Nilikuwa mfuasi wa Trump Kwa Muda Mrefu sana Ila Kwa Hili la Kusitisha Misaada na Ruzuku upande wa Afya Sikubaliani nalo, amekosea sana

DR Mambo Jambo

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2012
Posts
11,622
Reaction score
26,005
Siku ya Januari 20, 2025, Rais wa Marekani Donald Trump alisaini agizo la rais (executive order) lililosimamisha kwa muda wa siku 90 utoaji wa misaada nje ya Nchi, ikiwemo programu muhimu za afya kama Mpango wa Dharura wa Rais wa Marekani wa Kupambana na UKIMWI. "President's Emergency Plan for AIDS Relief " (PEPFAR).

Kusitisha Huku Progran Hizo kutaathiti Dawa za Virusi vya UKIMWI (ARV), Dawa za kifua kikuu (TB), na Dawa za malaria na Dawa za Uzazi wa Mpango..

Ukiachana na Kuathiri Upatikanaji wa Dawa Taarifa ya USAID kuhusu Kupunguza kusitisha Misaada ya Viti hivyo Kumeanza Kuleta Effect kwa Baadhi ya NGOs Mashirika Mengi..

Yanayohusika na Utoaji wa Dawa za ARV,Kifua kukuu na Ukoma,Uzazi wa Mpango,na malaria yameanza Kuyumba na wote wameanza Kutoa Notice kwa wafanyakazi wao kusubiri na Kuangalia kama Marekani itarudisha Panga kwenye ala bhasi watarudi kazini...

Takribani Wafanyakazi wa Mashirika Tanzania 2900s Wanaenda Kupoteza Kazi kutokana Na upuuzi na Ego ya Trump..

Poleni Afya, Poleni Wafanyakazj wenzangu na Mostly Poleni wagonjwa ambao mnaenda Kuathiriki kwa Order hii Isiyo na Mashiko..
_____________________________________

Waafrika Tujitegemee:
Uhuru kenyata

View: https://youtu.be/wYpSNxTxXE0
 
Huyo ni rais wa USA sio rais wa Tanzania. Jukumu lake ni kuipambania USA na sio kuisimamia Tz!

Hizi shida za Tz usimlalamikie Trump mlalamikie Samia, pia jilalamikie wewe kwa kuwa na akili fupi ya kuendelea kuichagua ccm wakati unaona kabisa hamna kitu wanafanya.
 
Siku ya Januari 20, 2025, Rais wa Marekani Donald Trump alisaini agizo la rais (executive order) lililosimamisha kwa muda wa siku 90 utoaji wa misaada nje ya Nchi, ikiwemo programu muhimu za afya kama Mpango wa Dharura wa Rais wa Marekani wa Kupambana na UKIMWI. "President's Emergency Plan for AIDS Relief " (PEPFAR).

Kusitisha Huku Progran Hizo kutaathiti Dawa za Virusi vya UKIMWI (ARV), Dawa za kifua kikuu (TB), na Dawa za malaria na Dawa za Uzazi wa Mpango..

Ukiachana na Kuathiri Upatikanaji wa Dawa Taarifa ya USAID kuhusu Kupunguza kusitisha Misaada ya Viti hivyo Kumeanza Kuleta Effect kwa Baadhi ya NGOs Mashirika Mengi..

Yanayohusika na Utoaji wa Dawa za ARV,Kifua kukuu na Ukoma,Uzazi wa Mpango,na malaria yameanza Kuyumba na wote wameanza Kutoa Notice kwa wafanyakazi wao kusubiri na Kuangalia kama Marekani itarudisha Panga kwenye ala bhasi watarudi kazini...

Takribani Wafanyakazi wa Mashirika Tanzania 2900s Wanaenda Kupoteza Kazi kutokana Na upuuzi na Ego ya Trump..

Poleni Afya, Poleni Wafanyakazj wenzangu na Mostly Poleni wagonjwa ambao mnaenda Kuathiriki kwa Order hii Isiyo na Mashiko..
Mkuu kwani wewe unalipa kodi USA? Kama unafanya hivo basi una haki ya kumuuliza kwa nini ameweka zuio.
 
Mkishaanza kuiheshimu Marekani kwa namna ile ambayo yeye anataka atarudisha mambo kuwa kama zamani now ameona dharau zimezidi.😅😅
 
Huyo ni rais wa USA sio rais wa Tanzania. Jukumu lake ni kuipambania USA na sio kuisimamia Tz!

Hizi shida za Tz usimlalamikie Trump mlalamikie Samia, pia jilalamikie wewe kwa kuwa na akili fupu yankuendelea kuichagua ccm wakati unaona kabisa hamna kitu wanafanya.
Nchi za Afrika Zote haziwezi kutoboa kwa Disease Burden Iliyopo Ngoja Twende statistically..

  • Riport ya mwaka jana Tanzania Kwa sasa Ina WAVIU- 1.7Milion na waviu wanaotumia ARV ni 1.4 Milion
  • Waliokuwa wana Ugonjwa wa Malaria walikuwa ni zaidi ya Milion 1
  • Watoto waliopatiwa Chanjo ni zaidi ya Milion 1
  • Watu waliotumia Njia za Uzazi wa Mpango ni zaidi ya Milions
  • Wagonjwa wa TB kwa mwaka Jana walikuwa zaidi ya Laki mbili
Hakuna Nchi narudia tena Hakuna nchi wala Chama Kinachoweza Kubeba Hiyo burden Bila Kuhitaji Msaada..
unajua Chanjo moja ni Bei gani? Unajua ARV Drugs Ni Tsh ngapi Kopo Moja? Unajua Uzazi wa Mpango Hata Kidonge tu Circle mpja Ni Tsh ngapi??
 
Siku ya Januari 20, 2025, Rais wa Marekani Donald Trump alisaini agizo la rais (executive order) lililosimamisha kwa muda wa siku 90 utoaji wa misaada nje ya Nchi, ikiwemo programu muhimu za afya kama Mpango wa Dharura wa Rais wa Marekani wa Kupambana na UKIMWI. "President's Emergency Plan for AIDS Relief " (PEPFAR).

Kusitisha Huku Progran Hizo kutaathiti Dawa za Virusi vya UKIMWI (ARV), Dawa za kifua kikuu (TB), na Dawa za malaria na Dawa za Uzazi wa Mpango..

Ukiachana na Kuathiri Upatikanaji wa Dawa Taarifa ya USAID kuhusu Kupunguza kusitisha Misaada ya Viti hivyo Kumeanza Kuleta Effect kwa Baadhi ya NGOs Mashirika Mengi..

Yanayohusika na Utoaji wa Dawa za ARV,Kifua kukuu na Ukoma,Uzazi wa Mpango,na malaria yameanza Kuyumba na wote wameanza Kutoa Notice kwa wafanyakazi wao kusubiri na Kuangalia kama Marekani itarudisha Panga kwenye ala bhasi watarudi kazini...

Takribani Wafanyakazi wa Mashirika Tanzania 2900s Wanaenda Kupoteza Kazi kutokana Na upuuzi na Ego ya Trump..

Poleni Afya, Poleni Wafanyakazj wenzangu na Mostly Poleni wagonjwa ambao mnaenda Kuathiriki kwa Order hii Isiyo na Mashiko..
Mkuu Trump anachokifanya kinatakiwa kiwe chachu Kwa viongozi wetu kujitathmini Kwa kina kuwa mtegemea cha ndugu hufa maskini, ni mda Sasa wa wa bara la Afrika kuanza kujitegemea Kwa kutumia vizuri rasilimali ilizojaliwa na Mungu, kuwawezesha wasomi wao katika tafiti mbali mbali za afya na kijamii , kufanya good allocation of resources ili tuache kuitegemea US na marafiki zake
 
Siku ya Januari 20, 2025, Rais wa Marekani Donald Trump alisaini agizo la rais (executive order) lililosimamisha kwa muda wa siku 90 utoaji wa misaada nje ya Nchi, ikiwemo programu muhimu za afya kama Mpango wa Dharura wa Rais wa Marekani wa Kupambana na UKIMWI. "President's Emergency Plan for AIDS Relief " (PEPFAR).

Kusitisha Huku Progran Hizo kutaathiti Dawa za Virusi vya UKIMWI (ARV), Dawa za kifua kikuu (TB), na Dawa za malaria na Dawa za Uzazi wa Mpango..

Ukiachana na Kuathiri Upatikanaji wa Dawa Taarifa ya USAID kuhusu Kupunguza kusitisha Misaada ya Viti hivyo Kumeanza Kuleta Effect kwa Baadhi ya NGOs Mashirika Mengi..

Yanayohusika na Utoaji wa Dawa za ARV,Kifua kukuu na Ukoma,Uzazi wa Mpango,na malaria yameanza Kuyumba na wote wameanza Kutoa Notice kwa wafanyakazi wao kusubiri na Kuangalia kama Marekani itarudisha Panga kwenye ala bhasi watarudi kazini...

Takribani Wafanyakazi wa Mashirika Tanzania 2900s Wanaenda Kupoteza Kazi kutokana Na upuuzi na Ego ya Trump..

Poleni Afya, Poleni Wafanyakazj wenzangu na Mostly Poleni wagonjwa ambao mnaenda Kuathiriki kwa Order hii Isiyo na Mashiko..
mimi naona ni sawa tu!! utafugaje uboo alaf **** kwa jirani!!
 
Dr. Una mtazamo gani kuhusu serikali kufanya matumizi ya anasa kila mwaka kwa kununua magari ya bilion 5 yearly kwa ajili ya watendaji wake. Huku huduma muhimu zikipewa kipaumbele duni?
Nadhani kabla hatujamlaumu Trump tujitafakari sisi wenyewe kwanza
 
Trump anaipambania USA, hawezi kufanya kazi kwa maslahi ya nchi zingine hivyo uwe supporter wake au usiwe sidhani kama itapunguza au kuongeza chochote huko Marekani.

Hata hivyo hii ni alert kwa nchi kama Tanzania, tuna mengi ya kujifunza kupitia hii executive order ya POTUS, tuishi kwa uwezo wetu, tuna matumizi makubwa sana kama serikali, tunafuja fedha za misaada na mikopo. Hakuna donor anafurahi kuona misaada inayotolewa haifiki kwa walengwa.

Nadhani ushawahi kusikia, America is for the Americans...kule urusi huo msemo upo sana, Russia for the Russians. Tujipqmbanie, sio kusubiri wengine watupe vya bure. JPM aliyasema haya tukampuuza.
 
Baada ya siku 90 za mapitio watarudisha kama kawaida au kwa kupunguza. Ni biashara kwao pia…… It is transactional.

Sasa iwe a wake up call kwa serikali zetu. Kama serikali haijajifunza haita jifunza tena.
 
Issue ya Trump sio hili wala lile, issue kubwa ya Trump hana principles bali akiamka anaangalia ni kipi anaweza kuridhisha base yake bila kuangalia consequences (the man is a Populist) and such a man siwezi kumuunga mkono..., kwahio kwenye hili ndio unaona amekosea vipi kujitoa katika Paris Accord (kwamba mazingira ni consipiracy) au vipi aliposhauri watu wajidunge disinfectants ili kuikabili Corona ?

Back
Top Bottom