mng'ato
JF-Expert Member
- Oct 27, 2014
- 29,200
- 49,076
Hahah kwny 41 huyo ni nyokaa tu huyo mkuu,hahah
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahah kwny 41 huyo ni nyokaa tu huyo mkuu,hahah
Turbo ndio mnyama.
Kuna za 1490, 1790, 1990 cc
Kuna uzi wa subaru humu jf ukisearch wenye hizo subaru wamezielezea fresh sana mkuu.Naipenda Subaru forester ..ila dah kila nikireview naona kuna critism kibao, mara Head gasket, mara zinaingiza sana kelele za upepo ndani
Sent using Jamii Forums mobile app
So jamaa wanataka wawe wanamaliza kisahani cha speed..ingekuwa Forester sawa zile zina sifa ya stabilityDaah dude liko vzr tu lile sema wale watu wa mambio ndo wanaonaga dude kwny safari ndefu inakua haijakaa stable kiviile na hazina historia mbaya ya kuchomoka matairi(kama yale ma prado old model)
Inshort dude liko fresh sana tu mkuu,being unstable ni mitizamo ya watu tu mkuu.
Wese ni shiiida + turbo yenyewe ikizingua ni mziki pia.
Forester apart from kwa ma-mbio ndio yenyewe hata ground clearance yake iko chini lazima itakua stable zaidi kuliko harrier na ukute hio harrier imekua pimped(rim 22",low profile kukutoa road ukiwa kasi ni chap tu).So jamaa wanataka wawe wanamaliza kisahani cha speed..ingekuwa Forester sawa zile zina sifa ya stability
Sent using Jamii Forums mobile app
Mleta uzi atakuwa anaangalia budget.Yuko right mkuu...sasa ununue Brevis cc 2500 still ni gari la chini na barabara zetu kila siku unagonga chini unaharibu mavyuma tuu!...the same centimeter cylinder si bora ununue hizo SUV harrier or klugger?
Sent using Jamii Forums mobile app
Jamaa yangu anayo inakunywa balaaa !Wese ni shiiida + turbo yenyewe ikizingua ni mziki pia.
New model ya klugger umeshaiona mkuu?Ni kali kingeseeeeesemeni yote ila kluger mpango mzima, naikubali ilivyoinuka juu
Ni noma sana ile kitu,ameifanyia tunning?
Sasa unaanzaje kuiogopa premio jamani..Kuna za 1490, 1790, 1990 cc
Body zake kali kama brevis au athlete crown
Tamu sana ile gari, afu ukichukua ya 1490 hakuna mtu anaeweza jua ina cc ngap zaidi ya kukuogopa
Sent using Jamii Forums mobile app
Madame dude limetulia hilo,na mjini sio nyiingi kihiiiivo.Woow! Klugger hiyo new model...mi nimependa ndani asee!View attachment 849750View attachment 849751View attachment 849752View attachment 849753View attachment 849754
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna watu mpk ile vitz ya cc 990 anauliza lita 1 inaenda km ngapi?hahah