Nilikua najua masihara issue ya unfollow machawa. Nikachukua sample ya Milard Ayo. Aisee namba zinatembea!

Tumechoka wanasapoti wanaokula minofu ya nchi pekee yao na kuteka watu,no reform no election, woooote machawa waliokwenda cdm unfollow
 
Ila mbona jamaa sio chawa au mi ndio sielewi maana hata mikutano Yao au kutaka ubunge huwa simuoni kwenye hizo mbanga
Labda mwijaku na doto sema mambo ya siasa ngoja niachane nayo
Nadhani ni kuwa biased na habari anazotoa katika pages zake kuegemea upande mmoja ndio maana watu wana hasira naye
 
Mkuu kufuata mtu kama Millard au page zingine sio ujinga. Sisi wengine tunaona umuhimu wake. Hao jamaa ndio wanaifanya dunia kuwa kijiji kwa kuwa tunapata habari kwa uharaka. Ni kama tulivyoamua kufuata page ya Max na App yake. Humu tunapata Elimu, Habari na burudani kwa uharaka tofauti na zamani ambapo tungesubiri taarifa ya habari au magazeti kesho ya siku ya tukio

Ikitokea ameshindwa kutimiza matarajio yetu tunajiondoa kimyakimya
 
Na wengi habari za uhakika tulikuwa tunapata katika pages zake. Ila siku hizi hana tofauti na TBC
 
Walioondoka kwa Millard ni tone. Tusubiri impact ya hii
 
Jana usku nimekatiza pale mitaa ya Fb eneo linaitwa ofisi ya Msemaji Mkuu wa serikali
Duh
Walikua wamepost habari inayohusu kuzuiliwa kwa Lema
Aisee jumbe zilizokuwa zinashuka pale utadhan sio za watanzania
 
Na wengi habari za uhakika tulikuwa tunapata katika pages zake. Ila siku hizi hana tofauti na TBC
Pia kuna upande lazima tuwaelewe hawa jamaa. Anapoanzisha page fulani kwenye mtandao wa kijamii lengo mama ni kunufaika kupitia maudhui atakayoweka. Hivyo lazima atakuwa upande unaompa ugali yeye pamoja na wafanyakazi.
 
HUKO INSTAGRAM KUANZIA JANA KUMEWAKA KILA POST YOYOTE UTAKAYO GUSA HAIJALOSHI INAHUSIHANA NA NINI UKIFUNGUA COMMENT 99% WATU WOTE UNAKUTA WAMECOMENT "NO REFORM NO ELECTION" HATA KAMA POST ZA KANGA MOKO WATU WAMECOMENT "NO REFORM NO ELECTION"...πŸ˜…πŸ˜…

PILI WAMEANZISHA OPERATIONS YA KU UNFOLLOW NA KUREPORT PAGE ZA MACHAWA WOTE KUANZIA STEVEN MENGELE NA WENGINE WOTE MPAKA SASA MILLAD AYO KAPOTEZA FOLLOWERS LAKI 3 MPAKA JIONI ATABAKI NA FOLLOWERS 3 MAANA WATU WANA SPEED HUKO...πŸ˜…πŸ˜…

FACEBOOK TUSIBAKI NYUMBA TU UNFOLLOW NA REPORT MACHAWA WOTE ILI WAWE NA AKILI SASA.....

USICOMENT NENO LOLOTE TOFAUTI NA "NO REFORM NO ELECTION"...✌✌
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…