niachiemimi
JF-Expert Member
- Feb 18, 2015
- 3,606
- 5,295
Mimi hua najiuliza sitapi jibu, wakina cardo, wakin na don million wanatushindia wapi?. Bongo muvi ina nini?.Wabongo wengi walio kwenye hiyo tasnia ni watu wenye uwezo mdogo wa kiakili pia hawana exposure.
Ndio mana imebaki kuwa kichaka cha watafuta umaarufu hasa wanawake makahaba na vijana mario.
Ila ni tasnia nzuri sana kama ikipata watu sahihi.
#MaendeleoHayanaChama
Mkuu maudhui ya tamthilia yaliwataka kuwa vile na pia kule uislam sana upo juu ni uhalisia wao hata yale maigizo ni uhalisia wa tawala zao zamani so usiwatoe ufahamu wabongo sana kwenye hilo hata wao kuna movie nyingine wanavaa sana hivo visuruali, wakosoe kwa ubunifu wa story pia bongo bajeti yao si sawa na hao,
bongo tunafanya bora liende watu wapate pesa ya kula na uhakika kama atakuja muwekezaji akawa serious tutatoboa tu.
Mkuu maudhui ya tamthilia yaliwataka kuwa vile na pia kule uislam sana upo juu ni uhalisia wao hata yale maigizo ni uhalisia wa tawala zao zamani so usiwatoe ufahamu wabongo sana kwenye hilo hata wao kuna movie nyingine wanavaa sana hivo visuruali, wakosoe kwa ubunifu wa story pia bongo bajeti yao si sawa na hao, bongo tunafanya bora liende watu wapate pesa ya kula na uhakika kama atakuja muwekezaji akawa serious tutatoboa tu.
Siwezi kupoteza muda wangu kufuatlia hayo ma dude hayo mambo ni ya kina dada mkuuBongo muvi ni 🚮 tu kwa upande wangu! Ila hata hilo li tamthiliya lako la Ertugul sijui, nalo limekaa kijinga jinga tu.
Bora hata ile ya kipindi cha nyuma ya Sultan Suleiman Khan, kidogo haikuwa na maudhui mengi ya kujimwambafai kwingi kwa dini fulani hivi.
Wewe yesu ulimwona wapi akiwa na hizo kobazi [emoji848][emoji848][emoji848]Yesu nae akivaa kobazi...unamaanisha nae punguani!?
Ni vazi la mashariki ya kati,kanzu na kobazi,hakuna suti, jinzi na mokasiniWewe yesu ulimwona wapi akiwa na hizo kobazi [emoji848][emoji848][emoji848]