Nilikuwa mfuasi wa Trump Kwa Muda Mrefu sana Ila Kwa Hili la Kusitisha Misaada na Ruzuku upande wa Afya Sikubaliani nalo, amekosea sana

Nilikuwa mfuasi wa Trump Kwa Muda Mrefu sana Ila Kwa Hili la Kusitisha Misaada na Ruzuku upande wa Afya Sikubaliani nalo, amekosea sana

Vinafanywa na Serikali na Daktari anaona ni sawa,
Hakuna anayeona Ni sawa Ila Unamuwekaje Daktari azungumzie Siasa na Wakati Kuna Watu uliowatuma Bungenj wazungumze Shida zako na Tayari Kikao chao Kimeanza?
Daktari atazungumza Yale tu yanayomhusu
 
Nchi za Afrika Zote haziwezi kutoboa kwa Disease Burden Iliyopo Ngoja Twende statistically..

  • Riport ya mwaka jana Tanzania Kwa sasa Ina WAVIU- 1.7Milion na waviu wanaotumia ARV ni 1.4 Milion
  • Waliokuwa wana Ugonjwa wa Malaria walikuwa ni zaidi ya Milion 1
  • Watoto waliopatiwa Chanjo ni zaidi ya Milion 1
  • Watu waliotumia Njia za Uzazi wa Mpango ni zaidi ya Milions
  • Wagonjwa wa TB kwa mwaka Jana walikuwa zaidi ya Laki mbili
Hakuna Nchi narudia tena Hakuna nchi wala Chama Kinachoweza Kubeba Hiyo burden Bila Kuhitaji Msaada..
unajua Chanjo moja ni Bei gani? Unajua ARV Drugs Ni Tsh ngapi Kopo Moja? Unajua Uzazi wa Mpango Hata Kidonge tu Circle mpja Ni Tsh ngapi??
Sasa kama wewe ni daktari na una akili kama hii, tutaponea wapi?
 
Nini kifanyike sasa?
 
Huyo ni rais wa USA sio rais wa Tanzania. Jukumu lake ni kuipambania USA na sio kuisimamia Tz!

Hizi shida za Tz usimlalamikie Trump mlalamikie Samia, pia jilalamikie wewe kwa kuwa na akili fupi ya kuendelea kuichagua ccm wakati unaona kabisa hamna kitu wanafanya.
Haf Kila siku yupo kwenye jukwaa kumtetea mama...akili kisoda kweli...
 
Issue ya Trump sio hili wala lile, issue kubwa ya Trump hana principles bali akiamka anaangalia ni kipi anaweza kuridhisha base yake bila kuangalia consequences (the man is a Populist) and such a man siwezi kumuunga mkono..., kwahio kwenye hili ndio unaona amekosea vipi kujitoa katika Paris Accord (kwamba mazingira ni consipiracy) au vipi aliposhauri watu wajidunge disinfectants ili kuikabili Corona ?

Shida ya trump ni hiyo anafanya mambo kwa kutafuta misifa.

Kati ya mambo yote anayofanya ni machache sana yanayoinufaisha marekani.
 
Nchi kama Tanzania, ina madini ya kila aina, ina vivutio vya utalii, bandari, ardhi nzuri, maziwa, bahari, mito ila bado mnahitaji msaada?
 
Tuliwaambia Trump mwehu mkabisha.

Mtaelewa tu.
Ukiwa mtu makini na unaeelewa ukweli wa mambo ni wazi Trump hako sawasawa.

Ni ukweli kuwa nchi za Afrika haziwezi kujitawala. Hakuna mwafrika anayeza kutawala.

Hawa wanaoitwa viongozi wa Afrika ni wawakilishi wa watawala, ambao wamewapa mamlaka ya kufanya mambo madogomadogo.
 
Nchi za Afrika haziwezi kujitawala au hazitaki kujitawala?
 
Back
Top Bottom