Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe umesema ila yeye anasema kama sio kumkamata anacheat angekua mkewe by now. Na anasema bado anataka mwanamke anaefanana na yul3 ndio awe mkewe la sivyo hataoa.Hizo sababu tu alimtafutia alijitoa kwa kumuaminisha kwanza na badae kumtema lakini ukweli asingemuoa kwa vyovyote.
Na wewe unayo tattoo kumbe? Ilikuwaje ukachora?Mchepuko wangu kwakweli hata mimi na support hoja Uchore popote pale ila sio MKE WANGU...
Wasichojua ni kwamba Tattooo hata iwe nzuri kama pesa ila ukishaizoea machoni inakua kero Natamani nijipge pasi hii mikono ila ndo siwezi...na hamna kitu inanikera kama mtu kunambia "nimependa tattooo yako" anantia hasira kinoma
Si support MKE achore tattoo...ila vi mada asee nampeleka mwenyewe akachore
We hutujui vizuri wanaume.Hao waliokandia sidhani. Ni wale wnaaojudge kila kitu
unajiona selective sana unaaazaje kufananisha binadamu na vitu ka hizo ndo maana avatar yako imekaa kama unaliwaliwa hiviHalafu kuna wale wanao suka na kunyoa pembeni katikati wanasuka halafu wanajipaka rangi kwenye nywele sijui inaitwaje, mm huwa nikikutana nao nawapita kama nimeona mzonga wa ngombe aliye fia kwenye maji
Msinikariri jamani.
Wewe umesema ila yeye anasema kama sio kumkamata anacheat angekua mkewe by now. Na anasema bado anataka mwanamke anaefanana na yul3 ndio awe mkewe la sivyo hataoa.
Mdogo wake ameoa last week yeye bado anataka mwanamke mwenye tattoo na aliejitoboa toboa ambapo kwa bongo kumpata mwenye vyote hivyo sio rahisi
Na kweli hatuwajui vizuri maana waongo waongooo!!We hutujui vizuri wanaume.
Sasa kuongelea tattoo ndio tatizo?
Swadakta bibie, wanaume sisi ni watu wa fix mnoo, na kuhusu kupenda asikuongopee mtu sie huwa tunaanza kutamani kabla ya kupenda, mapenzi hujengeka mumo kwa mumo!!Na kweli hatuwajui vizuri maana waongo waongooo!!
Mwanaume anaeza akwambia anakupenda kumbe hakupendi, anaweza kusema ni wewe tu katika moyo wangu kumbe mpo kibao....
Nilidhamiria kuona ni jinsi gani naweza kukutofautisha na Mbwa anaejichora tatto, kwangu mm wanao jichora tatto na kuweka nywele dawa na kunyoa kiduku inaniwia vigumu sana kuwatofautisha na Mbwa asiye na makazi halali ya kuishi...unajiona selective sana unaaazaje kufananisha binadamu na vitu ka hizo ndo maana avatar yako imekaa kama unaliwaliwa hivi
Mmoja wapo ananiambia akiona mwanamke ana tattoo anadata kabisa.
Mwingine tena ananiambia kiasi gani anapenda tattoo hasa tattoo ya kiuno (kanishauri pia nikitaka kuchora tattoo nichore kiunoni ndo nitapendeza zaidi).
Aisee.mwenyewe nilikua siwaelewi magoma yenye tattoo.
Ila nilichokutana nacho Tanga...Wallah nitarudi tena mji ule,yaani Lazima!
Yani kila nikifumba macho ile tattoo ya kipepeo kiunoni naiona...kuna position yaan yule kipepeo anatanuka anakua kama anataka kupaa hivi....aagh.Raha Leo ya jioni itahusika wikiendi hii