Nilikuwa najichanga nichukue Toyota Brevis, ila nimeambiwa inakula mafuta sana

Nilikuwa najichanga nichukue Toyota Brevis, ila nimeambiwa inakula mafuta sana

Daah dude liko vzr tu lile sema wale watu wa mambio ndo wanaonaga dude kwny safari ndefu inakua haijakaa stable kiviile na hazina historia mbaya ya kuchomoka matairi(kama yale ma prado old model)

Inshort dude liko fresh sana tu mkuu,being unstable ni mitizamo ya watu tu mkuu.
So jamaa wanataka wawe wanamaliza kisahani cha speed..ingekuwa Forester sawa zile zina sifa ya stability

Sent using Jamii Forums mobile app
 
So jamaa wanataka wawe wanamaliza kisahani cha speed..ingekuwa Forester sawa zile zina sifa ya stability

Sent using Jamii Forums mobile app
Forester apart from kwa ma-mbio ndio yenyewe hata ground clearance yake iko chini lazima itakua stable zaidi kuliko harrier na ukute hio harrier imekua pimped(rim 22",low profile kukutoa road ukiwa kasi ni chap tu).
 
semeni yote ila kluger mpango mzima, naikubali ilivyoinuka juu
 
Yuko right mkuu...sasa ununue Brevis cc 2500 still ni gari la chini na barabara zetu kila siku unagonga chini unaharibu mavyuma tuu!...the same centimeter cylinder si bora ununue hizo SUV harrier or klugger?

Sent using Jamii Forums mobile app
Mleta uzi atakuwa anaangalia budget.
Tofaut ya brevis na harrier kisoko ni kubwa sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Woow! Klugger hiyo new model...mi nimependa ndani asee
Simara
IMG_20180828_231453_830.JPG
IMG_20180828_231323_629.JPG
IMG_20180828_231301_987.JPG
Screenshot_20180828-231049.jpg
IMG_20180828_231342_181.JPG


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom