Nilikuwa nacheki bongo movie kupitia Azam, ni fedheha sana

Mwanaume kuangalia movie hasa hizi za azam zilizofanyiwa sound dubbing ni dalili za ushoga.

Kwahiyo wote wanaofuatilia tamthilia za azam wana dalili za ushoga!! Are you serious?

Mimi ni mfuatiliaji wa ottoman empire, movie za bongo au Nigerian movie hapana aise
 
Achia dada zako au mke wako kuangalia hayo makitu huwez kua serious na maisha as a man ukapata na muda wa kuangalia upumbavu huo waangalie house girls
 
Hiyo tamthilia imechukua sura ya historia ya ufalme wa ottoman ambao tumetofautiana mno Mila na tamaduni, hivyo usitake tuwe kama wao
 
Umeongea kwa unafiki mkuu ,elezea sababu zako tukuelewe
 
Achia dada zako au mke wako kuangalia hayo makitu huwez kua serious na maisha as a man ukapata na muda wa kuangalia upumbavu huo waangalie house girls

Movie zipi hizo unashauri wasiangalie mzee babaa?
 
Kuna watu humu watakua wamejifunza kitu kupitia hii mada,, ukiangalia osman halafu ugeuke utazame bongo movies/Nigerian movie's, aise ni mbingu na ardhi. Ingawa kuna baadhi ya actors/actress wa kibongo wanajitahidi.
 
Hiyo tamthilia imechukua sura ya historia ya ufalme wa ottoman ambao tumetofautiana mno Mila na tamaduni, hivyo usitake tuwe kama wao

Ndio tuokote kwa osman na kisha tuyafanyie kazi, ushaona mwanamke amevaa kimini au kisuruali cha kubana au kuvaa mawigi na kujiachilia!!!
 
Mwanaume kuangalia movie hasa hizi za azam zilizofanyiwa sound dubbing ni dalili za ushoga.
🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
Nimecheka hapa kwa sauti
 
Ndio tuokote kwa osman na kisha tuyafanyie kazi, ushaona mwanamke amevaa kimini au kisuruali cha kubana au kuvaa mawigi na kujiachilia!!!
Mkuu maudhui ya tamthilia yaliwataka kuwa vile na pia kule uislam sana upo juu ni uhalisia wao hata yale maigizo ni uhalisia wa tawala zao zamani so usiwatoe ufahamu wabongo sana kwenye hilo hata wao kuna movie nyingine wanavaa sana hivo visuruali, wakosoe kwa ubunifu wa story pia bongo bajeti yao si sawa na hao, bongo tunafanya bora liende watu wapate pesa ya kula na uhakika kama atakuja muwekezaji akawa serious tutatoboa tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…