Nilikuwa sijaamini mpaka nilipohakikishiwa na mtu wa karibu kwamba mfalme wa kisiwa cha hapo Guam analindwa na wanajeshi wa nchi tofauti

Mambo haya yanawezekana huko waliko ruhusu mpaka machoko jeshi si Tanzania. Tusidanganyane mfumo wetu wa jeshi ni ule wa ndio afande. Kinyume na hapo wewe si mpiganaji, si nzalendo ni adui wa Taifa/Nchi hili.


 
UNAWEWESEKA?
 
Udhaifu wa kikwete na uhayawani wa mkapa ndo umetuletea huu mkosi wa hili Hutu.
 
Mkuu IGWE tz1 na Rwanda zimefikaje hapa? Acha uchochezi.
...bado umeamini ujinga ambao kamwe hauwezekani,..nchii hii ni makini vyombo vya usalama visingekubali tz1 alindwe na hao vilaza wa Rwanda never
...nina imani kubwa na vyombo vyetu vya usalama
 
Nakuhurumia sana maana hujui kitu ndani ya jeshi,....km hata askari private tu anamajibu tosha kati ya mabeyo na mwamunyange
 
Sidhani Kama protocol zinaruhusu raising alindwe na Raia au ulinzi binafsi achilia mbali wanajeshi toka nje ya nchi. Haiwezekani

Protocal ya nchi gani wakati wa ziara za Bush na Obama tuliona snipers wakiwa kwenye paa la magogoni mchana jua la utosini. Baada ya hapo maana yake pale magogoni tumebaki na puchi mbele ya Wamarekani.
 
Hii kitu ya kusaidiana ulinzi nmewahi kuiskia.

Ijapokua siisapoti na haijakaa poa hats kidogo.

Tena juz juz tu kweny hii ishu ya Kashogi.

Nliskia kua chief wa Saudia analindwa na Special force wa marekani.

Chief hamuamini yeyote pale ikulu , wakiwemo ndugu,jamaa na familia yake yote.
 
BWANA ASIPO ULINDA MJI WAULINDAO WANAFANYA KAZI BUREπŸ˜πŸ˜πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Ata ulindwe na Malaika!!! Yupo Mungu YEHOVA Ata uwe na nguvu au mahela !!!YEYE ATASIKIA KILIO CHA WATU WAKE WA NCHI YA DANGANYIKA NA ATAKUJA WAOKOA
 
Hujiamini hata kidogo....woga wako umasikini wako...
 
Nakuhurumia sana maana hujui kitu ndani ya jeshi,....km hata askari private tu anamajibu tosha kati ya mabeyo na mwamunyange
Nimejaribu kukuelewa mkuu ila nadhani upeo wangu ni mdogo au mkubwa sana kuweza kuelewa ulichomaanisha. Zidumu fikra za mwenyekiti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…