Nilijikuta naishi maisha ambayo sikuyategemea ila sina jinsi

Dada wanaume wanabembelza sana usiseme hvyo,, na vp kuhusu mahusiano mapya unamtu?
 
Nikiwa kama katibu wa watoa pole TZ nasema pole sana bibie. Mungu yu pamoja nawe. Komaa tu na wanao ipo siku moja ya hao watoto atatokea Dimond Platnumz na utasahau yote. Sisi wanaume huwa tunazuzuka sana na mbususu mpya, jinga sana sisi.
Sio Mimi mkuu. Sii mjinga. Wadada kama huyu wengi saana. Na wanaliwa Sana Kwa sababu ya shida ya maisha.

1. Inakuaje hujui unalipa sh ngapi Kodi na mwez ni wangapi.

2. Vipi hauwi mnyenyekevu kwa kiongozi wa familia yaani mumewe.

3. Kwa nini unalea watoto pekeako. Maana mumeo asingekuacha nao.
 

Usimjudge tofauti, pia hatujasikia na upande wa pili.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapa naona bondia ni ww mwenyewe,refa ww mwenyewe,shabiki ni ww mwenyewe na uwanja ni WA kwako..umeamua kujipa ushindi na kumwonesha uyo mwanaume ndio shida.
Tunasubir upande wa pili nao uje.
Kuna vitu vingine ni sensless kabisa humu tunatumia fake IDs hatujuani Kwa lolote alafu ujizushie habari ya uongo Kwa watu wasiokujua Wala usiowajua ili iweje ? Mtu kashusha mzigo wake angalau apumue halafu wanatokea judges with no honor
 

Kwenye kumsikiliza siafikiani na nyie aisee.
Jamaa hamtakii mema huyu mwanamke. Ni kawaida ya watu wengi kupenda kuona ex wake akifeli, kwake jamaa ni furaha.

Kuruhusu ukaribu nae ni kujitafutia majanga tu, na pia huenda bibie asiweze kumchomolea mwamba wakarudiana, wakarudia historia ileile au mbaya zaidi ya mwanzo.

Kama kuna mwanga akomae tu, jamaa hana utu kabisa. Anamtafuta ammalize coz nadhani bado anaumia kuhisi kua kachapiwa hadi mkewe kazalishwa.
 
Kisa Cha kupewa RED CARD na aliekua mumeo hujaeleza, maelezo ya mumeo umeeleza kidogo kwa kificho sana, scenarios zimefichwa fichwa, nini chanzo cha mgogoro umesema mtoto Ila mbele unasema mumeo anasema anawapenda watoto wake Ila anaishi na mchepuko wa mda mrefu, dini yako hujasema umri pia umeficha umri wa mumeo umeficha, mumeo alikimbilia wapi umeficha, Sasa sisi maafisa ustawi wa jamii, mahakimu, majaji, mawakili na wanasheria wa JF tunakusaidiaje kupata sitahiki zako ?
 
Nimeomba stahiki? Kisa cha kuachana ni kirefu sana na sitaweza kukiweka hapa, umri wangu ni zaidi ya miaka 30
 
Pole kwa majanga
 
Nimeomba stahiki? Kisa cha kuachana ni kirefu sana na sitaweza kukiweka hapa, umri wangu ni zaidi ya miaka 30
Msamehe huyo mme wako mkaribishe mulee Watoto no body is perfect

Ukipenda kuhukumu , utazidi kuhudumiwa kwa umri wako wa 30+ yrs ndo umri sahihi wa kuishi bila kinyongo Kama unakubali mtumie chumba kimoja wewe na Watoto Wakati mme wako kasema yupo tiyari kutoa support kwa Watoto then wewe unamfungia vioo ndo Nini Sasa?
 
Nimeomba stahiki? Kisa cha kuachana ni kirefu sana na sitaweza kukiweka hapa, umri wangu ni zaidi ya miaka 30
Sasa story inakua haijatimia km haina kisa, maana hasingeondoka na kukutelekeza bila chanzo na chanzo hutaki kukisema au ulifumwa na mwanaume mwingine ? Maana kwenye maelezo yako umesema alipokupugia simu alisema una kiburi sababu ya Mwanaume mwingine hapo hapo unasema ndugu zako na ndugu zake aliwaambia umezaa mtoto na mwanaume mwingine kwa hio Ina maana alifuma kitu kinachohusu watoto kutoka kwako uligawa penzi kwa mwanaume mwingine ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…