Kamanda Asiyechoka
JF-Expert Member
- Sep 13, 2020
- 3,315
- 5,058
Huko Hanang sioni vifaa vya kisasa vya kuokolea kama helkopta zenye crane zaidi ya kuona mawaziri wakiwa na fimbo za magongo.
Chama tawala kinanunua mashangingi na kuyatawanya kwa Makatibu wake kwenye wilaya zaidi ya mia ishirini!
Mawaziri wananunuliwa V8 kila mwaka, V8 mpya Tsh. Mil. 500.
Kwanini msiwe na vifaa vya kisasa standby kwa ajili ya majanga? Yaani mkaacha kununua V8 na kuwekeza kwenye vifaa vya kisasa vya uokoaji!