Nilikamatwa Morogoro stesheni ya SGR nikituhumiwa kusafirisha chupa ya mil.500 ya maji ya kunywa!

Muwe mnasoma masharti,

Sgr inakataza kupanda na vyakula na vinywaji, wew unapanda nayo, ukipigwa fine hata Million ni uzembe hutakiwi kulalamika,

Btw, hizo sheria ni za kipuuzi, ila ndio hivyo zipo inabidi tuzifuate
Wapi zinapatikana nizisome kabla cjakata ticket, na je kama ujui kusoma inakuwaje hapo mkuu?
 
Aisee kazi Sana kuwaelewa vijana wa 2000s
 
Haha,
Mkuu, si umesikia faini yake ni 500k ?

Andaa tu na pesa ya faini kuepusha usumbufu mambo yasiwe mengi 😂 usisumbue watu kuja kukutoa ndani kwa dhamana
Watanionyesha iyo sheria inayosema ivyo
 
Kwamba ukipanda na vyakula inakuwa nini naona sheria imekaa kimchongo kuna kigogo kapewa tenda ya umamantilie auze kwa bei ya kukomoana wanachojali wao ni mifuko yao tu
Lakini jamani hapo morogoro kwan lazima ule njiani
 
Tumewekewa vitu standard bas na sisi tuishi kistandard mambo ya kienyeji tuachane nayo na tuache kuona km tunaonewa
 
Ungejipandia zako Shabiby tu mzee...unaingia hadi na maziwa yako, sambusa n.k...sheria za kikoloni kabisa.
Bora wangesema fine 2000/= wangepiga hela balaa...bila hata kuamsha hisia za watu
 
Muda wote maji ni dawa tosha na haihitaji kumuuliza mtu kama anakunywa maji au la, siku ikikutokea dharula ya kuishiwa maji mwilini ndipo utakapojua kuwa ni lazima muda wote uwe na chupa ya maji.
 
Mbona watanzania tunakuwa watu wa hovyo hivyo! Hata maji ya kunywa tunahitaji mtu atutetee haki ya kuwa nayo! Ipo shida.
 
Hata mimi sikuoneshwa hizo sheria, nilichukulia ni vitisho vya wapigaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…