Nilikuwa najua wanaume wanachukia wanawake wenye tattoo

Nilikuwa najua wanaume wanachukia wanawake wenye tattoo

Hizo sababu tu alimtafutia alijitoa kwa kumuaminisha kwanza na badae kumtema lakini ukweli asingemuoa kwa vyovyote.
Wewe umesema ila yeye anasema kama sio kumkamata anacheat angekua mkewe by now. Na anasema bado anataka mwanamke anaefanana na yul3 ndio awe mkewe la sivyo hataoa.
Mdogo wake ameoa last week yeye bado anataka mwanamke mwenye tattoo na aliejitoboa toboa ambapo kwa bongo kumpata mwenye vyote hivyo sio rahisi
 
Mchepuko wangu kwakweli hata mimi na support hoja Uchore popote pale ila sio MKE WANGU...

Wasichojua ni kwamba Tattooo hata iwe nzuri kama pesa ila ukishaizoea machoni inakua kero Natamani nijipge pasi hii mikono ila ndo siwezi...na hamna kitu inanikera kama mtu kunambia "nimependa tattooo yako" anantia hasira kinoma

Si support MKE achore tattoo...ila vi mada asee nampeleka mwenyewe akachore
Na wewe unayo tattoo kumbe? Ilikuwaje ukachora?

Nilikua naangalia interview ya ambalulu akaulizwa tattoo yake maana yake nini, akasema ye alichora tu wala hakumaanisha chochote. Najuaga tattoo huwa zina maana
 
Halafu kuna wale wanao suka na kunyoa pembeni katikati wanasuka halafu wanajipaka rangi kwenye nywele sijui inaitwaje, mm huwa nikikutana nao nawapita kama nimeona mzonga wa ngombe aliye fia kwenye maji
unajiona selective sana unaaazaje kufananisha binadamu na vitu ka hizo ndo maana avatar yako imekaa kama unaliwaliwa hivi
 
Sawa kila mtu na mtazamo wake kila la kheri kwake.
Wewe umesema ila yeye anasema kama sio kumkamata anacheat angekua mkewe by now. Na anasema bado anataka mwanamke anaefanana na yul3 ndio awe mkewe la sivyo hataoa.
Mdogo wake ameoa last week yeye bado anataka mwanamke mwenye tattoo na aliejitoboa toboa ambapo kwa bongo kumpata mwenye vyote hivyo sio rahisi
 
Na kweli hatuwajui vizuri maana waongo waongooo!!
Mwanaume anaeza akwambia anakupenda kumbe hakupendi, anaweza kusema ni wewe tu katika moyo wangu kumbe mpo kibao....
Swadakta bibie, wanaume sisi ni watu wa fix mnoo, na kuhusu kupenda asikuongopee mtu sie huwa tunaanza kutamani kabla ya kupenda, mapenzi hujengeka mumo kwa mumo!!

Nakupenda ni neno tu, yaweza kuwa anamaanisha ama fix, ila lazima ndani yake viwemo vitu hivi kama atakujali, atakuheshimu, atakuthamini na kukusikiliza basi ujue huyo anakupenda vinginevyo ni fix tu.
Itakubidi umeze mate ya akili.
 
unajiona selective sana unaaazaje kufananisha binadamu na vitu ka hizo ndo maana avatar yako imekaa kama unaliwaliwa hivi
Nilidhamiria kuona ni jinsi gani naweza kukutofautisha na Mbwa anaejichora tatto, kwangu mm wanao jichora tatto na kuweka nywele dawa na kunyoa kiduku inaniwia vigumu sana kuwatofautisha na Mbwa asiye na makazi halali ya kuishi...
p8081149.jpg
 
One thing about tattoo zinakuwaga very boring kadri ziku zinavyoenda. Mi nawaonaga watu wengi wanaochora tattoo baada ya muda huwa wanatamani wazifute. Hasa matattoo makubwa makubwa. Mi katika mwili wangu nehi nehi kwa kweli
 
Kama mwanamke anaweza kutoboa kipini puani
atashindwaje kutoboa moyo wako??

Aliskika dogo mmoja wa Senegal kabla hajafunga goli
 
Mmoja wapo ananiambia akiona mwanamke ana tattoo anadata kabisa.


Mwingine tena ananiambia kiasi gani anapenda tattoo hasa tattoo ya kiuno (kanishauri pia nikitaka kuchora tattoo nichore kiunoni ndo nitapendeza zaidi).

Aisee.mwenyewe nilikua siwaelewi magoma yenye tattoo.
Ila nilichokutana nacho Tanga...Wallah nitarudi tena mji ule,yaani Lazima!
Yani kila nikifumba macho ile tattoo ya kipepeo kiunoni naiona...kuna position yaan yule kipepeo anatanuka anakua kama anataka kupaa hivi....aagh.Raha Leo ya jioni itahusika wikiendi hii
 
Back
Top Bottom