Nilikuwa nawatetea sana singo mama lakini kwa hili la huyu mama limenikata maini kabisa

Nilikuwa nawatetea sana singo mama lakini kwa hili la huyu mama limenikata maini kabisa

Nadhani ni kukosa umakini tu katika kutafuta mwenzi wa maisha. Jipe mwaka m'moja. Tenga bajeti na ulenge kutafuta mwanamke ambaye anavigezo vifuatavyo,

1. Awe ni bikra
2. Atokee familia bora(sijamaanisha familia tajiri)
3. Awe msafi wa tabia na mwili.
4. Awe anaelewa Maisha na kama haelewi basi awe tayari kujifunza.
5. Awe na umbile au muonekano utakao kuvutia wewe binafsi sio jamii.
6. Awe na upendo kwa maana asiwe mtu wa kukutumia kwa shida zake.
7. Awe na discipline ya pesa.
8. Ajue thamani ya baba, mwanaume na ajue role za baba ili asiingilie.
9. Atambue mfumo dume, ajue namna gani unafanya kazi aachane na hawa feminist uchwara wanaoubrand kama mfumo kandamizi wachawi wakubwa wale.
10. Atambue umuhimu wa nafasi ya mwanamke kwenye maisha ya mwanaume na ajue majukumu ya mwanamke.
Dogo janja hujayajua mapenzi yaani ww unawaza kama wale wakulima wa mtamdaoni kila kitu simple ingia field sasa mambo tofauti cha msingi mtangulize mungu unaweza weka bajeti nakujipa muda na bado usitoboe kwenye lengo lako
 
Siku vijana mtakapoacha kujifungamanisha na maagano ya mahusiano ya wanawake wasiojielewa ndipo watakapoanza kupata akili ya maisha yanataka nini.

Siku vijana tutakapoacha kuentertain wanawake wenye watoto ndipo mtakapoanza kuona idadi ya Single mothers ikishuka maana watajua wanaume hawaoi wanawake wenye watoto na wanaume wengine so watakuwa makini sana na nani wanampa nyuchi zao wazae nae.

Leo wanajiachia maana wanajua kuna mabwege yapo katika jamii yatatumia pesa na mali zao kulea watoto wasio damu zao ili waonekane mashujaa katika jamii hii isiyowatambua umuhimu wao wala kuwajali kwa lolote kiuhalisia.

Mbona wanawake wanajua wanaume wanataka wanawake warembo na ndio maana unaona wanawake wanapambana kutwa kucha tena kwa gharama kubwa kujiweka sopu sopu ili waweze kucompete kwenye soko la kudanga.

Kwann vijana msijiwekee standards kuwa hamtaoa na kuweka ndani mwanamke asiye na bikra, hayo ya kuwa na mtoto au kuwa alishalala na wanaume zaidi ya sita automatically mabinti watayatokomeza hayatakuwapo maana itakuwa tishio kwa future yao. Ila wanayafanya sababu jamii haijawa strict nao juu ya hilo na inawaambia kitanda hakizai haramu, hawara hatangazwi na kauli zingine za kipumbavu.

Kimsingi wanawake wanaofanya haya matukio wanajua kuwa kuna kundi la wanaume wanakubaliana nao na wapo tayari kulower standards zao ili kuwa nao, hawajui kuucheza huu mchezo kwa advantage zao.

Imagine mwanamke ana mtoto wewe unakwenda kuoa ili iweje,ili mtoto awe wako au unataka kuprove nini kwenye nafsi yako kwamba unajua kucare au?!

Mbona mwanamke anaweza kukukataa wewe kwa standards zao walizojiwekea na jamii haiwahukumu kwann wewe uogope kuifokea jamii pale itakapokuhumu kwa kuweka standards zako?

Wanawake wao hawataki mwanaume mfupi wanataka mrefu, wanataka mwenye gari,nyumba,mwenye mshahara mkubwa au biashara inayompa pesa nyingi, wanataka handsome, and trust me mwanamke akikukuta hauna hata kimojawapo hawezi kukukubali hata iweje,ila wewe ulivyo fala sasa anakujia mwanamke hana bikra, ameshalalwa na wanaume zaidi ya 1,ametoa ujauzito mara kadhaa, hana pesa kusema atakuwa na mchango kwenye uchumi wako,na mbaya zaidi ana mtoto,mwili wake umeshaanza kuchakaa kwa maana ya matiti yamelala,mafuta yameanza kujaa sehemu za mwili ambazo hazitakiwi kujaa, ana stress za mahusiano yaliyopita,ana mawenge ya fikra,hana mbinu za kiuchumi za kushirikiana nae mtoboe maisha,na bado ana mabwana ana wasiliana nao,wewe ulivyo fala unampigia goti KUMUOMBA ridhaa, tena kwa unyenyekevu ya kuwa nae kimaisha aje kuwa mkeo na wa ndoa, mrithi wa mali zako yeye na watoto au mtoto wake aliyempata na mwanaume mwingine, na kutumia pesa zako kuendesha maisha yake, sio yenu.

Niambie kama sio upumbavu huu enyi watoto wa kiume mnaojiita marijali wa kubebelea mizigo ya wengine. Unamkosea MUNGU aliyeagiza mwanamke Bikra ndio apewe heshima ya mke, unawakosea mabinti wenye bikra zao waliojitunza wakimuomba MUNGU awape mume wanaestahiki awaongoze katika njia njema ya maisha wajijenge na kuwa imara kimaisha, mbaya zaidi unawakosea wazazi wako kukuleta duniani ujenge legacy ya kiume unajenga upumbavu, unaikosea jamii kwa kushusha standards za mwanaume.
Hongera kwa andiko zuri hii....Tengenezea Uzi wake kabisa

Niku ulize utajuaje mwanamke bikra...au itatakiwa kuchovya chovya chovya kabla ya ndoa ili upate bikra, afu ukishapta ndo unaoa huyo huyo
 
HUyu mwanamke aliolewa akiwa na mtoto mwenye umri wa miezi 6 na jamaa mkatoriki

Mtoto kafariki akiwa mkubwa,huyo mwanamke anataka mtoto azikwe kwa imani ya kiislamu

Ebu fikiria nyumbani kwako kufanyike ibada ya imani tofauti na yako,wewe baba wa familia utajisikiaje

Jamaa kaamua kwenda polisi kuzuia maziko.

--

View attachment 2665378

Taharuki kubwa imeibuka huko Mkoani Mwanza baada ya mwili wa marehemu kufikishwa msikitini kuswaliwa kwa maziko lakini baba wa marehemu akazuia asizikwe.

Kwa mujibu wa maelezo ya mama wa marehemu huyo, kabla ya kuolewa mwanaume huyo alimkuta akiwa na mtoto wa miezi sita na kwamba mtoto huyo ana baba yake mwingine ambaye ni Mchaga na ni Muislamu.

Mara baada ya kufariki kwa mtoto huyo, mwanaume huyo ameibuka na kusema kwamba hataki mtoto huyo azikwe kiislamu huku mama wa mtoto akiweka wazi kwamba mtoto huyo siyo mkristo na hivyo anaomba mtoto wake azikwe kwa kufuata taratibu za dini yake ambayo ni dini ya kiislamu.

Aidha, kutokana na mvutano huo, Jeshi la Polisi limelazimika kuingilia kati na kuahirisha mazishi hayo mpaka pale mwanaume huyo aliyedai kwamba mtoto huyo asizikwe kiislamu ataporejea.
Sidhani kama mtu atadai mtu azikwe kwa Imani tofauti na aliyokuzwa nayo.
Pengine mama mtu alikubali mtoto akuzwe kama mkatoliki ili kulinda maslahi, sasa anataka azikwe kiislam?
 
Kwahiyo mchizi aliwahi sentro mwenyewe [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Siku hizi wanaume ndiyo hukimbilia polisi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wanawake wamechoka na undonya ndonya
 
Hongera kwa andiko zuri hii....Tengenezea Uzi wake kabisa

Niku ulize utajuaje mwanamke bikra...au itatakiwa kuchovya chovya chovya kabla ya ndoa ili upate bikra, afu ukishapta ndo unaoa huyo huyo
Atakwambia yeye na utajua maana bikra anajulikana tu kwa matendo na kauli zake. Lakini pia unaweza mfungua na umuoe huyo huyo.
 
Sidhani kama mtu atadai mtu azikwe kwa Imani tofauti na aliyokuzwa nayo.
Pengine mama mtu alikubali mtoto akuzwe kama mkatoliki ili kulinda maslahi, sasa anataka azikwe kiislam?
Hyo ni ngumu kukubalika ndo maana jamaa kakimbilia polisi
 
  • Thanks
Reactions: Auz
Kama haujaelewa nikuelekeze tu kuwa huyu mwanaume au baba mlezi anachokipigania hapo si mtoto ambaye si wake kuzikwa kwa imani anayoiamini yeye.

Bali anachokipigania hapo ni ile Heshima ambayo mwanamke kaichukua kwa kumuonyesha dharau kuwa yeye hana mamlaka mbele yake.

Yaani hapo kwa tafsiri ya haraka ni kuwa huyu mwanamke anamhusudu baba mtoto zaidi kuliko yeye aliyelea mtoto tokea akiwa kichanga cha miezi sita.

Hii ni sawa na kutoa pesa ya chakula halafu urejee ukute hakujabakizwa kitu wala kuwekewa kitu ulale na njaa hii itakufanya ujisikiaje?

Nadhani tukubaliane tu kuwa mwanamke hana adabu. Hapo amemuonyesha huyu mwanaume wa sasa kuwa yeye hamtambui kama kiongozi wake sababu nina uhakika lilimjia wazo kuwa huyu mtoto tulipotoka nae akiwa kichanga baba yake alikuwa ni mwislam ila tukaja kuishi na baba mkristo, hivyo basi ukiwa nyumba ya mwanaume mkristo utafuata tamaduni za wakristo kwenye shida na raha, ibada, sherehe na matukio yote utajifunza utamaduni wao maisha yataenda na utacope vema tu na kufurahia maisha.

Huyu mwanamke ndie tatizo, sio baba mtoto, sio mtoto wala sio huyu baba mlezi.
Upo sahihi kabisa.
Ndio maana nasema na nitazidi kusema kwamba, matatizo mengi katika jamii yanasababishwa na wanawake.

Chunguza,utakuja kuuona ukweli.
 
Dah Wewe hapo umeona tatizo wapi mpaka unaanzisha Uzi? Mtoto sio wake hivyo mtoto anafuata dini ya babaake mzazi na sio mlezi. Kumbe shida sio mwanamke shida mwanaume huyo ambaye ameshwindwa waza kiuharisia... Au wewe ambaye uwenda haujaleta maelezo halisi. Ila kama maelezo ndo hayo Basi Hadi wewe Akili mgando
Mwanaume ndiyo ana maamuzi yote. Kwanini asingeenda kuolewa na baba wa mtoto? Hili ni jambo la kujifunza, hutakiwi uoe single mom.
 
Mazishi yakafanyike huko kwa akina mwanamke.

Ni vema pia kuheshima maamuzi ya mwenye kaya.

Sasa hapo fikiria, marehemu anampambania azikwe kwa dini ya mumewe. Je, angekuwa hai mtoto? Ungemkataza kutowasiliana na babaye? Ungemkataza kukutana naye?
Ukute mtoto alishabatizwa au alikuwa kwenye harakati hizo.
 
Hakukuwa na sababu yakuita polisi msiba wowote ukitokea kama aliyekufa ni muislam masheh huwa wanakuja kudai maiti yao jambo la msingi angeongea nao wakafanyie maziko huko kwao kwa mama mkwe au kwa mjomba na sio kwangu sizani kama ingeshindikana ni jambo dogo tu la kutumia busara sizani ata upande wa waislamu huwa watakubali msiba wa mkristo ufanyike kwenye nyumba ya muislam
Hovyo sana...
 
HUyu mwanamke aliolewa akiwa na mtoto mwenye umri wa miezi 6 na jamaa mkatoriki

Mtoto kafariki akiwa mkubwa,huyo mwanamke anataka mtoto azikwe kwa imani ya kiislamu

Ebu fikiria nyumbani kwako kufanyike ibada ya imani tofauti na yako,wewe baba wa familia utajisikiaje

Jamaa kaamua kwenda polisi kuzuia maziko.

--

View attachment 2665378

Taharuki kubwa imeibuka huko Mkoani Mwanza baada ya mwili wa marehemu kufikishwa msikitini kuswaliwa kwa maziko lakini baba wa marehemu akazuia asizikwe.

Kwa mujibu wa maelezo ya mama wa marehemu huyo, kabla ya kuolewa mwanaume huyo alimkuta akiwa na mtoto wa miezi sita na kwamba mtoto huyo ana baba yake mwingine ambaye ni Mchaga na ni Muislamu.

Mara baada ya kufariki kwa mtoto huyo, mwanaume huyo ameibuka na kusema kwamba hataki mtoto huyo azikwe kiislamu huku mama wa mtoto akiweka wazi kwamba mtoto huyo siyo mkristo na hivyo anaomba mtoto wake azikwe kwa kufuata taratibu za dini yake ambayo ni dini ya kiislamu.

Aidha, kutokana na mvutano huo, Jeshi la Polisi limelazimika kuingilia kati na kuahirisha mazishi hayo mpaka pale mwanaume huyo aliyedai kwamba mtoto huyo asizikwe kiislamu ataporejea.
Tunawaambia mnatuona wajinga😅😅😅

Na huyo mwanaume mkatoliki alikuwa fala sana.

Unaoa mwanamke aliyezaa mtoto miezi sita kwa mwanaume mwingine? Huyu K si bado imelowa Mboo ya jamaa??
 
HUyu mwanamke aliolewa akiwa na mtoto mwenye umri wa miezi 6 na jamaa mkatoriki

Mtoto kafariki akiwa mkubwa,huyo mwanamke anataka mtoto azikwe kwa imani ya kiislamu

Ebu fikiria nyumbani kwako kufanyike ibada ya imani tofauti na yako,wewe baba wa familia utajisikiaje

Jamaa kaamua kwenda polisi kuzuia maziko.

--

View attachment 2665378

Taharuki kubwa imeibuka huko Mkoani Mwanza baada ya mwili wa marehemu kufikishwa msikitini kuswaliwa kwa maziko lakini baba wa marehemu akazuia asizikwe.

Kwa mujibu wa maelezo ya mama wa marehemu huyo, kabla ya kuolewa mwanaume huyo alimkuta akiwa na mtoto wa miezi sita na kwamba mtoto huyo ana baba yake mwingine ambaye ni Mchaga na ni Muislamu.

Mara baada ya kufariki kwa mtoto huyo, mwanaume huyo ameibuka na kusema kwamba hataki mtoto huyo azikwe kiislamu huku mama wa mtoto akiweka wazi kwamba mtoto huyo siyo mkristo na hivyo anaomba mtoto wake azikwe kwa kufuata taratibu za dini yake ambayo ni dini ya kiislamu.

Aidha, kutokana na mvutano huo, Jeshi la Polisi limelazimika kuingilia kati na kuahirisha mazishi hayo mpaka pale mwanaume huyo aliyedai kwamba mtoto huyo asizikwe kiislamu ataporejea.
Baba yake sio Mtanzania ni Mwarabu ni Mchaga.

Unajua kwenye jamii ya watu weusi hapa Tanzania mfano Shinyanga, Mara, Kagera na Mpanda wakiona Mchaga wanamwita Mwarabu😅😅
 
Back
Top Bottom