Nilijinunulia Pete, Nikagharamia harusi mwenyewe, Ndoa ikafa baada ya miezi minne

Pole sana mleta mada

Ila itoshe tu kusema kwamba hakuna mwanaume yeyote anayeweza kuvumilia matusi rejareja (mdomo pistol wako) kutoka kwa mwanamke wake regardless unamtunza wewe. We cherish our pride kwa wivu mkubwa hata kama mfukoni kumetoboka.

Pia most men if not all will never really forget and forgive once wana ushahidi 100% kwamba umecheat kwa kumvulia chupi njemba nyingine - no matter the circumstances. Deep down hili kosa huwa halisameheki hata kama atakuchekea usoni.

Mungu akutangulie mbele ya safari yako ya maisha. Usije kufanya kosa la tatu kujaribu kurudiana na yule bwana. Hiyo biashara is done and dusted
 
Nawewe unanielewa vyema nagonga kwenye nyanja gani... siku njema

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
 
Bora uliyejisepea,huku watu huvumilia mpaka wauawe,waue au wajiue.
Na Kuna wengine wanavumilia na Mambo yanakuwa mazuri to yeye . Kuna jamaa yangu wa karibu alikuwa kicheche na mlevi balaa. Mke kavumilia karibia miaka 10 anasali anamwombea mme wake. Ghafla mme kabadilika, Kawa mtulivu mtu wa kujali familia kaachana na maovu Yale.
Kila mtu alishangaa tukabaki kuitukuza utukufu wa aliye juu. Hakika atakayevumilia mpaka mwisho, ndiye atakayeokoka.
 
Hafu hii tabia ya jamii ku force watu wabaki kwenye mahusiano kinguvu ni tatizo linalofanya watu wavumilie shida huku wakiwa wanateseka mioyoni mwao
Ahhh Yani sijui jamii imekuaje alafu wana Ile tabia ya kusema kuwa ndoa ikivunjika mwanamke ndo mwenye matatizo so ameachwa ahhh. Huyo Kaka angekua anatimiza majukumu take sidhani Kama yote haya yangetokea.
 
Ahhh Yani sijui jamii imekuaje alafu wana Ile tabia ya kusema kuwa ndoa ikivunjika mwanamke ndo mwenye matatizo so ameachwa ahhh. Huyo Kaka angekua anatimiza majukumu take sidhani Kama yote haya yangetokea.
Wanaume nao sikuhizi wanajisahau majukumu Yao kama head of family, wanataka walelewe, na bado waku cheat na kukupiga pia wakupige kipigo Cha mbwa koko
 
Wanaume nao sikuhizi wanajisahau majukumu Yao kama head of family, wanataka walelewe, na bado waku cheat na kukupiga pia wakupige kipigo Cha mbwa koko
Mi ndo nisingefika huku kwa huyu dada maana sipendagi majeraha y kujitakia.
 
All women who messed up there marriage come up thinking they are marriage expert . Trust me they all have a role to play in there failures . And it’s a no mans land . If she was good and good guy could have showed up . And it couldn’t reach this far . A decent woman can’t go single .
 
Kuna watu huwa wanadhani ndoa inaweza kum badilisha mtu jamaniii Mwanaume akiwa mlevi usitegemee atabadilika baada ya kufunga ndoa haiwezekani
Tujikite kwenye kutafuta pesa.... Labda tunaweza kuwa tunapata faraja na kujispoil now and then.... Kupunguza machungu mbalimbali ya ndani ya Ndoa😅😅
 
Sielewi hata unatetea nn
Sasa insecurity za mwanaume ndo ajihami? Tukubaliane hapakua na Mapenzi hapa. Kila mru abaki na chake

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Mapenzi yalikuepo, na yasingekuepo wasingekua wanarudiana kila mara.

Back the story,
Hawa walkua na history ndefu San kwny mahusiano yao (tangu wako chuo, almost 10yrs back)

Sasa unapata wapi ubavu wa kusema kupakua na mapenzi?
 
Kabisa,
Yaan mwanaume ukiyumba TU kidogo tayar ishatafsilika unalelewa.

Ndo maana mi huwa nasema, hela ya mwanamke hapana.

Hata niyumbe vipi, sitamwambia want kua nimyumba.

Mwanamke akishaijua status yako KIUCHUMI, ataitumia kukunyanyasa kihisia.

Achilia mbali magumu KIUCHUMI alokua anapitia,
Jamaa alkua anapitia pia manyanyaso kisaikolijia maana mtoa mada alikua mdomo pistol
 
Kaka hawa malaya wenye videgree na viajira mavi sana wana dharau sana ndio maana hata hawaolewi afu hapa anakuja kuandika kana kwamba yeye ndio victim wakati yeye ndio kiini cha tatizo
Exactly,
Ukipitia uandishi wake utagundua kua alkua Ni mwanamke asiyefaa kua MKE wa mtu Bali kahaba TU wa kupunguzia nyege.

Sio wanawake wote wanafaa kua wake za watu, wengine waliumbwa kua makahaba.

Uku Kwenye Ndoa Ni kuforce TU.
 
Zamani nikiishi kwa baba angu mdogo, alkua dreva pale Ofisi ya rais-magogoni.
Alkua na MKE wake akifanya kazi pale bandar.

Jpm alipoingia Ikulu,
Jamaa akawa demoted hadi Kua dreva Tamisemi.
Aisee alipitia kipind kigumu Sana KIUCHUMI, ukzingatia alkua mtu wa Bata Sana.
Alkua na kitambi, kilikata chote.

Baadae (2018) akaja rudishwa nafas yake kule kule Ikulu, aisee mambo yalirudu Kama mwanzo.

Ila alichofanya ndani ya wiki TU ya kuanza kazi,
Mzee alimuachisha kazi MKE wake pale bandar, Tena kwa ukali na akampiga adi boss wake mkwara Kama akiendelea na kazi watafikishana pabaya.

Nilimuona Kama mzee muonevu Sana.

Ila nilivokua mkubwa,
Nilikuja gundua aisee huenda mzee alikua sahii japokua hajawai nambia sababu hasa za kumuachisha ile kazi.
 
Ukiona mwanamke anakulinganisha na wanaume wenzio, maana ake anawatamani.

Apo jibu Ni kumpa kelebu Moja ya maana sana akalale nao mbele.

Upuuz huu sio was kufumbia macho hata kidogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…