Unaandika kama ni jambo rahiiiisi huyo millard ayo mwenyewe bila resource za clouds asingetoboaShida hata sio CCM, shida ni watanzania wenyewe na ujamaa wao. Wajamaa ni watu wanaoamini kwenye loose loose aituation (yaani tukose wote), hajiulizi ukimu unfollow millard kwa mfano wewe unagain nini?? Na yeye anagain nini? Kwa maana ya win win?? (Instead ya kumuunfollow kwanini na wewe usitengeneze account yako uatract watu wengi kwa contents za mlengo wako ili utengeneze na pesa juu?) kuna muda wa kufikiri kama capitalists unless hata serikali zikibadilishwa tutabaki vile vile. By the way millard bado ana followers zaidi y 15.3 M IG kama ilivyokuwa jana na jamaa mwezi ujao utakuta anao 15.4.
Unataka kuwapangia watu wafanye nini?Vijana fanyeni kaaazi
Beneficiary wa hayo ma social media ni wenye hizo platforms
Social media platforms ni watu.Unaandika kama ni jambo rahiiiisi huyo millard ayo mwenyewe bila resource za clouds asingetoboa
Hapa naona Doto Magari tumbo joto, sijui akifikiwa kwenye biashara yake ya magari mbona naona atachanganyikiwa kabisaNimeanza kumcheki jamaa mida ya saa 6 usiku, ubao wa followers IG ulikua unasoma hivi (note muda juu kulia)
View attachment 3358595
Saa moja baadae saa 7 usiku, ubao unasoma hivi:
View attachment 3358596
Imagine hii ni usiku wa manane amwpoteza zaidi ya watu 200, je mchana itakuaje?
Ngoja nifuatilie hii.
Sasa kwa sababu sio rahisi, tuwaache walofanikiwa waendelee na kile wanachokiamini. Kuanza campaign agaist them ni ujamaa tena ya ujima usio na tija kwao hata kwetu.Unaandika kama ni jambo rahiiiisi huyo millard ayo mwenyewe bila resource za clouds asingetoboa
Unachanganya madesaSasa kwa sababu sio rahisi, tuwaache walofanikiwa waendelee na kile wanachokiamini. Kuanza campaign agaist them ni ujamaa tena ya ujima usio na tija kwao hata kwetu.
Miaka ya nyuma, watu wangesubiri saa mbili usiku kuangalia habari kupitia taarifa ya habari ya ITV na zinginezo ana Redio ambazo taarifa zunachujwa mno na huwezi kuzipata zote. Kina millard na wenzao (online bloggers) wametusaidia kutuletea dunia kiganganjani zaidi na hatulazimiki tena kusubiri taarifa ya saa mbili. Sasa mnataka tubaki na mange kimambi App au account pekee???
Kumbuka pia taarifa sio za siasa pekee, wanatuhabarisha mambo mengi ya kijamii mfano ile issue ya yombo nk, sasa kwa mlengo wetu wa kisiasa tunaanza kutiana ujinga bila kuassess impacts... badala ya kuhimiza watu wafollow Chadema Media na zingine (tukakuza ufuasi wa accounts zetu rasmi) sisi tunaona ku unfollow millard ayo ni deal na tunakuza bila analysis ( imagine nimeona post ina likes 20k halfu ina comment 1k- assume comments zote ni za NRNE - inamaana likes ni za agaist hiyo campain - under ceteris - maana yake watu wa NRNE ni 5%pekee) na wakati unakiri sio rahisi kuanzisha kitu kipya... ujamaa ujamaa na hapa ndio nasema shida sio CCM ni mindset ya mtanzania
Ndio ukweli, tuifundishe jamii yetu na watoto wetu kuwa capitalists; tukiwa na akili hizi za kijamaa chama chochote kitakachokuwa madarakani kinaweza kutawala milele aisee..Unachanganya madesa
No reform No electionSasa kwa sababu sio rahisi, tuwaache walofanikiwa waendelee na kile wanachokiamini. Kuanza campaign agaist them ni ujamaa tena ya ujima usio na tija kwao hata kwetu.
Miaka ya nyuma, watu wangesubiri saa mbili usiku kuangalia habari kupitia taarifa ya habari ya ITV na zinginezo ana Redio ambazo taarifa zunachujwa mno na huwezi kuzipata zote. Kina millard na wenzao (online bloggers) wametusaidia kutuletea dunia kiganganjani zaidi na hatulazimiki tena kusubiri taarifa ya saa mbili. Sasa mnataka tubaki na mange kimambi App au account pekee???
Kumbuka pia taarifa sio za siasa pekee, wanatuhabarisha mambo mengi ya kijamii mfano ile issue ya yombo nk, sasa kwa mlengo wetu wa kisiasa tunaanza kutiana ujinga bila kuassess impacts... badala ya kuhimiza watu wafollow Chadema Media na zingine (tukakuza ufuasi wa accounts zetu rasmi) sisi tunaona ku unfollow millard ayo ni deal na tunakuza bila analysis ( imagine nimeona post ina likes 20k halfu ina comment 1k- assume comments zote ni za NRNE - inamaana likes ni za agaist hiyo campain - under ceteris - maana yake watu wa NRNE ni 5%pekee) na wakati unakiri sio rahisi kuanzisha kitu kipya... ujamaa ujamaa na hapa ndio nasema shida sio CCM ni mindset ya mtanzania
No reform No election na tunaendelea kureport account zao zifungiwe Ili wale jeuri yaoooNi nyumbu wachache sana walio-unfollow Millard. Hiyo ni kampeni ambayo haitekelezeki. Mange na CHADEMA wanajisumbua.
Naunga mkono hii kampeni hadi wafike mahali wasiendekee kutumika kuliangamiza taifa letu kwa kushabikia maovu,uonevu,utekaji na uuaji kwa raia wazalendo kwa taifa letu.
Ngoja nami nijiunge na msafaraUmechelewa mimi kitambo nishaunfollow chawa wote
No reform no electionNi nyumbu wachache sana walio-unfollow Millard. Hiyo ni kampeni ambayo haitekelezeki. Mange na CHADEMA wanajisumbua.
Hanithi baba yako huwa Namfua kila IjumaaTafuta hanithi wewe.
Tafuta pesa maskini mkubwa,chuki ziko mbele kwa ujinga😂😂Hanithi baba yako huwa Namfua kila Ijumaa
Wewe ni smart dude usie na akili, Ignorance is bliss!Shida hata sio CCM, shida ni watanzania wenyewe na ujamaa wao. Wajamaa ni watu wanaoamini kwenye loose loose aituation (yaani tukose wote), hajiulizi ukimu unfollow millard kwa mfano wewe unagain nini?? Na yeye anagain nini? Kwa maana ya win win?? (Instead ya kumuunfollow kwanini na wewe usitengeneze account yako uatract watu wengi kwa contents za mlengo wako ili utengeneze na pesa juu?) kuna muda wa kufikiri kama capitalists unless hata serikali zikibadilishwa tutabaki vile vile. By the way millard bado ana followers zaidi y 15.3 M IG kama ilivyokuwa jana na jamaa mwezi ujao utakuta anao 15.4.