Nilijua ajali ya ndege imetupa funzo la kuwekeza kwenye utayari wa kupambana na majanga

Nilijua ajali ya ndege imetupa funzo la kuwekeza kwenye utayari wa kupambana na majanga

Kamanda Asiyechoka

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2020
Posts
3,315
Reaction score
5,058
Huko Hanang sioni vifaa vya kisasa vya kuokolea kama helkopta zenye crane zaidi ya kuona mawaziri wakiwa na fimbo za magongo.

Chama tawala kinanunua mashangingi na kuyatawanya kwa Makatibu wake kwenye wilaya zaidi ya mia ishirini!

Mawaziri wananunuliwa V8 kila mwaka, V8 mpya Tsh. Mil. 500.

Kwanini msiwe na vifaa vya kisasa standby kwa ajili ya majanga? Yaani mkaacha kununua V8 na kuwekeza kwenye vifaa vya kisasa vya uokoaji!

1000005668.jpg
 
Huko Hanang sioni vifaa vya kisasa vya kuokolea kama helkopta zenye crane zaidi ya kuona mawaziri wakiwa na fimbo za magongo....
Sasa hapa hata zikija helicopter zitafanya kazi gani?, akili za Chadema bana 😁😁😁 hili ni janga la aina yake, ni Natural disaster! [Tope limeangukia bondeni😁😁😁] , mkiambiwa acheni kujenga mabondeni mnabishia serekali yetu,
 
Huko Hanang sioni vifaa vya kisasa vya kuokolea kama helkopta zenye crane zaidi ya kuona mawaziri wakiwa na fimbo za magongo...
Kuna vitu vinaanzia kwenye awali na makuzi. Asilimia kubwa ya waTanzania hawathamini uhai na maisha ya wenzao!

Kama unabisha subiri mtu apate fursa au madaraka ndo utabaini alivyo!

Nchi nyingine zinazojali mpaka sa hivi shughuli za uokoaji zingekuwa zinarushwa live na juhudi za viongozi wakuu zinaonekana! Na misaada ya kibinadamu ikitolewa kwa haraka kwa wenye mahitaji!
 
Sasa hapa hata zikija helicopter zitafanya kazi gani?, akili za Chadema bana 😁😁😁 hili ni janga la aina yake, ni Natural disaster! [Tope limeangukia bondeni😁😁😁] , mkiambiwa acheni kujenga mabondeni mnabishia serekali yetu,
Hujui kazi ya helkopta kwenye majanga ? Shwain?
 
Back
Top Bottom