Xi Jinping
JF-Expert Member
- Jun 14, 2023
- 3,651
- 11,548
Kiongozi naona unaongelea issue tofauti. Takwimu zako niza mchango katika UN na tunachoongelea hapq ni Trump ku free mchango wa Marekani katika kutoa foreign aid ambapo Us inatoa takribani usd.68bilion a year, EU usd.38billion na China 4.5billion.
Time will tellUkiwa na mahaba na nchi za Magharibi hauwezi kuijua wala kuiona misaada ya China.
Ukizungumzia upande wa capital China inatoa msaada mkubwa kuliko US na EU.
Nikupe tu mfano wa mradi wa China wa BRI angalia hizo takwimu ikifananishwa na Marekani
View attachment 3219873
View attachment 3219903
View attachment 3219908
Time will tell
Kumbe ndio maana Trump amekuwa na kasi ya kupunguza misaadaWhen will time tell?View attachment 3219914
Wakati recently imefikia hatua Marekani mpaka imeanza kufunga baadhi ya programu zake za kutoa misaada kwa sababu ya tatizo la fund
Ndio maana unaona Trump anajitoa kwenye kutoa misaada
Wameanza kufulia, soma article hiyo kutoka VoA
Shida iko kwako zaidi kuliko kwa Trump. Alizunguka USA kote kuomba kura ili aweze kutekeleza, na wamarekani wengi wakampa na sasa anatekeleza sera zake, wote mliomuunga mkono mnapaswa kumpigia makofi Trump kwa kutekeleza ilani.Siku ya Januari 20, 2025, Rais wa Marekani Donald Trump alisaini agizo la rais (executive order) lililosimamisha kwa muda wa siku 90 utoaji wa misaada nje ya Nchi, ikiwemo programu muhimu za afya kama Mpango wa Dharura wa Rais wa Marekani wa Kupambana na UKIMWI. "President's Emergency Plan for AIDS Relief " (PEPFAR).
Kusitisha Huku Progran Hizo kutaathiti Dawa za Virusi vya UKIMWI (ARV), Dawa za kifua kikuu (TB), na Dawa za malaria na Dawa za Uzazi wa Mpango..
Ukiachana na Kuathiri Upatikanaji wa Dawa Taarifa ya USAID kuhusu Kupunguza kusitisha Misaada ya Viti hivyo Kumeanza Kuleta Effect kwa Baadhi ya NGOs Mashirika Mengi..
Yanayohusika na Utoaji wa Dawa za ARV,Kifua kukuu na Ukoma,Uzazi wa Mpango,na malaria yameanza Kuyumba na wote wameanza Kutoa Notice kwa wafanyakazi wao kusubiri na Kuangalia kama Marekani itarudisha Panga kwenye ala bhasi watarudi kazini...
Takribani Wafanyakazi wa Mashirika Tanzania 2900s Wanaenda Kupoteza Kazi kutokana Na upuuzi na Ego ya Trump..
Poleni Afya, Poleni Wafanyakazj wenzangu na Mostly Poleni wagonjwa ambao mnaenda Kuathiriki kwa Order hii Isiyo na Mashiko..
_____________________________________
Waafrika Tujitegemee:
Uhuru kenyata
View: https://youtu.be/wYpSNxTxXE0
Sawa Ila Dawa za umeme atupatieKumbe ndio maana Trump amekuwa na kasi ya kupunguza misaada
Point hii dah kweli kuna vichwa vimewekwa bench wakati kuna masifuri wameshika NchiHuyo ni rais wa USA sio rais wa Tanzania. Jukumu lake ni kuipambania USA na sio kuisimamia Tz!
Hizi shida za Tz usimlalamikie Trump mlalamikie Samia, pia jilalamikie wewe kwa kuwa na akili fupi ya kuendelea kuichagua ccm wakati unaona kabisa hamna kitu wanafanya.
Trump kaanza kuwanyoosha wagonjwa wa Ukimwi wenye TB na wajawazito ila hapa kwa wajawazito kasingiziwaShida iko kwako zaidi kuliko kwa Trump. Alizunguka USA kote kuomba kura ili aweze kutekeleza, na wamarekani wengi wakampa na sasa anatekeleza sera zake, wote mliomuunga mkono mnapaswa kumpigia makofi Trump kwa kutekeleza ilani.
Next time mtajifunza kuacha kushabikia vitu ovyo ovyo.
Madawa mtapewa,ila fedha za kununulia madawa hapana.Siku ya Januari 20, 2025, Rais wa Marekani Donald Trump alisaini agizo la rais (executive order) lililosimamisha kwa muda wa siku 90 utoaji wa misaada nje ya Nchi, ikiwemo programu muhimu za afya kama Mpango wa Dharura wa Rais wa Marekani wa Kupambana na UKIMWI. "President's Emergency Plan for AIDS Relief " (PEPFAR).
Kusitisha Huku Progran Hizo kutaathiti Dawa za Virusi vya UKIMWI (ARV), Dawa za kifua kikuu (TB), na Dawa za malaria na Dawa za Uzazi wa Mpango..
Ukiachana na Kuathiri Upatikanaji wa Dawa Taarifa ya USAID kuhusu Kupunguza kusitisha Misaada ya Viti hivyo Kumeanza Kuleta Effect kwa Baadhi ya NGOs Mashirika Mengi..
Yanayohusika na Utoaji wa Dawa za ARV,Kifua kukuu na Ukoma,Uzazi wa Mpango,na malaria yameanza Kuyumba na wote wameanza Kutoa Notice kwa wafanyakazi wao kusubiri na Kuangalia kama Marekani itarudisha Panga kwenye ala bhasi watarudi kazini...
Takribani Wafanyakazi wa Mashirika Tanzania 2900s Wanaenda Kupoteza Kazi kutokana Na upuuzi na Ego ya Trump..
Poleni Afya, Poleni Wafanyakazj wenzangu na Mostly Poleni wagonjwa ambao mnaenda Kuathiriki kwa Order hii Isiyo na Mashiko..
_____________________________________
Waafrika Tujitegemee:
Uhuru kenyata
View: https://youtu.be/wYpSNxTxXE0
Angalia vizuri utakuta ni shabiki wa Yanga huyo😂😂😂.Acheni nongwa yani Rais wa Marekani aache kupanga bajeti zake awawaze nyie huku Africa...ndo akili itukae sasa...turudi kwny tiba zetu asili...
Siku ya Januari 20, 2025, Rais wa Marekani Donald Trump alisaini agizo la rais (executive order) lililosimamisha kwa muda wa siku 90 utoaji wa misaada nje ya Nchi, ikiwemo programu muhimu za afya kama Mpango wa Dharura wa Rais wa Marekani wa Kupambana na UKIMWI. "President's Emergency Plan for AIDS Relief " (PEPFAR).
Kusitisha Huku Progran Hizo kutaathiti Dawa za Virusi vya UKIMWI (ARV), Dawa za kifua kikuu (TB), na Dawa za malaria na Dawa za Uzazi wa Mpango..
Ukiachana na Kuathiri Upatikanaji wa Dawa Taarifa ya USAID kuhusu Kupunguza kusitisha Misaada ya Viti hivyo Kumeanza Kuleta Effect kwa Baadhi ya NGOs Mashirika Mengi..
Yanayohusika na Utoaji wa Dawa za ARV,Kifua kukuu na Ukoma,Uzazi wa Mpango,na malaria yameanza Kuyumba na wote wameanza Kutoa Notice kwa wafanyakazi wao kusubiri na Kuangalia kama Marekani itarudisha Panga kwenye ala bhasi watarudi kazini...
Takribani Wafanyakazi wa Mashirika Tanzania 2900s Wanaenda Kupoteza Kazi kutokana Na upuuzi na Ego ya Trump..
Poleni Afya, Poleni Wafanyakazj wenzangu na Mostly Poleni wagonjwa ambao mnaenda Kuathiriki kwa Order hii Isiyo na Mashiko..
_____________________________________
Waafrika Tujitegemee:
Uhuru kenyata
View: https://youtu.be/wYpSNxTxXE0
Wewe ni Daktari usiejitambua.Siku ya Januari 20, 2025, Rais wa Marekani Donald Trump alisaini agizo la rais (executive order) lililosimamisha kwa muda wa siku 90 utoaji wa misaada nje ya Nchi, ikiwemo programu muhimu za afya kama Mpango wa Dharura wa Rais wa Marekani wa Kupambana na UKIMWI. "President's Emergency Plan for AIDS Relief " (PEPFAR).
Kusitisha Huku Progran Hizo kutaathiti Dawa za Virusi vya UKIMWI (ARV), Dawa za kifua kikuu (TB), na Dawa za malaria na Dawa za Uzazi wa Mpango..
Ukiachana na Kuathiri Upatikanaji wa Dawa Taarifa ya USAID kuhusu Kupunguza kusitisha Misaada ya Viti hivyo Kumeanza Kuleta Effect kwa Baadhi ya NGOs Mashirika Mengi..
Yanayohusika na Utoaji wa Dawa za ARV,Kifua kukuu na Ukoma,Uzazi wa Mpango,na malaria yameanza Kuyumba na wote wameanza Kutoa Notice kwa wafanyakazi wao kusubiri na Kuangalia kama Marekani itarudisha Panga kwenye ala bhasi watarudi kazini...
Takribani Wafanyakazi wa Mashirika Tanzania 2900s Wanaenda Kupoteza Kazi kutokana Na upuuzi na Ego ya Trump..
Poleni Afya, Poleni Wafanyakazj wenzangu na Mostly Poleni wagonjwa ambao mnaenda Kuathiriki kwa Order hii Isiyo na Mashiko..
_____________________________________
Waafrika Tujitegemee:
Uhuru kenyata
View: https://youtu.be/wYpSNxTxXE0
Trump ni Chizi....
Wafuasi wake wengi humu wanasukumwa na mihemko tu
Ninachofahamu baada ya miaka 60 ya uhuru:Hakuna njia rahisi kwenye maisha, hasa yahusuyo taifa bila KUJITAMBUA.
Tutambue tunahitaji kula kwa urefu wa kamba yetu pia kama Taifa/nchi. Kujibebisha kwa Wamarekani hakutupi haki ya msingi ya wananchi wetu kuhudumiwa na wao/Wamarekani.
Tujiulize:
Tanzania si mtoto wala mjukuu wa Marekani. Tulipata uhuru kama nchi, inabidi tujisimamie na tuwasimamie wananchi kama nchi huru ili tuwe na nafasi ya Uhuru huo, Haki na Wajibu kama nchi.
Hii itatupa nafasi ya kusimama na kusema hili sawa au hili hapana tunapoletewa na hao wadau wa maendeleo. Wakati Mmarekani akituhudumia kwa mtindo husika, je tumeweza kujikwamua kwa kiasi gani? Je ndo uhalisia?
1: Tumewekeza kiasi gani kama Taifa kwenye elimu, afya, sayansi na teknolojia wakati pesa ya Wamarekani imechukua jukumu hilo.
2: Tumewekeza kiasi gani kwenye upatikanaji wa chakula kwa jamii yetu?
3: Tumewekeza kiasi gani kwenye tafiti ili kuweza kukuza uwezo wetu wa kuzalisha mahitaji ya taifa na watu wake dawa?
4: Ni kiasi gani cha pesa tunazopata ndani kinaenda kutatua matatizo ya msingi ya wananchi?
5: Ni kiasi gani cha pesa tunachozalisha kinatumika kufanya uzalishaji zaidi, multiple effect?
6: Ni kiasi gani cha pesa zetu kimepelekwa kutatua upunguzaji wa magonjwa yasiyo ya kuambukiza na ya kuambukiza, matatizo ya lishe miongoni mwa jamii?
7: Au ni pesa kiasi gani inatumika kwa majukumu ya msingi dhidi ya yale ya ANASA, huku wananchi wanalelewa na JIRANI?
Akili ziturudie, tuwe na matumizi kadri tunavyopata. Nguo ya kuazima haiwezi kukuaitili.
8: Turudi kwenye MOTHER BOARD, tuchole NEW ROAD MAP, viongozi warudishwe kwenye DEFAULT SETTING. Tuulizane maswali magumu ili tuweze kutatua matatizo yetu na kutoka hapa na kila mmoja afurahie kuzaliwa au kuishi kwenye nchi yetu iliyojaliwa maliasaili kibao.
Tusionene haya, mficha uchi kifo humuumbua, tunaenda kuumbuka kwa kuwa taifa la kusifu na kuabudu.
Kuna sauti nasikia masikioni mwangu "Tanzania ni nchi huru isiingiliwe kwenye maamuzi yake. Hatufundishwi cha kufanya". Kumbe ni kauli tu hatujiwezi.Watanzania Mnachekesha Sana!
Mnasahau hata aliyeleta Misaada kwa Wajawazito kutibiwa na Kupewa Huduma Bure ni USA..
Juzi mkuu wa Mkoa kajaribu Kugusa Switch mmekuja Juu!
Watanzania Hamueleweki Mnatka Nini Mfanyiwe na Nini msifanyiwe Sasa Nyuzi tutawakazia ili tusikie milio
China wako busy na mambo yaoChina ni nchi ya pili kwa uchumi mkubwa duniani, anamfuatia Mmarekani. Marekani ilikuwa inatoa usd.bilioni 65 kwa mwaka katika kutoa misaada ikifuatiwa na EU bilioni 38, tulitarajia China izibe gap la Mmarekani katika kipindi hiki
Nchi za Afrika Zote haziwezi kutoboa kwa Disease Burden Iliyopo Ngoja Twende statistically..
Hakuna Nchi narudia tena Hakuna nchi wala Chama Kinachoweza Kubeba Hiyo burden Bila Kuhitaji Msaada..
- Riport ya mwaka jana Tanzania Kwa sasa Ina WAVIU- 1.7Milion na waviu wanaotumia ARV ni 1.4 Milion
- Waliokuwa wana Ugonjwa wa Malaria walikuwa ni zaidi ya Milion 1
- Watoto waliopatiwa Chanjo ni zaidi ya Milion 1
- Watu waliotumia Njia za Uzazi wa Mpango ni zaidi ya Milions
- Wagonjwa wa TB kwa mwaka Jana walikuwa zaidi ya Laki mbili
unajua Chanjo moja ni Bei gani? Unajua ARV Drugs Ni Tsh ngapi Kopo Moja? Unajua Uzazi wa Mpango Hata Kidonge tu Circle mpja Ni Tsh ngapi??