta malalamiko, haikuwa lengo kama ulivyotafsiri. Asante
 
Ogopa sana mwanamke.

They're never friends. Pana mmoja aliniambia Hana mume anaish kipekeake. Nikaenda kwake, nikafika day one hakupika nikaagiza msosi nje,tukala 15,000 nikaichoma.

Wkt naaga kuondoka akanizuia akidai namuachaje!

Nikasema kesho nayo siku. Akauliza atakula Nini? Akili angu ikachanga haraka haraka. Kwamba hapo nipo na nyoka. Nikatoa blue Tano. Sikugeuka.

My take.
Huyu angekuwa mpole angekula pesa yangu, ameniwahi Kwa mbele.

Asingekosa za vocha kula na vi elf 20 hadi 30k. Lkn ananguliza maslahi binafsi. Hata biashara utategemeaje faida siku hiyo hiyo?

Wanaume wengi tunatafuta sehem ya kupunzika. Wanawake tumieni akili, ninapokitana wanawake wababe nahisi sio watanzania. Watanzani ke wanashindwa kujua, hata wazungu nchi za USA, Canada na Scandinavia wanawapenda wanawake wa ki tz

I just can't believe
 
Asipomsamehe anapata faida gani?
Kutokusamehe mwisho wake ni kutaka kulipa kisasi, je kisasi kinamazuri ndani yake?

Wapendeni adui zenu, waombeeni wanaowaudhi.
We usiniletee hayo maandiko wakoloni waliyatumia kutawala babu zetu, ukimsamehe adui yako unapata faida gani?

Inabidi mtu akikufanyia ubaya ulpe kisasi tena mara tatu yake kama sio nne.

Kuna faida katika kulipa kisasi kuliko kusamehe.
 
Kuna faida katika kulipa kisasi
Faida gani?
Kisasi kina hasara tu wala hakina faida, utaumiza mtu bure na inaweza kupelekea kuumiza wengine pia wasiohusika katika ugomvi.
Na kama ulitendewa ubaya huwezi kubadili yaliyopita.
 
Duh! Inasikitisha Sana kwa kweli, Anyways,Mungu akufanyie wepesi katika hiki kipindi kigumu unachopitia.
Amini ipo siku mambo yatakaa sawa na Amana ya moyo wako itarejea.
 
Jamiiforum wangeweka utaratibu wa wao kudhibitisha identify ya mtu, kisha wanaoguswa wakaweza kumsaport mtu kwa account ya jamiiforum, wengi wanapitia magumu ambayo kwa kidogo mtu alichonacho kingeleta relief.

All in all pole sana dada angu.
Indeed this is a very good idea
 
Faida gani?
Kisasi kina hasara tu wala hakina faida, utaumiza mtu bure na inaweza kupelekea kuumiza wengine pia wasiohusika katika ugomvi.
Na kama ulitendewa ubaya huwezi kubadili yaliyopita.
Ye kipindi ananifanyia ubaya hakujua itaniumiza na watu wanaonitegemea?

US ilipopigwa na Japan Pearl Harbor hawakukaa kusema tumwachie Mungu, eti tusamehe na ujinga kama huo, wanaume walibeba atomic bombs, piga Hiroshima na Nagasaki, Japanese wakaomba msamaha vita iishe, hayo ndio maamuzi ya kiume, wangekua na akili kama zako hizi Japan ingewazoea, next time ikasema naitaka Hawaii.
Unaona leo Japan inavyoiheshimu US, endelea kudanganywa.
 
Mbona ameshaeleza chanzo cha mwanaume kukimbia wazee?,amesema hakujua sababu ya mwanaume kuondoka lakin baadae alikuja kuambiwa na ndugu wa mwanaume kuwa mume wake ameatumia ndugu wa pande zote ujumbe kuwa huyu mtoto wa pili si wake,ina maana mwanamke alichepuka,hicho ndio chanzo kwa maelezo yake lakin hizo tuhuma sio kweli
 
Hapo upo sahihi kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…