Nilikupenda sana mke wangu, sikujua kama ningeharibu ua kwa kulimwagilia maji mengi

Pole mkuu, ila uandishi wako wa kistarabu japo kuba matusi
 
Jan kupenda kusikieni tu. Kuna muda unaweza kuwa nduli kinoma unawachapa unawaacha, ila ukija kunasa ukapenda pamoja na unduli wako utatulizwa.

Pamoja na unduli wangu wa kuto wajali wadada, tabia yangu ya kutupa ndoano mara moja akimeza fresh akitema fresh nk, nila najiona kabisa naelekea kunasa kwa kabinti haka. Ngoja nkapambanie nione kama katajaa.
 
kumbe wewe mdangaji wa kiume wewe
 
Dah! Tayari mwamba kaumizwa huku! 🙁
 
Acha nikushobokee
ndo ukereke
nimepata mumama
mwenye tukunyema

Tena mchokoleti ka maua sama
mwana mtindo ka sepetu wema
mpole ka fahima
na ananitunza vyema


Na hii hali ngumu ya uchumi
hao masela wakilia njaa na vumbi
me nalelewa sisumbuki
kila siku nala mishikaki

Napendwa kila kitu nagharimiwa
mpaka chupi nanunuliwa
na nkitaka kuenda bafuni nabebwa
naogeshwa mpaka vuzi nanyolewa

umarioo raha aaah
siku zote nina furaha aaah
kama si umarioo
leo nisingekuwa bishoo

hata ukinisimanga
hata ukiniita kitonga
hata ukinionea gere
siachi udezodezo vya bwerere

hata ukiniita gigolo
bado akiniita faraghani namfollow
me ndo dawake ya ukware
na baadaye ananipa hela si mpare
umarioooo tam
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…