I Inch 9 JF-Expert Member Joined Sep 9, 2024 Posts 1,093 Reaction score 1,365 Dec 1, 2024 #101 emmarki said: kuna mtu kasoma hadi aya ya mwisho akitafuta mahali umeandika umemnyandua huyo mama 🤣 Click to expand... Hivi kwa nini umeamua kunichekesha?
emmarki said: kuna mtu kasoma hadi aya ya mwisho akitafuta mahali umeandika umemnyandua huyo mama 🤣 Click to expand... Hivi kwa nini umeamua kunichekesha?
I Inch 9 JF-Expert Member Joined Sep 9, 2024 Posts 1,093 Reaction score 1,365 Dec 1, 2024 #102 Joannah said: Yaani ninunue halafu niseme asante?alooooh watu mmelelewa malezi bora sana Click to expand... Nyi majambazi yasiyotumia silaha ni kawaida kwani hata pesa ya kuhongwa unaona ni halali yako kupewa
Joannah said: Yaani ninunue halafu niseme asante?alooooh watu mmelelewa malezi bora sana Click to expand... Nyi majambazi yasiyotumia silaha ni kawaida kwani hata pesa ya kuhongwa unaona ni halali yako kupewa
emmarki JF-Expert Member Joined Nov 22, 2012 Posts 1,001 Reaction score 1,430 Dec 1, 2024 #103 Inch 9 said: Hivi kwa nini umeamua kunichekesha? Click to expand... uzi ulikuwa unaelekea huko kabisa, gafla script ikabadilika 🥴
Inch 9 said: Hivi kwa nini umeamua kunichekesha? Click to expand... uzi ulikuwa unaelekea huko kabisa, gafla script ikabadilika 🥴
Nikifa MkeWangu Asiolewe JF-Expert Member Joined Feb 26, 2024 Posts 6,944 Reaction score 14,351 Dec 1, 2024 Thread starter #104 fimboyaukwaju said: Tabia njema ni silaha Click to expand... Ni kweli asee
Mtoto wa nzi JF-Expert Member Joined Jun 6, 2012 Posts 10,017 Reaction score 18,537 Dec 1, 2024 #105 Bwayser said: Ukifa utanipa namba ya mke wako. Kuna jambo nataka nizungumze nae. Click to expand... Kuku Wana kipindupindu.. . Daaah.....
Bwayser said: Ukifa utanipa namba ya mke wako. Kuna jambo nataka nizungumze nae. Click to expand... Kuku Wana kipindupindu.. . Daaah.....
Joannah JF-Expert Member Joined May 8, 2020 Posts 20,921 Reaction score 49,014 Dec 1, 2024 #106 Inch 9 said: Nyi majambazi yasiyotumia silaha ni kawaida kwani hata pesa ya kuhongwa unaona ni halali yako kupewa Click to expand... 🤣🤣🤣🤣🤣Dah!kwani kuhongwa sio haki yangu?
Inch 9 said: Nyi majambazi yasiyotumia silaha ni kawaida kwani hata pesa ya kuhongwa unaona ni halali yako kupewa Click to expand... 🤣🤣🤣🤣🤣Dah!kwani kuhongwa sio haki yangu?
Joannah JF-Expert Member Joined May 8, 2020 Posts 20,921 Reaction score 49,014 Dec 1, 2024 #107 wil68 said: IMEANDIKWA, shukuru kwa kila jambo Click to expand... Nani kaandika?
I Inch 9 JF-Expert Member Joined Sep 9, 2024 Posts 1,093 Reaction score 1,365 Dec 1, 2024 #108 Joannah said: 🤣🤣🤣🤣🤣Dah!kwani kuhongwa sio haki yangu? Click to expand... Hongo ni kwa wote hata mwanamke anastahiri kuonga na ndio maana kuna Mishangazi.
Joannah said: 🤣🤣🤣🤣🤣Dah!kwani kuhongwa sio haki yangu? Click to expand... Hongo ni kwa wote hata mwanamke anastahiri kuonga na ndio maana kuna Mishangazi.