Kamanda Asiyechoka
JF-Expert Member
- Sep 13, 2020
- 3,315
- 5,058
Una hoja ila kuiegemeza na mashangingi ni ujingaHuko Hanang sioni vifaa vya kisasa vya kuokolea kama helkopta zenye crane zaidi ya kuona mawaziri wakiwa na fimbo za magongo...
Mjinga weweUna hoja ila kuiegemeza na mashangingi ni ujinga
Wanasubiri ajali ya kisiasa haoHuko Hanang sioni vifaa vya kisasa vya kuokolea kama helkopta zenye crane zaidi ya kuona mawaziri wakiwa na fimbo za magongo...
Wanasubiri ajali ya kisiasaHuko Hanang sioni vifaa vya kisasa vya kuokolea kama helkopta zenye crane zaidi ya kuona mawaziri wakiwa na fimbo za magongo...
Sasa kam riasi mwenyewe ni saa100 na wasaidizi wake ni akina nape makamba na mwigulu unategemea maajaba kweliCcm ni chama pekee Duniani kinachoongozwa na baadhi ya viongozi ambao kichwani ni Weupe kama Uyoga wa Makaburini.
ππSasa.wamekopeshwa
Naona bashungwa ameogopa sana π
Sasa hapa hata zikija helicopter zitafanya kazi gani?, akili za Chadema bana πππ hili ni janga la aina yake, ni Natural disaster! [Tope limeangukia bondeniπππ] , mkiambiwa acheni kujenga mabondeni mnabishia serekali yetu,Huko Hanang sioni vifaa vya kisasa vya kuokolea kama helkopta zenye crane zaidi ya kuona mawaziri wakiwa na fimbo za magongo....
Kuna vitu vinaanzia kwenye awali na makuzi. Asilimia kubwa ya waTanzania hawathamini uhai na maisha ya wenzao!Huko Hanang sioni vifaa vya kisasa vya kuokolea kama helkopta zenye crane zaidi ya kuona mawaziri wakiwa na fimbo za magongo...
Hujui kazi ya helkopta kwenye majanga ? Shwain?Sasa hapa hata zikija helicopter zitafanya kazi gani?, akili za Chadema bana πππ hili ni janga la aina yake, ni Natural disaster! [Tope limeangukia bondeniπππ] , mkiambiwa acheni kujenga mabondeni mnabishia serekali yetu,
AiseeeeCcm ni chama pekee Duniani kinachoongozwa na baadhi ya viongozi ambao kichwani ni Weupe kama Uyoga wa Makaburini.
Teh teh teh ulitegemea bata kupanda baiskeliHuko Hanang sioni vifaa vya kisasa vya kuokolea kama helkopta zenye crane zaidi ya kuona mawaziri wakiwa na fimbo za magongo...