Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ajira ya watanzania unamlalamikia Rais wa Marekani? Kabisa na haya huna? Kwl tunaishi na vichaaMkuu kwani wewe unalipa kodi USA? Kama unafanya hivo basi una haki ya kumuuliza kwa nini ameweka zuio.
Mpaka aibuAnavyomlalamikia ni kama vile yeye ndo aliempigia kura
Akili ya maskini hii, pamoja na athari, kumlalamikia Trump anayelinda kodi za watu wake, na kutolalamikia viongozi wako wanaochukua kodi yako ni ujinga sana.Takribani Wafanyakazi wa Mashirika Tanzania 2900s Wanaenda Kupoteza Kazi kutokana Na upuuzi na Ego ya Trump..
We unaumwaTuna Mikataba Nao ya Ruzuku na Ndo maana Tunalalamika kama Tusingekuwa na Mikataba nao tusingelalamika
Tuliwaambia Trump mwehu mkabisha.Siku ya Januari 20, 2025, Rais wa Marekani Donald Trump alisaini agizo la rais (executive order) lililosimamisha kwa muda wa siku 90 utoaji wa misaada nje ya Nchi, ikiwemo programu muhimu za afya kama Mpango wa Dharura wa Rais wa Marekani wa Kupambana na UKIMWI. "President's Emergency Plan for AIDS Relief " (PEPFAR).
Kusitisha Huku Progran Hizo kutaathiti Dawa za Virusi vya UKIMWI (ARV), Dawa za kifua kikuu (TB), na Dawa za malaria na Dawa za Uzazi wa Mpango..
Ukiachana na Kuathiri Upatikanaji wa Dawa Taarifa ya USAID kuhusu Kupunguza kusitisha Misaada ya Viti hivyo Kumeanza Kuleta Effect kwa Baadhi ya NGOs Mashirika Mengi..
Yanayohusika na Utoaji wa Dawa za ARV,Kifua kukuu na Ukoma,Uzazi wa Mpango,na malaria yameanza Kuyumba na wote wameanza Kutoa Notice kwa wafanyakazi wao kusubiri na Kuangalia kama Marekani itarudisha Panga kwenye ala bhasi watarudi kazini...
Takribani Wafanyakazi wa Mashirika Tanzania 2900s Wanaenda Kupoteza Kazi kutokana Na upuuzi na Ego ya Trump..
Poleni Afya, Poleni Wafanyakazj wenzangu na Mostly Poleni wagonjwa ambao mnaenda Kuathiriki kwa Order hii Isiyo na Mashiko..
Yeah Hili ni kweli maana Kiasi kinachohitajika Ili huduma Ziendelee vizuri ni 1.5 Trilion..Dr. Una mtazamo gani kuhusu serikali kufanya matumizi ya anasa kila mwaka kwa kununua magari ya bilion 5 yearly kwq ajili ya watendaji wake. Huku huduma muhimu zikipewa kipaumbele duni?
Nadhani kabla hatujamlaumu Trump tujitafakari sisi wenyewe kwanza
Siku 90 Ni nyingi sana Kama Hatuna Stock ya Kutosha..Baada ya siku 90 za mapitio watarudisha kama kawaida au kwa kupunguza. Ni biashara kwao pia…… It is transactional.
Sasa iwe a wake up call kwa serikali zetu. Kama serikali haijajifunza haita jifunza tena.
Uko sawa Ila Nikucorrect kidogo..Mimi nampongeza Trump, bora angesitisha misaada yote maana haiwezekani mpaka leo pamoja na kuwa na maprofesa na madokakta wenye PhD mpaka leo hakuna tafiti zozote za maana zinafanyika na mbaya zaidi hata kwenye bajeti ya serikali hamna hata fungu la maana linalotengwa kwa ajili ya tafiti!
Sasa wenzenu wanafanya tafiti kwankutumia maprofesa hao wao wenye PhD, wanaletea madawa tena ya misaada alafu unaanza kuwapangia?
Ni lini na sisi tutasimama wenyewe? Ni lini tutaacha lalamikia misaada na kuanza kutengeneza misingi ya kujitegemea wenyewe?
Kwamba nchi yetu haiwezi fanya anything kwa wananchi wake mpaka US, lakini nchi inaweza nunua kwa cash vitu vingine ila si afya ya watu wake. SadHakuna Nchi narudia tena Hakuna nchi wala Chama Kinachoweza Kubeba Hiyo burden Bila Kuhitaji Msaada..
unajua Chanjo moja ni Bei gani? Unajua ARV Drugs Ni Tsh ngapi Kopo Moja? Unajua Uzazi wa Mpango Hata Kidonge tu Circle mpja Ni Tsh ngapi??
Yaani unavyoongea utafikiri yule ni rais wa Tanzania, kumbe wala hata hana uhusiano wowote na watimbuktu wa Afrika. Tangu ukimwi uanze, ni zaidi ya miaka 40. Sisi badala ya kufanya tafiti za kutosha, tunaleta mzaha wa kula tunda kimasihara. Kwa taarifa tu, Trump akishikilia hapo hapo, nakwambia watu watadondoka zaidi ya wale waliodondoka miaka ya 80 na 90.Siku ya Januari 20, 2025, Rais wa Marekani Donald Trump alisaini agizo la rais (executive order) lililosimamisha kwa muda wa siku 90 utoaji wa misaada nje ya Nchi, ikiwemo programu muhimu za afya kama Mpango wa Dharura wa Rais wa Marekani wa Kupambana na UKIMWI. "President's Emergency Plan for AIDS Relief " (PEPFAR).
Kusitisha Huku Progran Hizo kutaathiti Dawa za Virusi vya UKIMWI (ARV), Dawa za kifua kikuu (TB), na Dawa za malaria na Dawa za Uzazi wa Mpango..
Ukiachana na Kuathiri Upatikanaji wa Dawa Taarifa ya USAID kuhusu Kupunguza kusitisha Misaada ya Viti hivyo Kumeanza Kuleta Effect kwa Baadhi ya NGOs Mashirika Mengi..
Yanayohusika na Utoaji wa Dawa za ARV,Kifua kukuu na Ukoma,Uzazi wa Mpango,na malaria yameanza Kuyumba na wote wameanza Kutoa Notice kwa
Basi kuna tatizo mahali,ama uusehemu ya mfumo unaoendekeza utegemezi ama uumnufaika wa misaada iliyositishwa.Yote ya yote usimlaumu Trump ila mshukuru kuwa amevurumisha upepo ulioanika nyeti za kuku.Hivyo ni muda wa kujua wapi nanapovuja na kupaziba ili tusimlaumu mzee wa miaka 80 anayeiamsha Dunia kutoka usingizini,ilhali tuvijana tunajua kuiba,kubweteka,kula na kulala,hamna cha bure duniani fanya kazi kwa bidii,acha uvivu,acha wizi maendeleo nje nje,rasilimali zipo hadi zingine zinagawiwa na wabwetekaji.Sema usingizi sasa noooo.Siku ya Januari 20, 2025, Rais wa Marekani Donald Trump alisaini agizo la rais (executive order) lililosimamisha kwa muda wa siku 90 utoaji wa misaada nje ya Nchi, ikiwemo programu muhimu za afya kama Mpango wa Dharura wa Rais wa Marekani wa Kupambana na UKIMWI. "President's Emergency Plan for AIDS Relief " (PEPFAR).
Kusitisha Huku Progran Hizo kutaathiti Dawa za Virusi vya UKIMWI (ARV), Dawa za kifua kikuu (TB), na Dawa za malaria na Dawa za Uzazi wa Mpango..
Ukiachana na Kuathiri Upatikanaji wa Dawa Taarifa ya USAID kuhusu Kupunguza kusitisha Misaada ya Viti hivyo Kumeanza Kuleta Effect kwa Baadhi ya NGOs Mashirika Mengi..
Yanayohusika na Utoaji wa Dawa za ARV,Kifua kukuu na Ukoma,Uzazi wa Mpango,na malaria yameanza Kuyumba na wote wameanza Kutoa Notice kwa wafanyakazi wao kusubiri na Kuangalia kama Marekani itarudisha Panga kwenye ala bhasi watarudi kazini...
Takribani Wafanyakazi wa Mashirika Tanzania 2900s Wanaenda Kupoteza Kazi kutokana Na upuuzi na Ego ya Trump..
Poleni Afya, Poleni Wafanyakazj wenzangu na Mostly Poleni wagonjwa ambao mnaenda Kuathiriki kwa Order hii Isiyo na Mashiko..
Disease Burden Ni kubwa sana kwa Nchi zetu za Africa Sisi peke yetu hatuweziSasa wa kutatua au kuzuia hilo tatizo ni Trump au rais wako Samia?
Siku ya Januari 20, 2025, Rais wa Marekani Donald Trump alisaini agizo la rais (executive order) lililosimamisha kwa muda wa siku 90 utoaji wa misaada nje ya Nchi, ikiwemo programu muhimu za afya kama Mpango wa Dharura wa Rais wa Marekani wa Kupambana na UKIMWI. "President's Emergency Plan for AIDS Relief " (PEPFAR).
Kusitisha Huku Progran Hizo kutaathiti Dawa za Virusi vya UKIMWI (ARV), Dawa za kifua kikuu (TB), na Dawa za malaria na Dawa za Uzazi wa Mpango..
Ukiachana na Kuathiri Upatikanaji wa Dawa Taarifa ya USAID kuhusu Kupunguza kusitisha Misaada ya Viti hivyo Kumeanza Kuleta Effect kwa Baadhi ya NGOs Mashirika Mengi..
Yanayohusika na Utoaji wa Dawa za ARV,Kifua kukuu na Ukoma,Uzazi wa Mpango,na malaria yameanza Kuyumba na wote wameanza Kutoa Notice kwa wafanyakazi wao kusubiri na Kuangalia kama Marekani itarudisha Panga kwenye ala bhasi watarudi kazini...
Takribani Wafanyakazi wa Mashirika Tanzania 2900s Wanaenda Kupoteza Kazi kutokana Na upuuzi na Ego ya Trump..
Poleni Afya, Poleni Wafanyakazj wenzangu na Mostly Poleni wagonjwa ambao mnaenda Kuathiriki kwa Order hii Isiyo na Mashiko..
Wewe una mambo kweli, mkalipe kodi na kuacha rushwa nchi yenu ijitegemeeSiku ya Januari 20, 2025, Rais wa Marekani Donald Trump alisaini agizo la rais (executive order) lililosimamisha kwa muda wa siku 90 utoaji wa misaada nje ya Nchi, ikiwemo programu muhimu za afya kama Mpango wa Dharura wa Rais wa Marekani wa Kupambana na UKIMWI. "President's Emergency Plan for AIDS Relief " (PEPFAR).
Kusitisha Huku Progran Hizo kutaathiti Dawa za Virusi vya UKIMWI (ARV), Dawa za kifua kikuu (TB), na Dawa za malaria na Dawa za Uzazi wa Mpango..
Ukiachana na Kuathiri Upatikanaji wa Dawa Taarifa ya USAID kuhusu Kupunguza kusitisha Misaada ya Viti hivyo Kumeanza Kuleta Effect kwa Baadhi ya NGOs Mashirika Mengi..
Yanayohusika na Utoaji wa Dawa za ARV,Kifua kukuu na Ukoma,Uzazi wa Mpango,na malaria yameanza Kuyumba na wote wameanza Kutoa Notice kwa wafanyakazi wao kusubiri na Kuangalia kama Marekani itarudisha Panga kwenye ala bhasi watarudi kazini...
Takribani Wafanyakazi wa Mashirika Tanzania 2900s Wanaenda Kupoteza Kazi kutokana Na upuuzi na Ego ya Trump..
Poleni Afya, Poleni Wafanyakazj wenzangu na Mostly Poleni wagonjwa ambao mnaenda Kuathiriki kwa Order hii Isiyo na Mashiko..
Bora mkiambiwa uchaguzi uwe uchaguzi na sii uchafuzi mielewage maana yake.Shida Ni kwamba Kuna tatizo kubwa litatengenezwa kwa Kufanya Hivyo
Sasa Point Yako nimeielewa Tatizo linakuja kuwa tangu tuingie kwenye capitalist kutoka kwenye Ujamaa Hatukwahi kufundishea jinsi ya Kuishi kama Capitalist country..Mimi sikatai unachosema swali ni je, ni jukumu la Trump kuhakikisha Tz ina hizo dawa? If not why mnamlalamikia?