Nilikuwa mfuasi wa Trump Kwa Muda Mrefu sana Ila Kwa Hili la Kusitisha Misaada na Ruzuku upande wa Afya Sikubaliani nalo, amekosea sana

Vinafanywa na Serikali na Daktari anaona ni sawa,
Hakuna anayeona Ni sawa Ila Unamuwekaje Daktari azungumzie Siasa na Wakati Kuna Watu uliowatuma Bungenj wazungumze Shida zako na Tayari Kikao chao Kimeanza?
Daktari atazungumza Yale tu yanayomhusu
 
Sasa kama wewe ni daktari na una akili kama hii, tutaponea wapi?
 
Nini kifanyike sasa?
 
Haf Kila siku yupo kwenye jukwaa kumtetea mama...akili kisoda kweli...
 
Shida ya trump ni hiyo anafanya mambo kwa kutafuta misifa.

Kati ya mambo yote anayofanya ni machache sana yanayoinufaisha marekani.
 
Nchi kama Tanzania, ina madini ya kila aina, ina vivutio vya utalii, bandari, ardhi nzuri, maziwa, bahari, mito ila bado mnahitaji msaada?
 
Tuliwaambia Trump mwehu mkabisha.

Mtaelewa tu.
Ukiwa mtu makini na unaeelewa ukweli wa mambo ni wazi Trump hako sawasawa.

Ni ukweli kuwa nchi za Afrika haziwezi kujitawala. Hakuna mwafrika anayeza kutawala.

Hawa wanaoitwa viongozi wa Afrika ni wawakilishi wa watawala, ambao wamewapa mamlaka ya kufanya mambo madogomadogo.
 
Nchi za Afrika haziwezi kujitawala au hazitaki kujitawala?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…