Ndio namlaumu unaoaje mke bila kuwa kazi au jambo lolote lakukuingizia kipato, kwetu ukija kuoa bila kazi unafukuzwa kabisa, wazee walikuwa na akili kuangalia hivo, Sasa vijana hamtaki kazi na unaoa lazima mgombane tu, hata Mimi kwangu ka mwanangu anataka kuoa na hana kitu Cha kumuingizia kipato namnyima kabisa, vijana jishuhgulisheni kuepuka kero za binadamu wa binafsi wa zama hizi, Mimi mwenyewe ni mwanamke siwezi tegemea mwanaume niishi na mikono na nina fanya kaziHivi are you serious, mtu Hana kazi afu unamlaumu eti anajisahau.
Inamaana jamaa anafanya kusudi anaficha Ela au?
Nmekujibu ulposemaUmesoma ulichojibu ama kwakua tayari una jibu lako?
Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Hivi unajua kuwa ukiwa mwanaume Ni mwanaume Sasa kwamfano huyo dada asingekua na kaz je watoto wangelala njaa? Sio kwamba mwanaume alibweteka kwa kuona kuwa mkewe ana kazi na anamkono wa kutoa na kumhudumia familia??. Wanaume huwa mnajisahau Sana mkipata wanawake watoajiNyie wanawake Ni wepesi wa kulaumu,
Unasema jamaa angekua anatimiza majuku yake,
Hivi Anatimizaje majukum yake ilhali mfukoni kumetoboka?
Au mnajisahaulisha kua mtoa mada keshasema jamaa hakua na kazi.
Ukiangalia kwa makini,Ndio namlaumu unaoaje mke bila kuwa kazi au jambo lolote lakukuingizia kipato, kwetu ukija kuoa bila kazi unafukuzwa kabisa, wazee walikuwa na akili kuangalia hivo, Sasa vijana hamtaki kazi na unaoa lazima mgombane tu, hata Mimi kwangu ka mwanangu anataka kuoa na hana kitu Cha kumuingizia kipato namnyima kabisa, vijana jishuhgulisheni kuepuka kero za binadamu wa binafsi wa zama hizi, Mimi mwenyewe ni mwanamke siwezi tegemea mwanaume niishi na mikono na nina fanya kazi
Siwez kusema mwanaume alibweteka.Hivi unajua kuwa ukiwa mwanaume Ni mwanaume Sasa kwamfano huyo dada asingekua na kaz je watoto wangelala njaa? Sio kwamba mwanaume alibweteka kwa kuona kuwa mkewe ana kazi na anamkono wa kutoa na kumhudumia familia??. Wanaume huwa mnajisahau Sana mkipata wanawake watoaji
Umesahau pale aliposema ali cheat kwa sababu kazini alikutana na wanaume wachapakazi lkn wa kwake yupo tu nyumbani hajishghulishi.Kuna tatizo mahali,
Mwanzo mwisho wa Hii stori mwanamke anaongelea kugharamia matumizi yote panapohitajika pesa.
Mwishoni kabisa Anashauri wanawake waolewe na wanaume wachapakazi.
Ukirejea mwanzoni, anatumbia mwanaume wake aliachishwa kazi (he was jobless).
Ila kuna mahali kasema yeye alikua na kazi ilokua inampa kipato cha kutosha mpk Cha kugharamia nyumbani, Pete, HARUSI na ndoa n.k
Ila sijaona kokote alikoonyesha juhudi za kumkwamua mwanaume wake kiuchumi ili wasonge wote mbele.
angalau kusema kamtaftia mtaji afungue genge, au kumuunganisha na kazi fulani jamaa akagoma kwenda kuifanya.
Mtoa mada Ni Aina ya wanawake wanaotaka mwanaume FINISHED PRODUCT.
Ni mwepesi Sana wa kulaumu mwenzie kutokua na kazi au kujishughulisha.
Wakati hajampa nyenzo wala Njia yoyote ya atokee wapi.
Mtoa mada
Ni sawa na kina ndugai wanaposema vijana wajiajili, serikalini hamna ajira. Wakati hawajawatengenezea nyenzo yoyote wahitimu Hawa kujiajili.
Kwanini huyo kaka alikubali?Ukiangalia kwa makini,
Hiyo Ndoa kalazimisha mwanamke.
Ndo maana mwanzoni kabisa kasisitiza mahali, Pete, harusi vyote kagharamia mwanamke.
Wewe unadhani alitoa utamu kwa mwanaume kisa tu ana kazi??? Hapa sababu alijua atapata HELA.Umesahau pale aliposema ali cheat kwa sababu kazini alikutana na wanaume wachapakazi lkn wa kwake yupo tu nyumbani hajishghulishi.
Yaani alicheat kwa sababu mwanaune wake hana kazi. Utaona huyu ni mwanamke wa namna gani.
Kwakifupi uskute alkua mdangaji anajifanya mjasiliamali[emoji4]Wewe unadhani alitoa utamu kwa mwanaume kisa tu ana kazi??? Hapa sababu alijua atapata HELA.
[emoji1621] maneno ya busara Sana mzee wa kimasiharaCHINI YA JUA HILI HAKUNA NDOA YENYE AMANI WAKATI MWANAUME HANA PESA..
Yote haya tatizo ni Moja tu mwanaume hana Pesa tutazunguka sana na kushauri sana lakini PESA NDIO JAWABU LA MAMBO YOTE.
Kumbe tunakubaliana Sasa mwanamke ndo tatizo[emoji2]. [emoji106]Kwanini huyo kaka alikubali?
Sikuhizi wanawake Wana gharamia ndoa ila ndio utajua huko ndani.
Sasa huyo mwanaume handsome mke andunje hapo lazima wagombane maana mwanamke hajiamini lazima apepete mdomo na aoe mwanaume.
Wanaume tuna huruma Sana,Kwanini huyo kaka alikubali?
Sikuhizi wanawake Wana gharamia ndoa ila ndio utajua huko ndani.
Sasa huyo mwanaume handsome mke andunje hapo lazima wagombane maana mwanamke hajiamini lazima apepete mdomo na aoe mwanaume.
Amini mkuu ukitaka amani na mwanamke kuwa na HELA kama huna yani utajua jeuri ya mwanamke..[emoji1621] maneno ya busara Sana mzee wa kimasihara
Kaka uhandsome na huna hela unauza utuWanaume tuna huruma Sana,
jamaa alimhurumia mpenz wake wa miaka mingi.
Ila uskute hakua type yake.
The was so handsome, japokua picha imefichwa.
Msiwe mnaingia kwenye mahusiano kisa kuhurumia mtu huku humpendi lazima mtesane au mje mgawane majengo ya serikali tu.Wanaume tuna huruma Sana,
jamaa alimhurumia mpenz wake wa miaka mingi.
Ila uskute hakua type yake.
The was so handsome, japokua picha imefichwa.
Uyu alkua Ni mwanamke kipengele Sana.Umesahau pale aliposema ali cheat kwa sababu kazini alikutana na wanaume wachapakazi lkn wa kwake yupo tu nyumbani hajishghulishi.
Yaani alicheat kwa sababu mwanaune wake hana kazi. Utaona huyu ni mwanamke wa namna gani.
Too much maneno hukwaza na kuharibu mambo, ni heri ukiwa na hasira usiongee heri kupigwa kuliko mtu anayetukana na kuongea maneno yanayo kwaza moyoKumbe tunakubaliana Sasa mwanamke ndo tatizo[emoji2]. [emoji106]
Ubarikiwe sana mkuu,Too much maneno hukwaza na kuharibu mambo, ni heri ukiwa na hasira usiongee heri kupigwa kuliko mtu anayetukana na kuongea maneno yanayo kwaza moyo