Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
Na hakuna mama anaependa mtoto wake aoe single maza
Sent from my PRA-LA1 using JamiiForums mobile app
TULISHASEMA SINGLE MAZAAAA SIO MKE...!! sasa wanaume hamuelewiii mnatangulizaa moyooo tuu
Achukue maiti yake akazike popote atakapoona inafaa.Binafsi sioni sababu ya jamaa kumkazia huyo dada ninachokiona ni kama wanatunishiana misuli tu, namshauri jamaa aruhusu dogo azikwe kwa Imani ya baba yake mzazi Kisha wakimaliza mazishi ampige chini huyo demu
Halafu waking'olewa meno kwa plaizi na kutolewa ngeu ya macho wanaharakati wanasema Wanaume ndio wasababishaji kumbe hawa viumbe ndizo raha wanazitafuta kwa nguvu zao wenyewe sio kwa kushinikizwa.Kuna binti tumepanga nae pamoja hapa....alimkimbia mumewe Kwa kipigo cha mbwa mwizi...I mean walishindwana Kwa njia hiyo....sasa Kuna mwamba alimchukua waishi naye....jamaa anamhandle vizuri tu ila kasoro yake jamaa ni Lazima apitie kunywa kidogo ndo arudi skani.....namsikia binti akijiongelesha "Yaan baba Fulani alikuwa hanywi kabisa!"....nikamuuliza wamaanisha Nini? Eti,mi Bora nirudi tu Kwa mume wangu[emoji15].......kipigo cha hospital vs pombe kidogo tu[emoji2955] au mie ndo sielewi eti?
Huyo mwanamme ndiye anatakiwa ajitafakari vizuri kwani hayo mambo walikuwa wayamalize kabla ya kuoana au kama ilikuwa sogea tuishi basi wayajadili mara tu baada ya kuoanaHUyu mwanamke aliolewa akiwa na mtoto mwenye umri wa miezi 6 na jamaa mkatoriki
Mtoto kafariki akiwa mkubwa,huyo mwanamke anataka mtoto azikwe kwa imani ya kiislamu
Ebu fikiria nyumbani kwako kufanyike ibada ya imani tofauti na yako,wewe baba wa familia utajisikiaje
Jamaa kaamua kwenda polisi kuzuia maziko.
--
View attachment 2665378
Taharuki kubwa imeibuka huko Mkoani Mwanza baada ya mwili wa marehemu kufikishwa msikitini kuswaliwa kwa maziko lakini baba wa marehemu akazuia asizikwe.
Kwa mujibu wa maelezo ya mama wa marehemu huyo, kabla ya kuolewa mwanaume huyo alimkuta akiwa na mtoto wa miezi sita na kwamba mtoto huyo ana baba yake mwingine ambaye ni Mchaga na ni Muislamu.
Mara baada ya kufariki kwa mtoto huyo, mwanaume huyo ameibuka na kusema kwamba hataki mtoto huyo azikwe kiislamu huku mama wa mtoto akiweka wazi kwamba mtoto huyo siyo mkristo na hivyo anaomba mtoto wake azikwe kwa kufuata taratibu za dini yake ambayo ni dini ya kiislamu.
Aidha, kutokana na mvutano huo, Jeshi la Polisi limelazimika kuingilia kati na kuahirisha mazishi hayo mpaka pale mwanaume huyo aliyedai kwamba mtoto huyo asizikwe kiislamu ataporejea.
Dah Zaigoti[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Atakufa vibaya Zaigoti huyu[emoji849]
Kwenye msimamo weka neno akili.Umeona cute....msimamo...tatizo hatuna msimamo[emoji2955]
Wanawake wapo Loyal na hisia zao hawapo Loyal kwa mwanaume. Ndio maana vitabu vya dini vyote vinataka mwanamke awe under control ya mwanaume sababu hana mshipa wa kujisimamia kimaamuzi na kutimiza ahadi kwa muda mrefu.Mazishi yakafanyike huko kwa akina mwanamke.
Ni vema pia kuheshima maamuzi ya mwenye kaya.
Sasa hapo fikiria, marehemu anampambania azikwe kwa dini ya mumewe. Je, angekuwa hai mtoto? Ungemkataza kutowasiliana na babaye? Ungemkataza kukutana naye?
Naomba nikupongeze na kukupatia mauwa yako kwa kuwa muwazi, direct na kuwajibika na kuwaweka wanawake accountable kwa matendo yao, hakika ni adimu sana kukutana na mwanamke wa kariba yako ulimwengu wa wanawake vilaza kama huu wa sasa.Kuanzia leo sitalaumu kebehi zinazoelekezwa kwetu. Nilitamani sana nisichangie hii mada, ila kwa namna friji langu haligandishi acha niserereke. Aliyeturoga ni nani?? Upendo wa baba wa watu, leo umegeuka kejeli kwake..unamzomea right in his face. Siangalii sana mambo ya dini maana dini zina wenyewe, ninachoujiuliza is this woman in her right state of mind??
Hili jambo lilikua ni la kukaa chini na kusikilizana, lakini mpaka global tv unahojiwa, unadiriki kusema au kisa we baba una hela!! Hela zake hukuzikataa kipindi ameamua kukufuta machozi ya kukataliwa?? Sisi ndio tunaowafanya wanaume wawe the so called "mbwa". We are the ones who created them, nonsense..
Kama haujaelewa nikuelekeze tu kuwa huyu mwanaume au baba mlezi anachokipigania hapo si mtoto ambaye si wake kuzikwa kwa imani anayoiamini yeye.Baba mzazi wa mtoto anasemaje?
Asichokijua mzazi wa kufikia ni kwamba mbinguni hauendi kwa kuzikwa kikristo. Ni maisha kabla ya kufa ndiyo yanayoamua utakakokwenda. Ingekuwa arusi sawa.Ila siyo jinsi ulivyozikwa .Mungu huwa hapokei roho ya mtu aliyekufa kabla ya kutubu.So mashindano ya hivyo hayana maana yoyote kabisa
Kwan si ndipo wanapokwenda kuzika ama?!Kwa nini wasiende kuzika Kwa baba yake muislam na matanga wakafanyia huko!!????
Nakwqmbia watu tunaweza kuwa na logic za ajabu.....angalia huyo jirani yako sasa....Kuna binti tumepanga nae pamoja hapa....alimkimbia mumewe Kwa kipigo cha mbwa mwizi...I mean walishindwana Kwa njia hiyo....sasa Kuna mwamba alimchukua waishi naye....jamaa anamhandle vizuri tu ila kasoro yake jamaa ni Lazima apitie kunywa kidogo ndo arudi skani.....namsikia binti akijiongelesha "Yaan baba Fulani alikuwa hanywi kabisa!"....nikamuuliza wamaanisha Nini? Eti,mi Bora nirudi tu Kwa mume wangu😳.......kipigo cha hospital vs pombe kidogo tu🤨 au mie ndo sielewi eti?
Ukomaavu wa akili au nazi?! Yaani unataka jamaa awe kichwa nazi?Unafahamu nini kuhusu mamlaka ya mwanaume, unajua nini kuhusu utawala wa mwanaume katika himaya yake na vyote vilivyopo eneo lake?Hata ukiwa nyumbani kwake bado haiathiri chochote kwa mwanaume tena ndio itaonyesha ukomavu wake wa akili na upeo wa maisha sote tunapita vitu kama misiba sio vya kuleta kupishana kauli
Nakazia, aoae single maza hana akili kabisaHuwezi kuwa mwanaume mwenye msimamo alafu muda huohuo ukaoa single mother. Haijawahi kutokea. Labda awe MKE wa pili au watatu Huko. Lakini kabisakabisa mwanaume anaoa MKE mmoja alafu huyohuyo ni single mother. Ninakuambia hawezi kuwa na msimamo.
Hata Mama zetu wanalijua Hilo. Ukimletea Mwanamke Single mother Kwa kweli Mama zetu hutudharau
KAZI KAZI, mengine ni ziadaItakuwa kuna vingine kavimiss
🤣🤣🤣Hatari🤭Nakwqmbia watu tunaweza kuwa na logic za ajabu.....angalia huyo jirani yako sasa....