Nilijikuta naishi maisha ambayo sikuyategemea ila sina jinsi

Kumbe unajua hali halisi ya Mambo, haya mwambie aseme chanzo Cha mgogoro ni nini ?
 
Wanawake wengi walioolewa wana viburi sana kwa waume zao kwahiyo ishu sio uzinzi wakati mwingine unaona bora kutafuta kipozeoa cha nje
Baba Yao kasema yupo tayari kulea watoto wake na kuwahudumia so Cha muhimu watu mlio Katika ndoa wake kwa waume tulize de libolo kwa mke mmoja mlee watoto wenu na sio kila siku mnawaza uzinzi tu mwisho mnawatesa watoto kisa ndoa zenu fake
 
Ni muda mrefu moyo wangu umekua hauhisi maumivu kwa stori yoyote ila kwa hii kweli imeniuma sana, pole kwa mtihani huu mgumu.
Chanzo unajijua au ndio nyinyi wenye huruma kupitiliza huwezi kusaidia anaelia na wewe inamsaidia kwa kulia ndio unamaanisha hivyo ?
 
Waswahili wanasema kataa neno usikatae wito, wewe ungemuitikia huyo mume,sikiliza hoja yake ila baki na msimamo wako, kuwa anaweza kuhusiana na watoto wenu ila sio na wewe, kama anawasaidia awasaidie wakiwa kwako kama alivyowaacha mwanzo.

Najua inauma ila watoto kuna umri utafik wanaweza kuhoji kuhusu dingi au wakaambiwa kama atakuwa yupo hai, hapo unaweza kuta unamaindi… anyway uko mkoa gani?
 
Asilimia kubwa ya wanandoa wamepanaga bado labda umshauri awe na kipato chake maana hata mwanaume anaefurahia mke kuwa nyumbani bila kazi basi malengo ya maisha ni ngumu kufikia hasa kwa sisi wa vipato vya chini
Ni kweli awe na kipato chake maana hamueleweki
 
Pole sana bi dada, usikute kuhama kwa mumeo kunachangiwa sana na huyo mchepuko wake. Kama wasemavyo wahenga kuwa adui mkubwa wa mwanamke siku zote ni mwanamke mwenzake, mchepuko akishapata mwanamme ampendaye atafanya chini juu kumroga huyo mwanamme ili amuache mkewe wa ndoa na watoto achukuliwe yeye. I guarantee you, huyu mchepuko atakuwa kafanya sayansi kimu kumchota akili huyu mumeo. Nimeshuhudia haya kwa kaka yangu binamu, alifanya haya haya aliyofanya mumeo na hakujuwa kwanini alimuacha mkewe na watoto, alipozinduliwa akili (kwa manga wa kienyeji), cha kushangaza muda huo huo akaanza kumlilia mkewe na kuomba mganga amuachie arudi kwa mkewe akamalizie dozi mbele ya mkewe. Shemeji alipojuwa hili alilia sana na kumkaribisa mumewe kwa moyo mkunjufu ila alihapa kwa Mungu kummaliza yule mwanamke endapo atampata. Sijajuwa kama alifanikiwa, ni siri yake mwenyewe shemeji. Wanawake haswa michepuko ni waharibifu sana wa ndoa.
 
Lea watoto wako mkuu kwanini uforce kupewa kyuma, wacheni ujinga wakutesa watoto nyie k kanunue Kwa Malaya huko
 
Lea watoto wako mkuu kwanini uforce kupewa kyuma, wacheni ujinga wakutesa watoto nyie k kanunue Kwa Malaya huko
Hata wewe ukiniuzia sio vibaya nainunua si unaiuza Bei nafuu ? Kikubwa maelewano vipi unataka tuyajenge ?
 
Yes ila asimuhusishe mume Kwa maana mume ni muharibifu yupo kama nyani atammalizia mahindi shambani awe kimya tu kikinuka kama hiki anaenda kwake kashajenga siku mingi??
Cha msingi ajipange hayo mengine ni ziada tu
 
Dada miaka 5 chumba ki 1, apo kidg nakulaumu kwann usitafute mbali Zaid upate vya Bei RAHIS kidg ni Bora usafiri kwenda kazin kwa umbali lakin ustirike , kumbuka hao watoto ni WA kiume pole Sana Mungu awe pamoja na wewe
 
Umetendewa maovu na mumeo, lkn unasafisha dhambi za mumeo na kujitafutia laana mwenyewe kwa kumkataza mumeo kuwaona watoto. Hii dhambi haitakuacha salama.

Na baadaye watoto watakuchukia mara watakapofahamu kuwa wewe ndiye uliyekuwa kikwazo kwa wao kuonana na baba yao
 
Bogus ww
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…